Huyo Mungu nae hawezi niona kwakua hayupo.Duhh!Mungu anawaona jamani![]()
Mimi mwenyewe huwa nawashanga wanavyosema eti umeua kiumbe kisicho na hatia angali bado hakijafika katika ulimwengu wenyeweMi naunga mkono utoaji wa mimba zisizo na mipango.
Kiumbe hai ni kile kilichofika duniani na sio tumboni.
Kama mimba imekuja kimazabe we toa tu.
YesHahaaa...ukajikuta umelibebaa hilooo
Ameen!kuadopt kipaji jamani kaahh!!!Yes
Sema Kuna mda nilikuwa namfoc tufanye kuadopt akawa anasita,anajua mie napenda watoto sema tatizo majukumu ya kutafuta hela yananibana,akaona anipe mzigo niulee kuliko kuadopt,nami sikuona kama ni Jambo baya watoto ni barka.Hata Sasa napiga sana mishe za hela na tumbo langu,yote kheri.
Jirani nilialikwa kwa watu ndio maana mualiko ulikukosaNipo jirani yangu kuna muda eti na sie tunakuwa busy...
BTW hvi Pasaka ulininyimaje mualiko jirani???
Hahahaaaa...akuu miye sijui bwanaa!!!hapa Maada wanandoa wanaotoa mimba
Jirani nilialikwa kwa watu ndio maana mualiko ulikukosa