Pope
Senior Member
- Dec 3, 2007
- 117
- 0
Mkuu Mkandara.
Naomba nikuweke sawa, Makubaliano yanakuwa kila kitu na walinzi pia inakubalika kutegemea pia na makubaliano, Gadaffi ndio alifika na msafara wake masaa mawili na nusu kabla.
Utaratibu mwingine ni wa kawaida na kama umesoma ile habari uzuri kwa ile fujo ya Uwanjani Nakivubo ni kwamba walinzi wa Uganda waliona kuwa kuna watu wengi ambao walitaka kufika mahala pa VIP especially Arabs walipowazuia ndipo fujo ilianza.
2. kwa suala la Msikitini wale walinzi kilichowapa kiburi ni ile kuwa huu Msikiti tumeujenga sisi ni wetu hakukuwa na jingine kwani pale walitaka waachiwe suala zima la ulinzi wao, ikumbukwe kuwa Mh. Karume alipokuwa akijaribu kuinama avue viatu alisukumwa na hao walinzi kwa kudhani kuwa anataka kufanya kitu mbaya.
Suala la matamshi ya kebehi kwa Biblia hakuna haja ya kumzushi hata ukiingia kwenye archive ya Monotor utaiona na hata wakuu wa dini wa Uganda wame condemn hiyo statement ya Gadaffi.
Ninachotaka kusema ni nini Gadaffi ni Arrogant sana, si muhukumu ila hilo liko wazi kwa vituko vyake tuu.
Kumbuka mengi ya mambo aliyokuwa akifanya alifanya wakati wa Kampeni zake za kuutaka Urais wa Africa.
Uswahiba wa Gadaffi na M-7 haukuanza jana Bwana Mkandara. Gadaffi alijua kuwa haungwi mkono hasa Kusini mwa jangwa la Sahara na alitaka sana kupata ushawishi toka kipande hii, na alimtumia M-7 kwani M-7 naye alitaka kumtumia Gadaffi kwa kampeni yake ya Urais wa Jumuiya ya Africa ya Mashariki (na bado dhamira anayo).
na ndio maana alianza kujenga misikiti na hata Dodoma na Mombasa iko mbioni kwenye mpango huo pia.
Kumbuka ziara yake ya Nchi za Kusini mwa Africa mika michache ilopita ambapo alitumia magari na mbwembwe nyingi ni katika kampeni hiyo.
Binafsi suala hili siliangalii kwenye angle ya kidini zaidi lakini naangalia dhamira yake na hali halisi ya sasa
3.