Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
We umekuja na jambo lako nje ya mada
Zamani hujiulizi kwanini mtu anazaa watoto 12





We umekuja na jambo lako nje ya mada
Zamani hujiulizi kwanini mtu anazaa watoto 12





Unaweka katika uchi ama sijaelewa?
Sio za kumeza?




joanah unataka kufanya nini?joanah unataka kufanya nini?
Wanaua Sana watoto wasiokuwa na hatia na hawataki jifunza mizunguko ya wenza wao.So kwa mwanamke mjanja protect yourself kwani anayekwenda chanika leba ni wewe,usimtegemee mwanamme wa kiafrica kuplan watoto,utazeeka before your time.Veeeeeery true, kuna dada yeye hata mtoto hakuwa mdogo ila alipoconcive mumewe akamwambia atoe as hayupo tayari kupata mtoto mwingine kwa wakati huo as ana mambo mengi ya kufanya. Bibie akakomaa akagoma kutoa, mtafaruku ulikuwa mkubwa hadi binti akarudi kwao kwa muda. Ila alikomaa hadi akajifungua, baadae akarudi kwa mumewe.
Mimba zinachoropolewa sanaaa na walio ndoani i think kuliko hata ambao hawako ndoani.
Very true.Wanaua Sana watoto wasiokuwa na hatia na hawataki jifunza mizunguko ya wenza wao.So kwa mwanamke mjanja protect yourself kwani anayekwenda chanika leba ni wewe,usimtegemee mwanamme wa kiafrica kuplan watoto,utazeeka before your time.
Hahahah unichape matukio gani?kuchepuka?I know men cheat all the time na Wala sijishughulishi kumfatilia mtu niliyekutana naye ukubwani.point is nasex napokuwa safe tu kwani sex ni starehe na idadi ya watoto napanga mie Kama mama full stop.Hujawa mke wangu bado kabisa eti unaninyima gemu ..!!
Nitakuchapa matukio mpaka uone aibu mtaani![]()
Hahahahhahahhh
Nimeuliza tu jamani na mie nijue mambo ya kikubwa






No safe days siku zingine condoms zihusike,hayo madawa yana negative effects kwenye miili ya wanawake mostly,hushangai binti anazaa katoto kamoja to then anageuka ka kiboko kwa kuumuka,then jamaa anaanza tafuna michepuko.Mwenzio kamfanya mumewe bwege we unamuita dear? Yaani jamaa hata akiwa na genye mpaka asubiri siku mke atakayotaka yeye? Wtf
Kuna wanawake wa hovyo sana. Hivi jamaa akichepuka lawama za nani? Na pia asijifanye anajua kuzitafuta hela sana. This is life, ufakufa na kuacha kila kitu. Balance your life. Hata mafundisho ya dini yanasema mke atazaa kwa uchungu na mume atazisaka kwa jasho. Vice versa be true kwa huyo bidada.Hujawa mke wangu bado kabisa eti unaninyima gemu ..!!
Nitakuchapa matukio mpaka uone aibu mtaani![]()
Amen.
Mungu aniepushe aseee
Unamuonea sana mumeo wewe. Kama siku za hatari vaeni ndom. Ila mambo ya kumpangia mgegedo ni hatari kwa ndoa yako. Be warned. Usije sema hujaambiwa.No safe days siku zingine condoms zihusike,hayo madawa yana negative effects kwenye miili ya wanawake mostly,hushangai binti anazaa katoto kamoja to then anageuka ka kiboko kwa kuumuka,then jamaa anaanza tafuna michepuko.
Aina ya mbogambogaMisoprotol ni nini?
Hahahaa!Aina ya mbogamboga
Seriously???Zinatibu na vidonda vya tumbo pia
Kabisaa kaka yaaniKama mpo kwenye ndoa, mzigo sio wa mwanamke peke yake, na mara nyingi lazima mshauriane kwanza kabla ya kufanya abortion, huwezi kumbebesha mwanamke kisa yeye ndio kabeba mimba.
Mistakes za namna hiyo zikifanywa na mdada single(ambaye hana mume) ndio huwa nasema ni kosa lake.
Saa ingine wanaume ndo wanashawishi...!!!mtoe mimba au wanawake wanafanya kwa siri