Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Nadhani si rahisi kuzungumzia family planning method ukiwa na mtu unakutana nae mara moja moja

Ni tofaut sana kulinganisha na wanandoa,

Mnaweza tu kujikuta tukio fulani limewapelekea mpaka kwenye tendo bila kuplan

Ukihesabu unaona ni siku ya tisa unachukulia poa,
Mwishowe mtu ananasa.

Saa nyingine mtu anakojoa nje kumbe wazungu hawajaisha anachomeka tena,kitu kinanasa!
hatariii
 
Kaka kwahiyo wewe hauwezi kumwaga nje na kufika kileleni bila kumwagia kwenye mdomo wa mke wako? Na wao pia tuwaelewe wanaposema wanaona kinyaa kuna vitu siyo lazima kufanya hata kama vinakupa starehe kuna njia nyingi tu ambazo unaweza kufanya baada ya kumwaga nje na ukaridhika bila kumwagia mdomoni kwa mkeo tendo la ndoa siyo kukomoana bali kufurahishana kama mkeo hapendi kumeza hiyo midude yako kwanini umlazimishe?

Ungeoa ambaye anapenda kuimeza maana lazima mlianza kufanya kwenye uchumba na ulishajua kuwa anapenda au hapendi vinginevyo huku kwingine ni kutafuta sababu za kuchepuka au kumuacha mkeo sababu eti kisa tu kakataa kumeza shahawa zako na umempata ambaye kakubali kuzimeza saa nyingine tujiweke kwenye nafasi zao na kujiuliza je wewe ndo ungekuwa yeye ungekubali kufanya hivyo?
Umeona eehh!maana zile Nazo kumeza yataka moyoo kaahh
 
Hii ni miongoni mwa dawa zinazotolewa kwa idhini ya Daktari(Prescription only medicines) ndio maana zinauzwa kinyemela na ukikutwa unauza(hapa niseme kutoa, maana kuuza haijakatazwa sharti pawepo na ruhusa ya Daktari(prescription) ) hizi dawa bila idhini ya Daktari unapigwa faini.
Sawa mmeelewa kaka
 
upoooo????nyonyoooo
Hahahahahahaha nimekumbuka last week kuna jamaa alikuwa ananitongoza basi ni vile anaongea sanaaaa na akiongea Mara aniambie upo nyonyo'" Sijui nini ....

Nikaona hapa hakuna mwanaume hapa nikasubiri amalize ujinga wake ....nikamwambia Mimi sikutaki kabisaaaa siwezi kua na mtu anaeongea kama wewe ....sipendi mtu mwenye maneno mengi kama chiriku
 
Hahahaaaa!!!!
 
Upo nyonyo?..mwanaume rijali hawezi kuongea huu upupu
 
Misimamo yangu miwili katika maisha yangu..
1.sitashiriki kutoa mimba au kushauri mimba itolewe..

2.sitakana mimba nikihakikisha Ni yangu..

Nashukuru mpaka sasa sijawahi go against my principle.Kuna mambo tunafanya kwakweli yanatutia mikosi tu
 
Mimba ya week 4 sio mtu huyo tayari, so sioni kosa kuitoa ikiwa bado hamtaki kupata mtoto. Nikiwa kwenye hiyo nafasi nitafanya tena na tena wala sioni ubaya wowote. I am pro-abortion
 
Mkuu kuua ni kuua tu sio lazima kawe ka-embroy or zygote ndo ihesabiwe umeua. Kumwaga manii/shahawa chini au kwenye kondom nayo ni kuua pia. Kwenye hili dawa ni kusoma kalenda vizuri basi
Sasa umetumia condom kafa nani!?? This is bullshit
 
Back
Top Bottom