Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Hakukua na ulazima wa kutaja jina la hiyo dawa ispokuwa wew kwa kuitaja jina lake yawezekana ikawa ndio sababu ya wengi zaid kutoa hzo mimba
 
Sasa mbona Raynavero kasema zinauzwa kwa kuficha kama ni dawa za ulcer
Hii ni miongoni mwa dawa zinazotolewa kwa idhini ya Daktari(Prescription only medicines) ndio maana zinauzwa kinyemela na ukikutwa unauza(hapa niseme kutoa, maana kuuza haijakatazwa sharti pawepo na ruhusa ya Daktari(prescription) ) hizi dawa bila idhini ya Daktari unapigwa faini.
 
Ooh,okay
 
Kwa hiyo haihusini na uzazi?

Mana kama inamezwa na mwenye vidonda vya tumbo ila akimeza mwenye mimba inatoka mana yake sio salama hata kwa wanaotumia kwa vidonda vya tumbo
Ukiwa mjazito halafu ukawa na ulcers, huruhusiwi kutumia hii dawa maana madhara yake ujauzito utatoka. Ila kama hauna ujauzito unaruhusiwa kuitumia ili utibu ulcers
 
Kuna mmoja katoa sana mpaka sasa hivi hazai mtoto wa kwanza ana six yrs kila siku ananisumbua nimtafutie mitishamba , .
Walishauriana na mume wake ila sasa hivi mume anadai mtoto , na kuna tetesi jamaa ana mtoto nje .
Baada ya kuchoka kuweka mavidonge chini huko akaanza kutumia njia za kisaaa balaa lake sasa kila siku ugomvi hadi jamii inajua mume anamtukana hatari wakati ndo alishauri, .

Pia vipandikizi sijui mavijiti masindano siyo powa , ni bora kutumia njia ya asili kalenda , na wanaume tuwe na huruma kwa wanawake zetu , . wakati wa kufata hiyo kalenda.

Pia withdrawal iko powa mbona , umekaribia kuejaculate chomoa mpe kwa mdomo maliza shida zako ahakikishe wazungu wameisha kama unajiweza unaendeleza game , ili na yeye afike paradiso.

NA NYIE wanawake ndo muwe mnapanua hiyo midomo sasa, ili tufanye yetu humo kuepuka ugumba siyo kusema ati kinyaaa.

TUANGALIENI TUU JINSI TULIVYO SISI WANAUME
 
Mdomo afanyaje ???? Apizz mdomoni??? Tobaa mama nakufa huu ujasiri hapana
 
Back
Top Bottom