Yes na ndio kazi kuu ya hivyo vidonge sema moja ya effect zake ni kutoa ujauzito sasa watu wameifanya rasmi kwa ajili ya kutoa ujauzitoSeriously???
Hahaaa...mdah!ahsante kwa maoniSiku moja niliskiza mawaidha ya Waislam kuhusu kujikinga na mimba. Shekhe akasema waislam wanaruhusiwa kumwaga nje. Na karuhusu Mtume (S.A.W). Watu wake mtume wakauliza, sasa mkuu huoni hiyo ni kama uuwaji. Akawajibu....huo sio uuwaji, kimsingi wewe huwezi kuzuia kitu alichopanga Mungu kizaliwe. Hapa ndio nikagundua kuna mimba huwa zinatolewa na zinagoma.
Ila hawaruhusiwi kutoa mimba iliyokwisha tungwa.
Kwa style hii, kama umetiana leo na mumeo na unahisi huenda ukatungisha mimba kuna vidonge ukimeza mimba haitungi....hii inafaa zaidi kuliko kutoa mimba iliyokwisha tungwa. Hayo ni maoni yangu.
Yeah, mkishakuwa kwenye ndoa suala la ujauzito halina umimi tena, ndio maana hata kupata ushauri ni lazima muwe wote ili kujua athari za kile mnachotaka kufanya.Kabisaa kaka yaani
Tena wanaume ndo wanaongoza kushawishi wake zao watoe mimba haswaa wakiwa hawako tayari kuleaVeeeeeery true, kuna dada yeye hata mtoto hakuwa mdogo ila alipoconcive mumewe akamwambia atoe as hayupo tayari kupata mtoto mwingine kwa wakati huo as ana mambo mengi ya kufanya. Bibie akakomaa akagoma kutoa, mtafaruku ulikuwa mkubwa hadi binti akarudi kwao kwa muda. Ila alikomaa hadi akajifungua, baadae akarudi kwa mumewe.
Mimba zinachoropolewa sanaaa na walio ndoani i think kuliko hata ambao hawako ndoani.
Safi kabisaaHahahah unichape matukio gani?kuchepuka?I know men cheat all the time na Wala sijishughulishi kumfatilia mtu niliyekutana naye ukubwani.point is nasex napokuwa safe tu kwani sex ni starehe na idadi ya watoto napanga mie Kama mama full stop.
Kabisaa dear mfano Mimi nikisema nalea wala hawezi nizuia...mfano espy katoa hapo binti aligoma mume mpk kamrudisha kwaoIwe kwa kushawishiwa au kwa siri mwenye kuamua kabisa mtoto azaliwe ama auliwe ni mwanamke labda iwe vinginevyo km mimba kuhatarisha uhai au bahati mbaya nk
Ahahahahah Ahahahahah sasa ye anaona watu wanaelezea halafu anaulizaDawa za kupunguza maumivu kwa wajawazitozesh jamani kaah
.Seriously???
Ulikuwa hujui??? Hazikuletwa kwa ajili ya kutoa mimba hizo hahahhahaKumbeee!!!![]()
Yeah na madhara mengine zinapasua kizaziKweli kabisaa tena ukikosea kwenye mimba ikibaki mtoto anakua taahira
Uko sahihi kabisaYes na ndio kazi kuu ya hivyo vidonge sema moja ya effect zake ni kutoa ujauzito sasa watu wameifanya rasmi kwa ajili ya kutoa ujauzito
Kabisaa dear mfano Mimi nikisema nalea wala hawezi nizuia...mfano espy katoa hapo binti aligoma mume mpk kamrudisha kwao