Kanisingizia mimba, Nmeikataa, ananiomba pesa ya kuitoa

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,452
99,075
Namzungumzia Rose mwanachuo

Ni HIVI,
Nakumbuka Ilkua mwanzoni mwanzoni mwa mwezi wa 5 kipind ambacho tulkua na ugomvi na mamaJ. Hivo tumenuniana. Basi mihemko na misisimko yote nikaielekeza kwa rose mwanachuo.

Ukaribu wetu ukaongezeka sana,
Changamoto ikawa wakati wa tendo. Akawa mvivu na mbinafsi Sana.
Yaani mkifanya nusu Saa nyingi Sana akishakojoa yeye TU, shughuli nzima inakua imeishia hapo hapo.
Hataki na hawezi kuendelea tena.

Sometimes ikawa inafikia Hadi foreplay (kutomasana) tu ukizidisha sana ufundi akafika kileleni yeye, sijaingiza dude bado. Bas imekula kwangu. Hataki na hawezi kuendelea Tena.

Basi tulienda vile karibu siku 5 mfulurizo Hamna mabadiliko.
Siku 6 nikaona Ujinga huu, asinitanie huyu. Ikabid kutumia Nguvu, Nikambana kwenye Kona ya kitanda, Nikampelekea Moto Sana.
Sasa ile najaribu kumbadili mkao ili nami nifike kileleni, akanidaka mapumb na kuyaminya kwa Nguvu akinishurutisha nimwachie atoke pale.

Kila nikijaribu kujigeuza kumuadjust kidg, yeye anayaminya kwa nguvu. Basi Ikawa naumia Sana.
Dah! Maumivu yalinipozidi ikabidi kukatisha lile zoezi, Nikakasirika Sana na kuchomoka kifuani kwake nikaenda kuoga, nikavaa na Hata posho sikumwachia. Nikaondoka zangu.

Mda ule ule Nikaenda kujisalimisha kwa mamaJ, japo tulikua na ugomvi.
Nikaingia mzima mzima kwake bila hodi, nikamkuta sebleni kakaa.
Aliponiona tu kanuna, kainuka kaenda chumban,kapanda kitandani kajifunika shuka mzima mzima.

Nikamfata huko huko,nikavua nguo zangu nikaingia humo kwenye shuka.
Kilichofuatia tulifanyana Sana kibubu-bubu mpk nikakojoa na wote tukaridhika.
Nikainuka kwenda kuoga nikimwacha hoi kitandani, nikamaliza nikavaa,nikamuachia posho yake mezani nikaondoka kwenda kwangu.
kesho Yake kanipigia tukapiga story sana na ugomvi wetu ukawa ndo umeishia hapo. Rose ikawa ndo nimempotezea mpk mwezi 5 unaisha hatukuwasiliana Tena.

Siku Moja mwezi wa 6 mwanzoni,
rose kanitafta ananiomba Ela ya kula,Nikamtumia Elfu 10 Tigo pesa. Akashkuru, akanambia kanimiss Sana anaomba niende kwake. Nikamwambia kua niko bize Sana, ila nikipata MDA nitakuja.
Hata alivonisistiza kwenda kila Mara niende, Sikumtilia sana maanani maana mamaJ wangu anaenifikisha tayar tusharudiana na tunaenda sawa, Basi Rose ikawa kama vile nimempotezea tena.

Mwezi wa 6 nao wote ukapita sijakutana kabisa kimwili na rose.
Mwezi wa 7 nao wote ukakata hatukukutana kimwili, zaidi TU ya salamu kuwasiliana kwenye simu. Sms, comment status zake n.k

Mwezi wa 8 nao ukaanza,
bado Ni salamu TU za Hapa na pale
Ilipofika Mwezi wa 8 mwishoni,
Rose kanitext kua anaumwa, niende kwake nikamuone.
Nikajua Hii ni gia tu kanimiss ili niende kwake tukafanye mapenzi.
Anyway, ikabidi niende. Kufika kwake.
Kumbe Hamna Cha ugonjwa wala nini,
Ana nyeg zake TU, Basi tukaishia kufanyana mapenzi.

Ila Kama Kawaida yake, alipokojoa TU, shughuli ikawa imeishia hapo hapo.
Sikutaka kupigizana nae kelele, nikavaa Nikamwachia posho kdg ya kula nikaenda kumalizia haja zangu kwa mamaJ.
Basi Ikawa Ndo utaratibu,naanzia kwa rose afu akishaniacha njiani hatupigizani kelele navaa naenda zangu kukojolea mbele ya Safari uko.

Tumeendelea Tunafanya hivyo mpk mwanzoni mwa mwezi huu wa 10.
Sasa kuna Siku tuko tukafanya mapenzi,Mwenzangu kabanwa sana kichefu chefu na kachomoka mbio kifuani kwenda chooni kutapika.
Na kweli alitapika Sana.

Aliporudi Nikamuuliza Tatizo nn, akasema anahisi anaumwa,mwili hauna Nguvu. Nikamwambia Basi Si uende ukapime? Akasema Hana Ela.

Basi nikamwambia,
Kesho asbh njoo k'koo kuna mahali ntakuelekeza ukapime na upewe na dawa kabisa usije kujifia humu ndani.
Basi hata zoezi la kufanya mapenzi likawa limeishia hapo. Nikavaa Nikamwachia posho yake, Nikaenda zangu kumalizia mechi mbele ya Safari.

Kesho yake mida ya mchana Niko dukani,Simu ya rose inaingia anasema keshafika tayar Yuko kwenye ule mgahawa nnakokula chakula. Nikamwambia subir hapo hapo.

Kwasababu nilikua na wateja,
Kuna maabara flani iko Kama mita 500 kutoka ofsin kwangu, nikampigia jamaa kua shemej yako anakuja anapaswa kupimwa bill itakua juu yangu. Jamaa Akasema "fresh".Jamaa nikamtumia namba, nikamwambia amfate pale mgahawani,akasema fresh. Rose nae nikamfahamisha. Kisha nikaendelea na shughuli zangu.

Haukupita MDA Sana rose akatokea dukan, ikabd kumsogeza pembeni. akanambia keshapima vipimo vyote mkojo na damu ila hana malalia Wala mkojo mchafu. Hapa anasubir majibu ya Typhod ndo kaambiwa ayasubirie baadae. Nikasema "sawa,wee nenda hayo majibu nitayachukua mimi jion nikishafunga, Kama Kuna hitajika dawa nitakuja nazo ntakapokuja kwako". Akasema "sawa"

Jioni yake jamaa ananipigia kua shemej Hana typhoid wala malaria. Sasa Itabd aje na mkojo nao tuupime. Nikamwambia
"Mbona mnanichanganya sasa, kanambia mkojo tayar mmeshampima na hamjaona UTI. Kesho tena aje mkojo mwngn wa Nini sasa?"

Jamaa Akasema
"hapana alisema mkojo tusiupime"

Nikamuuliza,
"Kwann alisema msiupime?"

Akajibu,
"Sijui, ila sisi tunaheshimu maamuz ya mteja"
nikasema "sawa" ila kichwan
machale yakanicheza,ila nikapotezea.

Nikamwambia jamaa,
"haina shida, basi kesho asbh nitamleta tena mumpime na huo mkojo"
jamaa Akasema "POA".

Jion nilivoenda kwa rose,
Nikamzingua kwann Jana kanidanganya ameshapimwa UTI wkt hajapimwa. Akasema yeye hajui alihisi UTI inapimwa kwa damu ya mshipa, na walimtoa damu ya mshipa. nikamwambia Basi kesho njoo upeleke mkojo ukapimwe na hiyo UTI. Akasema sawa

Kesho Yake asbh Kama Kawaida akanambia kafika kwenye ule mgahawa wa jiran, nikafika pale nikamwambia aende kule kule kwenye maabara alikopima Jana akapimwe hiyo UTI. Akasema sawa, nikarud zangu dukan.

Nmefika dukan,
Nikampigia jamaa kua shemej yako anakuja hapo, mpime UTI na UPT. Akasema POA. Baada ya kukata Simu nikaendelea kuhudumia wateja wangu.

Wateja walipoondoka, machale yakanicheza kua Huenda huyu mwanamke akawa na mimba, hivi kwann anakwepa kupimwa mkojo wkt anasema anaumwa? Alihisi atapimwa mimba au?

Usikute Hawa Ndo wale akipimwa mimba akakutwa positive anaweza mshawishi jamaa aandike majibu negative. Haya majibu ya mkojo napaswa kuwepo mwenyewe.
Basi Nikatoka nje haraka sana nikachukua bodaboda dkk moja nyingi sana nishafika pale maabara, nikapishana nae mlangoni kakabidhiwa kikopo anaenda chooni kufata mkojo. Nikaingia Moja kwa moja mpk chumba Cha kupimia nikaa kwenye kiti.

Alivouleta mkojo,
Jamaa Akasema majibu ya UPT mnapata Hapa Hapa,haina kulemba.
Ila ya UTI itabd mtasubir kdg nje. Tukasema "sawa".

Jamaa kamimina mkojo kdg kwenye kipimo, majibu akasema ni positive, ROSE ana mimba. Rose akatabasamu na akafurahi sana. Jamaa akamuuliza,
"Shemej inaonekana umefurahi Sana,Ndo mimba yako ya kwanza nn?"

Rose akajibu "ndio"

Jamaa Akasema,
"Basi hongera sana, Na Mara ya mwisho kuziona siku zako ilikua lini? "

Rose akajibu "mwezi wa 8"

Nikamuuliza jamaa,
"Kwani inaonekana hii mimba Ina umri gani kaka?"

Akasema,
"Mimba kubwa TU, Zaidi ya mwezi, Si unaona huu mstari ulivokolea sana kaka?"
nikasema "ndio".
Basi Nikalipia bill, nikamwambia majibu ya UTI utanipigia kwenye simu. Tukaondoka pale.

Barabarani tunatembea mwenzangu ana furaha Sana mpk Tumefika mgahawani.
Tumekaa Nikamuagizia kinywaji nami nikaagiza changu. Tunakunywa Akaniuliza mbona sifurahii wkt habar njema Ni yeye anakiumbe changu tumboni mwake.
Nikamuuliza
"una uhakika Hii mimba Ni yangu?"
Akasema
"100% Ni yako ,kwani Ni Nani mwngine nnaeshiriki nae?"
Nikamwambia
"mahesabu yangu yanagoma kabisa"
Akasema,
"Umeanza uhuni, wee wkt unamwagia ndani Ulikua unafikiria Nini?"

Nikamwambia,
"Hivi Mara ya mwisho Tumefanya mi na Wewe kukojoa ilikua Ni lini?
Maana nnachokumbuka nmekojoa kwako Mara ya mwisho ilkua mwezi wa 4, huu Ni mwezi wa 9. Nayo mwez wa 4 nilikojoa nje ,Tena tumboni kwako na wee shahawa uliziona live"

Akasema,
"Usitake kuleta uhuni wako, Kwani mwezi wa 8 na 9 tumekutana Mara ngapi? Afu Sahv unakana sio mimba yako!"

Nikamwambia,
"Kumbuka vizur, mwezi wa 8 na 9 tumekutana Sana ila ukweli ni kwamba sijakojoa kabisa mpk tumegombana umeniminya mapumbu tukaznguana sana"

"Kama kweli Hii mimba Ina mwezi, na unasema iliingia mwezi wa 9 Basi itaftie baba mwingine sio mimi. nna uhakika 100% sio yangu."

Akasema
"Usinifanye mie mjinga,
Nna uhakika gani Kama ujamwagia ndani? Vipi Kama ulimwagia ndani afu ukanidanganya hujakojoa? Unafikiri nyie wanaume mbinu zenu sizijui?"

Nikamjibu,
"Mi sio kichaa nimwagie ndani afu nikane mimba, Sina sababu yoyote ya kuikataa damu yangu. Kama nakuhudumia wewe, Basi jua Sijakosa uwezo wa kulea mimba Wala mtoto ukanihisi labda natafta kukwepa majukumu. Nnachokwambia Ni kwamba Hii mimba 100% sio ya kwangu, nenda kwako ukajitafakari vizur, ila usimnyime huyu mtoto haki Yake, mpe baba yake wa halali" Akafoka Sana, nikainuka Nikalipia bill nikaondoka zangu,nikamwacha pale.

Basi tuliishi vile ubishi juu ya ubishi, anakomaa mimba Ni yangu. Namwambia sio yangu mpk mwez wa 9 wote ukaisha.

Mwanzoni mwa mwezi wa 10,
Akageuza kibao kua Ile mimba huenda iliingia kipind kile Cha mwez wa 5 tulichokutana nikakojolea nje, zilipomwagwa tumboni usiku huo hakwenda kuoga Kuna namna zilitirika zikashuka chini na kutungisha mimba. Kama nabisha twende hospitali tukapime kwenye ultrasound.
Basi Nikacheka Sana kisha nkamuliza "kwahiyo Kama illingia mwezi wa 5, inamaana hili tumbo lilivo hivi,Ndo la mimba ya Miezi 5?"

Akasema "ndio"

Nikacheka Tena Kisha nikamwambia "sawa,haina Tatizo"
maana naona kabisa huyu mwanamke ananidanganya uongo wa kitoto Sana.

Kesho Yake kanipigia kua Yuko tayari tukapime hiyo ultrasound tujiridhishe.
nikasema "sawa, utaratibu ukoje. Saa ngapi na Tunaenda kupima wapi".

Akasema "Kuna dispensary jiran na chuoni, kuna nesi najuana nae,nishaongea nae atatufanyia Bei nafuu Sana, Ukishafunga Nipitie hapa chuoni tukapime utrasound"
Duh! Machale yakanicheza.

Kisha Nikamwambia,
"Suala hapa sio kutafta sehemu ya Bei nafuu, suala Ni kupata majibu ya uhakika. Huko vichochoroni siendi Mimi. Jiandae ntakupitia saa 11 nikupeleke ukapime kwenye hospital zinazoeleweka Hapa mjini"
Akasema "sawa"

Kweli nmempitia,
Nikampeleka hospitali flani ya wahindi
Tumeenda kwenye ultrasound tumefika,maandalizi yamefanyika dokta kampaka mafuta flani tumboni huku anazungusha kidude flani Cha kupimia Kama kina camera huku tunaangalia live kwenye screen.

Dokta akamuuliza Mara ya mwisho siku zako umeziona lini, akasema mwezi wa 5 mwishoni. Duh! Moyoni Nikastuka,ila nikapotezea.

Dokta akasema
"Sio kweli mamii, utakua umesahau.
Hii mimba inaonyesha bado changa tu. Hapa Inakadiriwa kwenye siku 82 tu maana mashine inaonyesha kiumbe tumboni ana urefu wa sentimeta 8.3 ambapo ukubwa huu Ni kwenye Miezi 3"

Nikamuuliza dokta,
"Kwani dokta, kwa vipimo hivo inaonyesha Hii mimba imeingia lini"

Akasema,
"Kwa Hapa ilipo inaonyesha Ina miez 3, maana Yake huyu alipaswa kutokuziona siku zake kuanzia kwenye mzunguko wa mwezi wa 7,mwezi ambao mimba imenasa."

Nikasema
"Asante, kwaiyo dokta suala la kutokuziona siku zake mwez wa 5 haliwezekani Hapa? "

Basi Dokta akasema
"Kama ni mwez wa 5 hakuziona siku zake, Hii mimba ilipaswa kua na miez 5 na hili tumbo lingekua kubwa Kama hivi" huku anatuonyesha picha flan la ukuaji wa mimba ukutani.

Akaongezea
"Na huku kwenye mashine ingenionyesha kiumbe tumboni urefu wake kwenye sentimeta 15 nakuendelea, ila Hapa inaonyesha ni sentimeta 8.3 tu"

Basi Mwanamke akawa anakomaa sana kwamba Mara ya mwisho kuziona siku zake ilkua mwez wa 5.

Dokta akasema,
"Sijuoingi, Ila Kama Ni kweli ilkua mwezi wa 5. Basi itabidi uchukuliwe damu ya mshipa kwa ajili Vipimo zaidi vya homoni haraka sana, Huenda Kulikua na shida kwenye mzunguko wako. Na hili Tatizo Kama lipo kwei linaweza kumuathiri hata huyu kiumbe wako Alieko humu tumboni"
huku anatuelekeza sehemu ya kwenda kutolewa damu ya mshipa,tukitoka pale.

Nikamwambia dokta,
"Dokta achana na hivyo vipimo,tutapima tu siku nyingine. Kuna sehemu tunawahi, Tuna haraka sana"
DoktaAkasema "sawa"
Basi tukaenda mapokezi,tukalipia na kuondoka.

Barabarani nikawa namwambia uhuni wake hasa kwenye mkanganyiko wa kuziona siku zake, kule maabara alisema mwezi wa 8, huku anasema mwezi wa 5. Basi ikawa tafrani tupu,nikakosa utulivu barabaran Mwanamke akawa Kama amepanic hivi. Anaongea sauti ya juu.

Ikabd nipaki pembeni,nimtulize munkali niongee nae kwa utulivu, kua
"usihofu kumpa mtoto haki yake ukihisi labda ntasita kukuhudumia.
Mi na wewe hatuwez kugombana kisa umebeba mimba ya mtu mwngn.
Sina wivu sana na wewe Kwasababu najua wote tunajiiba TU. Ntaendelea kukuhudumia kama mpenzi yangu, hata kama ukizaa na jamaa mwingine au ukaolewa bado najua Mimi na wewe hatuwez kuachana. Kwaiyo feel free Kwny hili. Sahv Nakupeleka Kwako, ukifika, tulia jitafakari Tena kwenye hili na simama kwenye UKWELI."
Basi nikaendelea na Safar zangu na kumuacha kwake Nikamwachia Ela ya kula Kisha tukaagana nikaondoka zangu.

Baada ya siku mbili,
Niko kwa mamaJ baada ya kufanya yakufanya.
mamaJ akaanza kunisimulia kua mdg wake Jana Yake kampigia kumwambia amepima ana mimba na anaomba iwe Siri yake, nyumbani au yoyote asijue. Anaomba ushauri afanyeje maana mwanaume aliempa hiyo mimba anaona kama yupo yupo haeleweki.

Ikabidi nimdadisi mamaJ,
"Huyo mwanaume Haeleweki kivipi?"
"Ni mchumba wake au mtubaki TU?"
"Anakwepa majukumu,Uwezo wa kulea Hana au?"
"Anakana mimba sio Yake au kivipi yaan?"

Akasema
"Itakua ni vijana wenzie wa chuoni huko. Vimefanyana kamemwagia ndani sahv kanaruka ruka TU hakataki majukumu. Yaani nyie wanaume Sijui aliwaroga Nani?"

"Kila mara namwambia mdg wangu achague mwanaume wa kumlala. Hivi vijana vya chuoni ni vichafuzi mno ila huyu mtoto haelewi"

Nikamuuliza
"Kwahiyo alipokwambia huyo mwanaume Haeleweki, wee ukamshaurije?"

Akasema,
"Mi nmemshaur aitoe TU"

Nikamuuliza "kirahisi hivyoo?"

Akasema
"Ndio, aitoe TU hiyo mimba.
Maana mateso ya kulea mtoto bila baba anayeeleweka hata mie hilo sitaki."

Nikamuuliza
"Ukisungumzia baba anayeeleweka unamaanisha Nini?"
"Unahisi kwenye Hilo uko sahii Sana?"
"Wee ungetolewa mimba ungekua Hapa?"
"Huoni unashiriki dhambi ya mauaji?"
"Hujafikiria hatari za kiafya baada ya kutoa hiyo mimba"
"Amaa Kweli adui wa mwanamke Ni mwanamke mwezie"

Akasema,
"Wee nae umeanza siasa zako, hujui machungu kua kulea mtoto peke yako.
Unazeeka na unachakaa na Nyie wanaume mlivyo waajabu mkishazalisha mnatelekeza tu, na nyie wanaume hata mkimpenda, mkiskia mwanamke anamtoto mnasema hamuwaoi. KAZI Kuwachezea TU"

Akaongezea,
"Na mdg wangu yule alivyo mrembo shindwe kuvaa shela kisa hicho kimimba Cha mpuuzi mmoja asieeleweka, mfyuuu. Na Akakitolee mbali uko" anafanya Kama anapenga kamasi
Duh! Nikastaajabu ya mussa

Sasa Nmetoka kwa mamaJ ikabd nimpigie rose kwann mambo yale ya mimba kaenda kumshirikisha dada Yake?

Hivi na hii sintofahamu iliyopo ya mimba ni ya Nani, Anafikiria itakuaje dada Yake akija kujua tuliwahi kua na mahusiano, hata Kama kweli mimba sio yangu. Hivi itakua Ni balaa gani umelitengeneza huyu?

Akasema
"wee si ushakataa mimba sio yako, mimi kwangu hilo linatosha. Mengine ya nimemwambia Nani,kiende kirudi hayo ni hayakuhusu"

Akaongezea,
"Huwezi kunizuia kuwasiliana na dada yangu maana yeye Ndo msaada wangu kwenye shida na raha Hapa mjini. Tafadhali Kichwa changu kwa sasa hakiko sawa.Na Tena naomba unikome na ufute namba zangu kabisa mwanaume fedhuli wewe" Kisha akakata Simu"

Dah! Kichwa kikabaki kinauma,
kila Nikampigia Simu yangu anaikata, nikituma sms zangu hajibu.

Basi nmeamua kampotezea mazima na Ni wiki Sasa hatuwasiliani kabisa.
Nishajivika bomu kwamba liwalo na liwe. Hata aende wapi, Nina uhakika 100% hiyo mimba sio yangu.

Itakua Kuna mtu kamtia mimba uko mitaani, afu anataka kuniangushia jumba bovu mimi.

Sasa Kikichonistua zaidi juzi,
MamaJ kanipigia na kunitaarifu kua mdg wake keshakubali kwenda kuitoa, sema sasa hana ela anaomba nimsaidie laki Moja ili asimamie hiyo shughuli wakaiflashi hiyo mimba haraka sana. Moyo umesita Sana.

Na Kiukweli nmejaribu sana kumshauri wasifanye hivyo, ila mamaj kakataa kata kata. Kasema Hii mimba inatolewa.

Basi ikabd kukubaliana nao,
Niliwahidi jana kuwapatia hiyo pesa,
Ila danadana ndo zimekua nyingi mno,
Yaani kila nikijaribu kuitoa iyo pesa Moyo wangu unakua mzito Sana. Nasita.

Nilipo Hapa MAWAZO KIBAO,
Kuna mambo Hapa yananiumiza KICHWA.
1. Ni kwann huyu mwanamke
Amwambie dada Yake habar kama hizo, hivi anajua impact yake? Anajiamini Nini labda!

2. Kwa umri wa mimba,
Maelezo ya dokta inaonyesha Ina miez 3. Maana ake imeingia mwezi wa 7. Ila Kuhalisia Huo mwezi wa 6 na 7 wote hatukukutana kabisa kimwili.
Tumekuja kukutana mwishoni mwa mwezi wa 8, unelekea wa 9.
Na huo mwezi wa 8 kwa Mara zote tulizokutana sikumwaga shahawa kabisa mpk tukagombana.
(yaan sikufika kileeni kabisa).

Hivi inaingia akilini kweli
Yaani ukutane na mwanamke mfanye afu usimwage kabisa na baadae aje akwambie eti ile mimba Ni yako?

3. Maelezo yake khs mara ya mwisho kuziona siku zake yanajikanganya Sana,
-Tulivoenda maabara alisema Mara ya mwisho kuziona siku zake Ni mwezi wa 8,Mana ake hii mimba imetungwa mwezi wa 8, sasa Ina miez 2.

-Tulivoenda hospitali kupima ultrasound akasema Mara ya mwisho kuziona siku zake Ni mwezi wa 5.
Mana ake hii mimba imetungwa mwezi wa 5, Sasa Ina Miezi 5
(Mwezi wa 5 tulikutana Ila nilimwagia nje, nayo Ni Mara 1 TU.)

-Na dokta alivopima akasema inaonyesha Hii mimba imeingia mwezi wa 7, mwezi ambao Mimi na yeye hatujakutana kabisa kimwili (tumekutana mwezi wa 8 mwishoni)
mana ake mimba Ina Miezi 3

Wakuu,
Huu mkanganyiko Ni wakawaida?
Au vipi, Kipi Ni sahii Hapa?

4. Hivi Hii ya rose kuninunia na kunifungia mawasiliano, lengo lake Ni Nini hasa? Anahisi ananikomoa?

5. Hivi hili suala lao la kuitoa hiyo mimba limekaaje?

-Wanaendaje kuitoa mimba bila idhini ya baba mhusika?
(Mpk Sahv hajamtaja baba husika wa hiyo mimba,maana ake HAJULIKANI)

-Imekaaje hii ya wao kunishirikisha nikachangie fedha za kwenda kuua damu ya mwanaume Mwenzangu?

Aisee
Nawatafakari Sana wanawake akili zao hizi siwapatii majibu kabisa.

Shukran
 
Back
Top Bottom