Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Mie sikupingi wala sikuungi mkono, just nitachangia mkasa ambao unaendana na huu uzi..

Niliingia duka la madawa nikamkuta mdada anaulizia huyo dada ni shemeji yangu mke wa rafiki yangu yeye hakunijua japo mimi namjua fika, nilikuwa namfahamu kabla hata siku ya harusi yao nilihudhuria ila hakunikariri Labda sababu ya watu wengi na kipindi hicho nilikuwa na mambo ya shule so sikupata nafasi ya kuwatembelea kwao mara kwa mara zaidi ya kuwasiliana na jamaa yangu tu na nikirudi mtaani tunaonana maskani bila kufika kwake

Basi nikamkuta bibie anaagiza miso zake na kwa maongezi yaliyokuwa yanaendelea ni kwamba mtumiaji ni yeye, tena wakati huo najua jamaa yangu amesafiri kikazi kwa takribani miezi mi5 hv.. Nikatabasamu moyoni nikakumbuka mstari wa prof j katika bongo daresalaam, mambo ya kuuziana cheni bandia kwa pesa bandia, wakat bibie anatoa mimba tayar jamaa nae kaishatia mimba nje wanawake wawili tofauti bibie hana taarifa, huku bibie anatoa mimba kumficha mume

Mpaka leo familia yao haijajaaliwa mtoto japo jamaa yangu ana watoto wa 4 wa nje ya ndoa bila mke kujua, mmoja alifukuzwa kwao so kesi ndio ikafika nyumbani kwa mke akizaliwa huyu anakuwa mtoto wa 5 kwa jamaa, mke nae alishazaa mara 2 huko nyuma kabla hajaolewa na mchizi, wanadunda mpaka leo japo hii mimba ya 5 ilitaka kuharibu kila kitu, japo sasa hivi limeisha, na ukiwaona hiv wanaonekana wanaishi kwa amani huwez jua km bibi mafia bwana yakuza.
 
Sense.
Nimeshawah kusikia ushuhuda huu tena toka kwa watumishi wa Mungu kabisa.Mwanamke ali conceive akiwa na mtoto wa miezi miwili tu.Sasa kuficha aibu waka abort lakin iligundulika kwakua hawakua wazoefu wa mambo hayo ya manslaughter ..
Walikosea sana.
 
Yaani leo hii Mungu akisema waliowahi kutoa mimba wote wanakufa,litakuwa ni janga la kitaifa,itabidi Mabeberu waisaidie serikali yetu kulea yatima.
Naomba msinisute huo ndo ukweli sema kinachoua soo..ni kua inakua makubaliano yenu wawili kati ya mke na mume kwa kuhofia aidha km mna mtoto mdogo au hamko tayari kupata mtoto kwa wakati huo

Nna ushahidi japo wa ndoa zinazonizunguka kila mmoja kashapanchi aseehh!ukiuliza wanakuambia kwani si nafanya na Mme wangu...!!!Tena mwanaume ndo wanaenda kunnua hizo Misoprotol!!!!

Sasa km mkeo au mmeo kwa nini msitumie Kalenda au mpira..Mpira wanaume hawapendi kutumia kwa wake zao asilani!!!mwisho wanajikuta mimba juu ya mimba wanatoa...Mungu anawaona lakini mnaofanya hvyo na wake zenu!!!

Dhambi ni dhambi tu kuua ni kule kule kiumbe kisicho na hatia iwe ndoani au kwenye uzinzi hakuna aliyehalalishiwa...

Nyie wanaume saa ingine wake zenu wanatoa mimba bila nyie kujua maana wapo wanaume hiyo dhambi hawajui wanachofanya wanannua Misoprotol anameza unajua yuko hedhi kumbe tayari mama wa marehemu!!!

Tumieni kama kama hamko tayari kulea!
 
Hii ni kweli kabisa,wife kapewa ujauzito na mchepuko alivyojaribu kunipachika kuwa kapitisha mwezi nikamwambia angalia sana mimi watoto wangu ni copyright na mm so kama unataka kunipachika imekula kwako,alichofanya ni kununua hizo dawa na kuabort,nilivyogundua ktk kumhoji akagoma kabisa kuwa hajatoa ujauzito ila kwa sababu nilikuwa na ushahidi katoa ujauzito wa miezi3 na haukuwa wang,jana trh9jun19 nimempa talaka rasmi.
 
Hahahag poleee
Mnawananga Sana masingo maza,kumbe Kuna kina waifu matirio wanaoongoza kuua viumbe waso hatia bila sababu,na wamejificha kwenye kivuli Cha ndoa.
Pia wanaume wengi wanakataa watoto zao wanatelekeza wanawake,then wanakwenda kubambikwa watoto wasio wao kwenye so called ndoa.Mungu huwa hamfich mnafiq
 
Hahaaa!!pole Sana ila usingemuacha

Kabisaa yaani wanaume wengi wanabambikiwa watoto ujue!!na wengine wanatoa wakijua mimba si ya mmewe
Hahahag poleee
Mnawananga Sana masingo maza,kumbe Kuna kina waifu matirio wanaoongoza kuua viumbe waso hatia bila sababu,na wamejificha kwenye kivuli Cha ndoa.
Pia wanaume wengi wanakataa watoto zao wanatelekeza wanawake,then wanakwenda kubambikwa watoto wasio wao kwenye so called ndoa.Mungu huwa hamfich mnafiq
 
Hahaaa!!pole Sana ila usingemuacha
Nimeshindwa kuvumilia kwa sababu ni mbishi na kashfa juu,huku mm nikiwa na ushahidi wa kutosha,mwanamke ikifikia anaapa kwa kutumia kitabu cha dini tena ndani ya mwezi mtukufu kuwa hajatoa mimba wakati ushahidi uko wazi ni wakuogopa sana.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Huo sasa mtihani duhh!
 
Back
Top Bottom