Mods/admin tafadhali kuna uwezekano wa kuifanya hiyo post ya kwanza isionekane?
Ogah, mie bado natamani sana jamaa wa PSU waje hapa watupe elimu kuhusu kazi yao, kuna forum mmoja nilikuwa nakwenda kabla haijafungwa wamejazana jamaa wa Close Protection kutoka sehemu mbali mbali duniani alafu wengi wao walikuwa wanajuana.
Chini hapo ni intro documentary ya secret service, ninayo kwenye dvd najaribu kuicompress na kuiupload online.
YouTube - National Geographic: Inside the U.S. Secret Service
........Kweli kabisa.....Mods ikiwezekana kwa hii thread kama mkiweza hiyo post ya kwanza isionekane kila page....mtu akiataka kuiona na aende page ya kwanza...........
Icadon,
trust me jamaa wapo hapa kwa sana tu........ila ni waoga sana........hawana confidence...............shule unayotoa hapa JF Mkuu inawasaidia sana.......kama ume-note kuna mambo fulani uliyazungumzia..........na immediately wakayafanyia kazi.........