Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,288
- 96,749
Wengi haswaa watanzania mimba hutoka bila kujua mfano imeingia Leo baada wiki ukaugua ukanywa dawa za Malaria au UTI jua unatoa na utablid km kawaida!
Yaani wengi hutoa kwa bahati mbaya maana mwingine anakua hajapima bado
Ni kuwa makini tu jamani