Huu ni wizi wa kimachomacho
hehehe, kiranga akikufyagilia chukuamo dikshenari kwanza. Hujaona sifa alizompa babangu Mtambuzi?
Hahahahaha!
Wewe tena? Hivi hata asali zinatajwa humu?
Kongosho, asali ya ODM. Source: Asprin.
NB: Hapa tunazungumzia waliobadilisha "maisha" yetu si ndio? Mi tangu nijiunge na JF maisha yangu hayajawahi kubadilika.
1. Bado naamini katika bia na bia na bia tena.
2. Bado ni mweka hazina wa Infidelity Social Club (ISC) chini ya uongozi wa Mtukufu Kaizer
3. Bado nawaabudu mabinti zangu wawili ambao nshapiga marufuku wazembe wasiwasogelee (ikibidi ntawaoa mwenyewe)
4. Bado namtukuza mkoloni wangu anayenilipa vijisenti navyotesa navyo kina Eliza and co. kwenye bar za uswazi.
Nyingine malizia wewe bana....
Shukrani sana mkuu. Mie babu jipenda misifa leo ntakunywa maginesi mengi kwa afya yako na ya gelofrendi wako.
Hapo red bold Hakika ninamkosa sana dada yangu huyu nliyekuwa namkubali saaaaana! Akiwa anatumia ID ya Gender Sensitive tulishapangaga miadi ya kukutana naye nikijua naenda kukutana na njemba mwenzangu! Alinishangaza kuliko alivyonishangaza charminglady siku ile Brajec pale nilipokutana na bonge la mrembo wakati nilijiaminisha ni dume lenzangu,
RIP my dear Dada, ntakukumbuka daima.
Yaani hata mie nakupenda sana kasiko, ila bila kuficha ukweli sikupendi kama nimpendavyo cacico wangu. Ananikoshaje sasa??
Hahahahaha.......... huna haja ya kusema bana. Babu ni mtaalam wa kusoma katikati ya mistari. LOL
Asante Nicas Mtei haswa hatukukutana barabarani.........aluta continua..........I guess kwangu kila mtu kwangu amebadilisha maisha yangu kwa nafasi zao haijalishi mbaya au nzuri. Well said Nicas
It is evident that the iconoclasm of our views make some of us unpopular :becky:
Nicas Mtei kaka,
Wewe kwangu ni zaidi ya rafiki na si kwangu tu,mpaka kwa Ndugu zangu,nadhani unao ushahidi mzuri sana.
Naweza kusema neno jingine kuwa wewe ni Sehemu ya familia yetu.
me MODS ndo wamenifikisha hapa nilipo!!
ur very popular jamani.....to me ..Thank you kwa kuyabadilisha maisha yetu..
he he, Paw simtaki anatisha sana, kuna siku alinipiga mkwara wa busu.
Hayo madevu ujue ni chachu ama mahanjumati shughulini??
Hujui hilo? Mie zinanishawishi sana.
Ila mateka nshamzoea mbona. Nakaribia kuwa na wawili na Paw wa tatu.
Nicas Mtei name calling unaijua ??....Hapo kwa red unasemaje, nimekubadilishia maisha yako? LOL
Ila kama Nyani Ngabu amebadilisha maisha yako, basi uko hatarini,lol. Mie nampenda tu ukorofi wake kama mie lol
Hahahahaha...Huyu NN hakuwa hivi..amebadilika sana siku hizi na ndio maana amebadilisha maisha ya watu...Naamini kuna walio nyuma ya mabadiliko yake...
The POWER of LOVE !!!!