uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,498
- 27,280
Ok nimekusoma!Dawa za kupunguza maumivu kwa wajawazitozesh jamani kaah
Ok nimekusoma!Dawa za kupunguza maumivu kwa wajawazitozesh jamani kaah
Sawa nilikuwa cjui ni hivyo tu!I mean dawa za kupunguza damu itokayo kwa wingi kwa mama aliyejifungua
Ni hatari sana kwa afya zaoYaap ila wanawake wamezipa kazi isiyo yake ya kutolea mimba
Haahhaaa...wao ndo waalimu kweli kabisaa yaaniShida ni kuamuliwa maamuzi na jamii!
Wanawake kwa kifupi maamuzi yametushinda tunayabeba mengi sana ya jamii
Unasahau wewe binafsi unahitaji nini!!
Unakuta mtu kabeba mimba badala ya kwenda clinic anaenda kwa shogaake. Shoga anamwambia watu watakushangaa umebebanisha watoto,mara utambemenda mtoto!!
Kwa kukosa maamuzi anabeba maneno anakwenda kutoa mimba!
Hao wazungu wanaohubiri family planning ni waalimu wa kupishanisha watoto miezi!![]()
Yes na ndio kazi kuu ya hivyo vidonge sema moja ya effect zake ni kutoa ujauzito sasa watu wameifanya rasmi kwa ajili ya kutoa ujauzito
Labda sheria ya safe abortion ipitishwe ili sasa ufanyike salama kwa ushauri wa daktari au we unaonaje maana kuna wkati unalazimika kutoa kutokana na mazingira ya mimbaHawajali watu mradi yao yanaenda
Na umezaji wake kidogo kuna tofauti kwa ajili ya utowaji mimba unaviweka chini ya ulimi unameza mate ....kwa vidonda vya tumbo unameza na maji kama kawaKwa hiyo haihusini na uzazi?
Mana kama inamezwa na mwenye vidonda vya tumbo ila akimeza mwenye mimba inatoka mana yake sio salama hata kwa wanaotumia kwa vidonda vya tumbo
Kumbuka hakuna dawa zisizokuwa na madhara zikitumiwa tofauti na matumizi yakeKwa hiyo haihusini na uzazi?
Mana kama inamezwa na mwenye vidonda vya tumbo ila akimeza mwenye mimba inatoka mana yake sio salama hata kwa wanaotumia kwa vidonda vya tumbo
Loh mkuuu kumbe me najua ni dawa ya ulcer inaenda sambamba na aspirin, ibuprofen, naproxen.Raynavero kumbe hizo misoprotol ndio zinasaidia mimba kutoka
Safe abortion inaruhusiwa kuokoa mama km kuna shida kinyume na hapo sijui km itawezekana!Labda sheria ya safe abortion ipitishwe ili sasa ufanyike salama kwa ushauri wa daktari au we unaonaje maana kuna wkati unalazimika kutoa kutokana na mazingira ya mimba
Anha okay nimekuelewaNa umezaji wake kidogo kuna tofauti kwa ajili ya utowaji mimba unaviweka chini ya ulimi unameza mate ....kwa vidonda vya tumbo unameza na maji kama kawa
Kumbuka hakuna dawa zisizokuwa na madhara zikitumiwa tofauti na matumizi yake
Ndio itabidi wairuhusu iwe hivyo ili kuokoa vizaziSafe abortion inaruhusiwa kuokoa mama km kuna shida kinyume na hapo sijui km itawezekana!