Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

We umekuja na jambo lako nje ya mada

Zamani hujiulizi kwanini mtu anazaa watoto 12
Na walikuwa wanapishana miaka miwili?
Au mitatu kabisa!?
Siku hizi watoto wenu wanapishana miaka mingapi na Bado mnaua wengine?
 
Wanapishana minne mpk 7 na kuua juu!!
Hizo dhambi za kuua Nani atawapokea!?
Aafu kila siku wanawasema wenzao watenda dhambi!
Mbinguni wataenda wachache.
Wengine tuendelee kula raha tu.
 
Na walikuwa wanapishana miaka miwili?
Au mitatu kabisa!?
Siku hizi watoto wenu wanapishana miaka mingapi na Bado mnaua wengine?
Sio kweli zamani walizaa sana mana ujuzi ulikua mdogo..wapi mtu aende kufanya panga uzazi?..

Sikuhz ukiachia utazaa 16
Sasa nani anaweza lea?.
Wenye wake wengi walizaa zaidi mana leo anazalisha kote kote
Hawajui kumwaga nje wala kondom
 
Bora ya kutumia zana kuliko ile kiumbe kimenasa live halafu mnakipanchi!!!kalenda wanaume hawawezi jamani!!!
Hapa mnatulaumu wanaume bure, mtu mwenye maamuzi ya mwisho kujilinda ni mwanamke, tatizo wanawake kwa asilimia kubwa wanapenda uji wa moto unavyomiminika kwa bibi, sasa ukivaa utasikia mara fangasi, inanichubua, sijakojoa ilimradi iwe kero tu kwa mvaaji.

Matokeo yake mimba
 
pole mpenzi wangu...!!!zinatoka hata na antibiotics km Doxy,blufeni (juzi hapa mdogo wangu amepata miscarriage alikunywa blufen hakujua kama ana mimba)
Nilisikia na majani ya chai yakizidi inatoa

Poleni jamani
 
Asante kwakunijuza izo misoprotol maana tulikuwa tunatumia sana majani ya chai shukrani sana
 
Hahaaa!!!lakini tukiwaambia siku za hatari hamuelewi mnataka tu kavu mwisho tunajikuta tunaconcive bila kutarajia!!!na hamuelewi nyie kichwa cha chini kikishasimamaa
Hapa mnatulaumu wanaume bure, mtu mwenye maamuzi ya mwisho kujilinda ni mwanamke, tatizo wanawake kwa asilimia kubwa wanapenda uji wa moto unavyomiminika kwa bibi, sasa ukivaa utasikia mara fangasi, inanichubua, sijakojoa ilimradi iwe kero tu kwa mvaaji.

Matokeo yake mimba
 
Hahaaa!!!lakini tukiwaambia siku za hatari hamuelewi mnataka tu kavu mwisho tunajikuta tunaconcive bila kutarajia!!!na hamuelewi nyie kichwa cha chini kikishasimamaa
Hahaha siku za hatari muwe makini hata na mavazi na mikao yenu, sio unanivalia kimini, unakaa unaniachia upaja, unanigusagusa na hilo joto la danger days.. hivi nitakuachaje unadhani?
Bora mtukimbie
 
Hahaha siku za hatari muwe makini hata na mavazi na mikao yenu, sio unanivalia kimini, unakaa unaniachia upaja, unanigusagusa na hilo joto la danger days.. hivi nitakuachaje unadhani?
Bora mtukimbie
na siku za hatari ndo mwili wa mwanamke unahitaji vibaya mnooo yaani tabu tupu!!cha msingi kutumia tu zana!!na ninyi msiwe wabishi tukiomba mvae mipira
 
Wengi haswaa watanzania mimba hutoka bila kujua mfano imeingia Leo baada wiki ukaugua ukanywa dawa za Malaria au UTI jua unatoa na utablid km kawaida!

Yaani wengi hutoa kwa bahati mbaya maana mwingine anakua hajapima bado

Basi mimba ina masharti!hapo mtu ukiipata unatakiwa usitumie dawa bila kuuliza daktari
 
Back
Top Bottom