Walinzi wa Museveni & Gaddafi watwangana vikali- Karume Asukumwa!!!

Huyu Gadafi ni jeuri by nature. Mimi nadhani kutokana na dini yetu ya kiisilam wanawake wanatakiwa wajistiri, yeye wale wanawake zake ambao anaiwaita Amazonian mbona hawajavaa Nikab (ninja)? au hawako kwenye full hijab?

Hapa kuna politics within, sema mwenyezi mungu amuongoze kwa kutuongezea sehemu ya ibada. Lather than that, inasikitisha kuona watu wanapotumia religion for their own politcis purposes. At the end of the day normal civilians become loosers.

Jakaya yupo mbuga za Serengeti, anajua kabisa Bush ni mshikaji wake na Bush anafuatilia nyendo zake. Sasa akisikia alikuwepo karibu na Gadafi, hahahaha you do the math. Atawekwa kwenye watch list.
 
Kuna sababu yoyote maalumu iliyomfanya Rais Kikwete asiende kwenye ufunguzi wa huu msikiti? viongozi wenzake wote wa Afrika Mashariki walikuwepo.

Hakukuwa na ulazima kuhudhuria ufunguzi wa Msikiti, we jiulize kweli hakuna mambo ya maana ya kufanya hadi kiongozi wa Nchi aende kwenye Ufunguzi wa Msikiti?
Huna haja ya kuhoji mahudhurio ya mtu kama Kagame au Kibaki hao ni marafiki binafsi wa M-7,
Kagame alisaidiwa na M-7 kuingia madarakani na Ye ndio anaopigania Rwanda na Burudi kuingizwa kwenye Nchi za Mashariki mwa Africa.
Kwa Kibaki, M-7 alimsaidia sana na alikuwa ana msupport kwenye mgogoro na ye anataka kumtumia kwenye kampeni yake ya kuwania Urais wa Jumuiya ya Africa.

Pia ikumbukwe Gadafi aliutaka sana Urais wa AU na kwa upande wa nchi za Kusini mwa Africa, mtakumbuka ziara yake ambapo alitembelea nchi kadhaa kwa kutumia Barabara na kumwaga mapesa kwa kila nchi aliyopita.

Gadaffi alitaka sana ushawishi na msaada kwa M-7 kwa kipande hiki cha Africa MAshariki, usidhani M-7 kawaalika bure hao, na ndio maana unaona Kampeni yake ya kujenga misikiti kwa sehemu hizo imepamba moto ukiwepo ule wa Dodoma na ambao utajengwa Mombasa pia.

Kwangu mi naunga mkonoi kwa Kikwete kutohudhuria sherehe ile, kwani Kikwete anajua nyuma ya Pazia ya Mkusanyiko ule.
 
Kuna sababu yoyote maalumu iliyomfanya Rais Kikwete asiende kwenye ufunguzi wa huu msikiti? viongozi wenzake wote wa Afrika Mashariki walikuwepo.

rais wetu hawezi kwenda kwenye upuuzi wa ghadafi..tanzania hatujipendekezi..na hata angekwenda angerudi tungemuuliza alifanya nini wakati biblia inatukanwa...ingebidi a walk out...kwa sababu nchi yetu haiwezi kukubali comment za aina hiyo hata kama dini yake islam..
 
nashauri ghadaffi asikanyage tanzania...hivi alikuja kumzika mwalimu??..nakumbuka ali,pa pesa mwlimu ya kujenga msikiti wa butiama...akitaka anaweza kujenga misikiti yote hapa ..lakini hawezi kuja kuifungua kwenye ziara ya kiserekali..kwa kuwa nchi yetu haina dini..na hatuataki vurugu...
 
compound fracture a.k.a open fracture ni fx ambayo kwenye eneo lilovunjika kunakuwa na opening(not necessarily kwamba mfupa unaoneka, lakini inaweza kuwa hivyo) ambayo inaweza kusababisha infection kubwa sana kwenye fxed bone(s), wajua tena kwasababu hakuna barrier hapo na ni trick sana kutumia POP

Chuo gani ulipojifunzia orthopedic mheshimiwa? Compound fracture wewe ulifundishwa ni sawa na open fracture?
KAMA WEWE NI DOKTA I WILL BE DEEPLY DISSAPOINTED
 
Ama kweli mwenye nacho . Yaani hata sheria zinavunjwa kisa kaingia hapo Gaddafi ?
 
Jamani tunasahau kuwa wakati Kikwete yuko MoFA Gaddafi aliwapa yale mabenz meusi, so hawa wawili wanajuana at least back then. Anyways I think ilikuwa good move kwa muungwana kutokuudhuria again kudos!!!
 
Ama kweli mwenye nacho . Yaani hata sheria zinavunjwa kisa kaingia hapo Gaddafi ?

Walinzi wa Gaddafi wanadharau siku zote nchi yoyote wakienda Afrika wanaleta vituko, hii ya wao kukwaruzana na Waganda sio mara ya kwanza. Msemaji wa PGB(Uganda) naye alisema ni dharau na ubaguzi tuu.

Mods na Admin tafadhali merge hii thread na hii hapa..
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11129

Ahsanteni.
 
Hivi watu muhimu katika ufunguzi wa msikiti ni masheikh na maimam ama ni wanasiasa (ambao kwanza hawafuati dini?). Hii mbona imekuwa siasa badala ya dini? Mtaniwia radhi wadau, lakini mie naona kuwepo kwa wanasiasa hao msikitini na kuwapa coverage kubwa kuliko hata wenye dini yao ni kuunajisi msikiti huo! Marais sita msikitini, ufunguzi tu, na tena marais wenyewe hawana rekodi nzuri ya utawala, na wala kwa matendo yao si wacha Mungu! Haiingii akilini. Mie si mwislamu, lakini natamani sana kusoma maoni ya waislamu kuhusu jambo hili.

Kwa taarifa tu ni kuwa marais wote waliokuwa ndani ya msikiti huo siku ile ni majambazi walioangamiza maisha ya watu wengi sana, damu iliyomwagwa kupitia mikono yao na amri zao ni nyingi mno: Tukianza na kinara mwenyewe Muammar al Qaddafi, ile ndege ya PanAm flight 103 alikiri mwenyewe baada ya miaka 15 ya mabishano kuwa alituma watu wake wailipue huko Lockerbie, Scotland. Watu 270 wasio na hatia, na wala hawakuwa wapiganaji, waliuawa. Akakubali kijeuri kulipa kwa kila mmoja dola milioni 10! Wafuatiliaji wa historia watakumbuka lile genge maarufu la "Black September", lilikuwa linachukua malipo moja kwa moja toka kwa Gaddafi. Tukiorodhesha waliouawa na Gaddafi hatutamaliza leo. Mwenyeji wake Yoweri Kaguta Museveni, huyu nadhani hakuna hata haja ya kusimulia ujambazi wake unajulikana sana, amesababisha misiba isiyo na idadi katika vita zake za kifisadi huko Kongo ya Kinshasa, ndiye aliyemfadhili Kagame katika mauaji ya Rwanda, anahusika hata Burundi, na ya huko kwake Uganda hayasemeki. Paul Kagame alifanya mauaji mengi ya kutisha huko Rwanda kabla hajafanikiwa kuchukua madaraka. Inafahamika kuwa ndiye aliyetoa amri ya kuilipua ile ndege alimokuwamo Habyarimana (ingawa baada ya kuingia madarakani amejitahidi sana kuharibu ushahidi huo), na hata jaji mmoja wa Ufaransa alipopendekeza kuwa Paul Kagame aunganishwe katika kesi ya mauaji ya halaiki ya Rwanda kama mmojawapo wa watuhumiwa, Kagame alikuja juu na kuvunja uhusiano na Ufaransa, na kuimarisha jitihada za kuharibu ushahidi uliokuwapo. Huyo Pierre Nkurunzinza mauaji aliyoyafanya na kundi lake la CNDD-FDD kabla ya kuingia mkataba wa amani uliomweka madarakani nayo ni mengi mno. Na kwa hofu aliyokuwa nayo (paranoia), aliwahi kumweka kizuizini Domitien Ndayizeye rais aliyempisha madaraka hayo, ati anataka kumpindua (haamini mtu maana mwenyewe pia haaminiki, ni muuaji!) Huyo rais wa Somalia watu wote wanaelewa ni mbabe wa vita aliyeendesha maisha ya kijambazi tangu kuangushwa kwa Siad Barre 1991, amekuwa akiishi kwa kuua wanaompinga! Huyo Mwai Kibaki, mwataka niseme nini juu yake? Ujambazi aliofanya katika uchaguzi wa mwaka jana huko Kenya na mauaji yaliyofuata ni ushahidi tosha! Ni wazi kuwa katika marais wote hawa niliowataja, hakuna hata mmoja wao ambaye kwa matendo yake ni mcha Mungu, na wala kimatendo hawaifuati dini yoyote (ingawa kwa majina wanajitaja kama waislamu au wakristo).

Mshangao wangu: Hili genge la wauaji linafanya nini msikitini?
 
mbona naona hao wakuu wametinga na viatu
msikitini? au kwenye shughuli kama hizo
suala la kuvaa viatu huwa linakuwa "waived"?
 
gadaffi na demokrasia

Political parties dismiss Gadaffi’s remarks on democracy
Tuesday, 18th March, 2008


Ofwono defended Gadaffi

By Barbara Among and Moses Mulondo

Politicians have rubbished Libyan leader Muammar Gadaffi’s advice that African leaders should resist western democracy and only retire when the voters will.

Gadaffi, while closing the Afro-Arab youth conference on Monday, said term limits were alien to Africa and inhibited people from expressing their will.

He hailed leaders like President Yoweri Museveni and Robert Mugabe of Zimbabwe as African heroes, who should continue ruling.

However, politicians said democracy, like human rights, were doctrines that could not be defined according to race or tribes.

“Democracy is neither African, European nor Asian. Like Human rights, it is universal,” said UPC secretary general Peter Walubiri

He said Gadaffi’s remarks were a mockery to the values of the Commonwealth, which President Museveni is chairing.

The call for leaders to rely on the will of the people, Walubiri noted, was an “empty statement” since armies are central in African politics.

The treasurer of the ruling NRM parliamentary caucus, David Bahati, said Uganda would alienate itself from the international community if it adopted its own form of democracy.

“We should know we are part of a bigger international community and it is important for Uganda to respect those principles.”

Bahati also dismissed Gadaffi’s declaration of Robert Mugabe as an African hero, given the suffering Zimbabweans are facing.

He also pointed out that Uganda’s Constitution gave people power to determine how long the president should stay.

The leader of the opposition in Parliament, Prof. Ogenga Latigo, was equally dismissive.

“What is African? How do you define Ugandan? Democratic principles are universal, respect for rule of law, people’s decisions and institutions. There is nothing African or European about it.”

In defence of Gadaffi, the NRM deputy spokesperson, Ofwono Opondo, said democracy should be defined according to societal values.

“In Uganda we have a multiparty political system that still values individual merit. This is democracy, defined by Uganda.”

The FDC spokesman, Wafula Oguttu, however, accused Ofwono of selectively applying democratic principles. He said holding periodic elections without a level playing field was no democracy.

“Are things like abuse of human rights, vote rigging and illegal detention African,” he asked.

DP president Ssebaana Kizito said Gadaffi had a history of promoting dictatorships.

“Gadaffi was the leading defender of Idi Amin’s autocracy. Not only did he decorate him as field marshal, but also gave him military assistance and encouraged him to declare himself life president.

“It is Gadaffi who persuaded Museveni to lift the term limits.”

Ssebaana also demanded that Uganda defines its foreign policy.

“Ours is a democratic country. We share nothing with Libya on issues of governance.”

Source:New Vision online

hii ni kabla la vagi la walinzi
 
unataka ubishi usio uweza, kasome tena orthopedics au wewe weka cpd fx jinsi unavyojua wewe!!! sio kuongea tu, acha uswahili mjomba........km upo disappointed shauri lako!! ukisha juwa kuwa cpd kwa jina lingine ni open, njoo hapa uombe msamaha.

Wakuu mie ndie niliyeomba kusaidiwa maana ya "compound fracture" maana nilijiona siijui, hasa kwa kuwa ninyi wataalamu mnatuita sie wenzenu "ngwini", na hata wengine kukejeli degree zetu za B.A kuwa ni "Believe Anything"! Lakini nashangaa wenyewe hamuelewani, na mnatupiana madongo hadharani! Basi nimeamua kufanya bidii mwenyewe, nikatafuta definition nikaipata, nayo kwa kifupi sana ni: Compound fracture: A fracture in which the bone is sticking through the skin. Also called an open fracture. Hii nimeipata hapa: http://www.medterms.com/script/main/art.asp?articlekey=8083

Aibu kwenu madaktari, mnatuita "ngwini" lakini ukifikia wakati wa kuzungumza kisomi mnaparurana wenyewe!
 
Mzee wetu Shein hakuwa na walinzi wa kumdaka?? Jamani hii ni aibu sana kwa sisi waafrika. Mie nafikiri hapa ni kila mtu kutangaza ubabe wake. Gaddafi bado ana mawazo ya kuwa Mtawala wa Taifa la Afrika na huenda Kaguta Museveni naye alikuwa anataka kuonyesha mambo aliyokuwa akifanya msituni kabla hajaingia katika jumba hilo. Racism nayo inaweza kuchangia lakini no matter what sisi wote ni Waafrika hata kama ungekuwa na sura laini kama ya nyanya au ngumu kama ya tako.
 
Mzee wetu Shein hakuwa na walinzi wa kumdaka?? Jamani hii ni aibu sana kwa sisi waafrika. Mie nafikiri hapa ni kila mtu kutangaza ubabe wake. Gaddafi bado ana mawazo ya kuwa Mtawala wa Taifa la Afrika na huenda Kaguta Museveni naye alikuwa anataka kuonyesha mambo aliyokuwa akifanya msituni kabla hajaingia katika jumba hilo. Racism nayo inaweza kuchangia lakini no matter what sisi wote ni Waafrika hata kama ungekuwa na sura laini kama ya nyanya au ngumu kama ya tako.

Tulaumu njaa za viongozi wetu . Gaddafi huwaita kwa kuwadhalilisha anawalipia usafiri na gharama hotels na pocket money na walinzi wanajua ndiyo maana wanaleta zao za kunyaa nyaa .Njaa mbaya .
 
Hivi Bush anapokuja tembelea nchi zetu naye ma body guard wake hunyang'anywa silaha na kubakia na hizo pistol 8?..
Nauliza tu nipate kufahamu kama kuna sheria maalum ya kimataifa na Marekani hukiuka.
 
Hivi Bush anapokuja tembelea nchi zetu naye ma body guard wake hunyang'anywa silaha na kubakia na hizo pistol 8?..
Nauliza tu nipate kufahamu kama kuna sheria maalum ya kimataifa na Marekani hukiuka.

Ha ha haaaaaa unauliza majibu. Walinzi wa Bush walikuwa wamarekani wenyewe hukuwaona walivyoparamia Ikulu kule juu?


304528548.jpg



34erdsw3as6.jpg



er435rfdtuv2.jpg


765ythgfgy0.jpg


Gonga hapa
 
I guess walinzi wa Karume walikuwa nyuma nyuma kama kawaida yao..
Kwanza Karume anapewa walinzi wangapi? maana tunaweza tukawa tunawasema tuu kumbe wako wawili au watatu.
 
Back
Top Bottom