Punguza burden of guilt
Ts unfair kumbebesha mwanamke tu kisa mwanaume hapati mimba
Mwanamke na mwanaume wote wanapata dhambi maana saa ingine wanashaurianaNi dhambi moja mbaya sana, kipindi fulani tulitaka kuifanya namshukuru malaika aliyenitembelea saiv baby boy ndiye rafiki na mfariji wangu
Halafu wanawake tujue kuwa hawa wanaume unaposhiriki nae kwenye hii kitu ipo siku isiyo na jina atakutukania hilo tukio
Kama umedhamiria kuwa mama wa marehemu fanya iwe siri yako lkn kutaka na mumeo ajue kuwa ni baba wa marehemu ni kujiandalia masimango yatakayokuumiza mwenyewe
Kwenye hili ni mwanamke tu ndiye mwamuzi hivyo basi tunastahili kulaumiwa na kuubeba huu mzigo,,,, ukiitoa mimba hata km mumeo mmekubaliana lkn ujue mwenye mzigo wa dhambi ni wewe mwanamke
Mwanamke na mwanaume wote wanapata dhambi maana saa ingine wanashauriana
Kama mpo kwenye ndoa, mzigo sio wa mwanamke peke yake, na mara nyingi lazima mshauriane kwanza kabla ya kufanya abortion, huwezi kumbebesha mwanamke kisa yeye ndio kabeba mimba.Mwenye mzigo mzito ni yule aliyeubeba (mwanamke)
Nimesema kwa mtazamo wangu, neno langu sio sheria mkuuKama mpo kwenye ndoa, mzigo sio wa mwanamke peke yake, na mara nyingi lazima mshauriane kwanza kabla ya kufanya abortion, huwezi kumbebesha mwanamke kisa yeye ndio kabeba mimba.
Mistakes za namna hiyo zikifanywa na mdada single(ambaye hana mume) ndio huwa nasema ni kosa lake.
Of course neno lako sio sheria, hata langu sio sheria. Tunabadilshana mawazo tu sista...Nimesema kwa mtazamo wangu, neno langu sio sheria mkuu
Nikitoa mimba kwa makubaliano na aliyenipa nastahili lawama zote kwenye hilo, tumeaminiwa sisi kutoa uhai sasa unaposhawishiwa na ukaitoa chozi la uliyemuua litatulilia sisi wanawake siku zote
Hapa sizungumzii wale wanaotoa kwa lazima labda afya ya mama kubeba ujauzito inahatarisha uhai wake na sababu nyingine mfanano na hiyo
Uwe na kichanga cha mwezi ukaidaka mimba na kuitoa hili ni zigo na hakuna wa kwenda kumtulia akakubebea
Wanawake tunahusika kwenye hili
Is that company au wewe ndio unataka mshahara? Your company doesnt love you, usijidanganye. Pata leo ulemavu wa kudumu utakaokufanya ushindwe kuifanya kazi hiyo kazi yako uone namna gani the company will replace you ASAP. Love your job. Don't love your company.Mie situmii hayo macontraceptives kamwe,I love my body
Nina kababy boy kamoja 4 years now,then most of the time natumia condoms
Siku moja my man akanivizia akavua ndomu juu Kwa juu,nikaconcive
Kushtuka mimba ina 2 months nikasema it's ok nitazaa
Akaja na hoja tujadiliane tunafanyaje,nikasema noway that is my boy,and my body and mie ndio Nina last say kwenye body yangu.
Nikamwambia nazaa and will be my last born,ila toka siku hiyo nimemnyima game na nimemwambia tutasex nitakapo taka mie,ili niweze control idadi ya watoto otherwise atanigeuza incubator ilhal kampuni yangu yanisubiri.

Mwenzio kamfanya mumewe bwege we unamuita dear? Yaani jamaa hata akiwa na genye mpaka asubiri siku mke atakayotaka yeye? Wtfhongera umepata mume dear sio wote
KaribuKama ndo hivi itabid niolewe ili nibebe mimba nataka kuzaa
Pole ukiugua utakuja kwetu tunakuwekea kuna fungus huwa wanasumbua Sana wanawake kwa hiyo kinga yako ikishuka tuu kidogo wanalipuka unakuja kwa hospital tunakuingizia hivo vidonge ni vikubwa Kwel KwelDuh!sijawahi kuona vidonge vinaekwa katika uchi
Acha uongo bas mzee babaMkuu kuua ni kuua tu sio lazima kawe ka-embroy or zygote ndo ihesabiwe umeua. Kumwaga manii/shahawa chini au kwenye kondom nayo ni kuua pia. Kwenye hili dawa ni kusoma kalenda vizuri basi
Of course neno lako sio sheria, hata langu sio sheria. Tunabadilshana mawazo tu sista...
Zote Hapo zina side effectsMbona kuna contraceptives nyingi tu jamani
Vidonge
Kitanzi
Implant
Sindano
No inaenda kufungua cervix Sio kubomoa uterusHaaa!!hongera aseehh!sasa vidonge vinawekwa huko chini kabisaa!!!Ndo miso inaenda huko kubomoa ukuta wa uzazi!!!
Hujawa mke wangu bado kabisa eti unaninyima gemu ..!!Mie situmii hayo macontraceptives kamwe,I love my body
Nina kababy boy kamoja 4 years now,then most of the time natumia condoms
Siku moja my man akanivizia akavua ndomu juu Kwa juu,nikaconcive
Kushtuka mimba ina 2 months nikasema it's ok nitazaa
Akaja na hoja tujadiliane tunafanyaje,nikasema noway that is my boy,and my body and mie ndio Nina last say kwenye body yangu.
Nikamwambia nazaa and will be my last born,ila toka siku hiyo nimemnyima game na nimemwambia tutasex nitakapo taka mie,ili niweze control idadi ya watoto otherwise atanigeuza incubator ilhal kampuni yangu yanisubiri.
Ni Kwel condoms zina facilitate grow of fungus especially Zile zenye mafuta ila hazisababish fungus au uti but zinawezesha hao wadudu kuzaliana kwa wingiHapa mnatulaumu wanaume bure, mtu mwenye maamuzi ya mwisho kujilinda ni mwanamke, tatizo wanawake kwa asilimia kubwa wanapenda uji wa moto unavyomiminika kwa bibi, sasa ukivaa utasikia mara fangasi, inanichubua, sijakojoa ilimradi iwe kero tu kwa mvaaji.
Matokeo yake mimba
Ukiwa mjamzito huruhusiwi kutumia dawa Ovyo Ovyo Itakula kwako
Basi mimba ina masharti!hapo mtu ukiipata unatakiwa usitumie dawa bila kuuliza daktari