

Km umemkosa Pasaka Xmas we sahau!!!
Hahah nilidandia gari kwa mbele..Hahaaa....sawa jirani wa Shunie



Bila Shaka nitakutana na Biriani na zile nyama mnazoweka mtindi kwa mbalikwangu njoo iddy rafiki Xmas tunaenda Mwanza



Eeh!!tarehe za mwanzo za June etiii!!
Note tuu
Siku hizi ujuzi umeongezeka wa kutoa mimba na kuua!?Sio kweli zamani walizaa sana mana ujuzi ulikua mdogo..wapi mtu aende kufanya panga uzazi?..
Sikuhz ukiachia utazaa 16
Sasa nani anaweza lea?.
Wenye wake wengi walizaa zaidi mana leo anazalisha kote kote
Hawajui kumwaga nje wala kondom
Sasa hii ndoa au karaha!!Mie situmii hayo macontraceptives kamwe,I love my body
Nina kababy boy kamoja 4 years now,then most of the time natumia condoms
Siku moja my man akanivizia akavua ndomu juu Kwa juu,nikaconcive
Kushtuka mimba ina 2 months nikasema it's ok nitazaa
Akaja na hoja tujadiliane tunafanyaje,nikasema noway that is my boy,and my body and mie ndio Nina last say kwenye body yangu.
Nikamwambia nazaa and will be my last born,ila toka siku hiyo nimemnyima game na nimemwambia tutasex nitakapo taka mie,ili niweze control idadi ya watoto otherwise atanigeuza incubator ilhal kampuni yangu yanisubiri.
Life was hard zamani bruhhSiku hizi ujuzi umeongezeka wa kutoa mimba na kuua!?
Zamani mwanaume ana wake zake 3 au 4.
Kila mwanamke anazaa watoto 6.
Hana shida na maisha yanaendelea.
Na watoto wanakuwa na afya Safi na wamepishana vizuri kwa mama mmoja.
Uoga wa maisha umeshababisha watu kuogopa kulea watoto ila wanakuwa na uwezo wa kulea magari matatu na kuyawekea mafuta
Hata ukiwa na mmoja unasaidiwa Sana tu.Life was hard zamani bruhh
Ila ndo hvo kila kitu kina faida na hasara
Japo naona we umejikita kwny polygamy
Ushaoa wangapi saivi hahahahaha?.,
Unawamudu baba au unasaidiwa?.
Hamna namna inabidi tuonjeane tuuHata ukiwa na mmoja unasaidiwa Sana tu.
Ingekuwa hivyo wanawake walioolewa wasingekuwa wanachepuka.
Ujue kutest more than one taste Ni human nature.
Zamani wazee walikuwa wanasaidiwa hata Sasa hivi tunasaidiana kwa mke huyu huyu mmoja.
Tena watu wanazaa hata kwa huyo mmoja aliyepo.
Bora zamani watu wanaweza sema mume alikuwa busy kwa wake wengine. Siku hizi unakuta jamaa la watu halijui hata kuchepuka ila limeuziwa mbuzi kwenye gunia hata wawili. Ndani ya ndoa
Punguza burden of guiltNi dhambi moja mbaya sana, kipindi fulani tulitaka kuifanya namshukuru malaika aliyenitembelea saiv baby boy ndiye rafiki na mfariji wangu
Halafu wanawake tujue kuwa hawa wanaume unaposhiriki nae kwenye hii kitu ipo siku isiyo na jina atakutukania hilo tukio
Kama umedhamiria kuwa mama wa marehemu fanya iwe siri yako lkn kutaka na mumeo ajue kuwa ni baba wa marehemu ni kujiandalia masimango yatakayokuumiza mwenyewe
Kwenye hili ni mwanamke tu ndiye mwamuzi hivyo basi tunastahili kulaumiwa na kuubeba huu mzigo,,,, ukiitoa mimba hata km mumeo mmekubaliana lkn ujue mwenye mzigo wa dhambi ni wewe mwanamke