Walinzi wa Museveni & Gaddafi watwangana vikali- Karume Asukumwa!!!

I guess walinzi wa Karume walikuwa nyuma nyuma kama kawaida yao..
Kwanza Karume anapewa walinzi wangapi? maana tunaweza tukawa tunawasema tuu kumbe wako wawili au watatu.

Mkuu wa mkoa anakuwa na bodygadi?

Enewei kuhusu waliohudhuria nadhani hao marais wamevuna walichopanda. uchu wa kufakamia pesa za misaada ndio unawasahaulisha kero zooote za kusukumwa na kubezwa....

Mnajua nini wandugu? Nauchukia Uislam tokea chini ya moyo wangu. Maana badala ya kuishi kwa misingi ya imani yao, wanaendesha mauaji na mijitabia ya kiuhalifu kwa kisingizio cha dini tena wanasema CHINJA UPATE FAUDA
 
I guess walinzi wa Karume walikuwa nyuma nyuma kama kawaida yao..
Kwanza Karume anapewa walinzi wangapi? maana tunaweza tukawa tunawasema tuu kumbe wako wawili au watatu.

Ndugu Icadon,

sijasikia hasa mtazamo wa aliyekuwepo kwenye fracas hii, lakini kama wanasema alisukumwa wakati akivua viatu aliliaingie msikitini, basi tunaweza kujenga mazingira yalivyokuwa na kupima kiwango cha efecticeness ya ulinzi wakati huo.

Karume alikuwa anatoa viatu. Location? ni lazima jirani na mlango. Position? Alikuwa ameinama. Hili ni eneo ambalo kwa kawaida waumini wanakuwa wengi, na hivyo, ukizingatia kuwa inasemekana waliambiwa nafasi ni chache, basi waweza kukadiria mbanano uliokuwepo.

Kwa tathmini yangu, immediate individuals to Karume ktk hali kama hiyo na mazingira kama hayo walikuwa viongozi wenzake. Sasa ktk hii pointi, ukaribu wa walinzi, hata kama angekuwa nao 8, nadhani ungekuwa na limitations kubwa.

Kuna uwezekano mkubwa mlinzi mmoja tu au wawili walikuwa immediately after tall (Karume), na kama fracas ilianza kwa ghafla sana wakati tall na walinzi hao wameinama wakivua safari boot zao, basi akapatwa wakiwa off guard. Hakuna better excuse kwenye failure ya namna nii, lakini at least it can be explained na ikaeleweka, hasa ukizingatia kuwa mazingira yakiwa na viongozi wengi kwenye location moja wakiwa wamezungukwa na walinzi wengi, basi hata security risk inakuwa less ukilinganisha na kiongozi akiwa mmoja au wachache kwenye kundi la wananchi wa kawaida wengi.

Ninahisi waliodakwa walikuwa kwenye better position kuliko ya Karume. Pengine ndo kwanza walikuwa wana approach eneo husika na walikuwa na nafasi nzuri ya kusevu.
 
Hapo ndipo nashindwa kuwaelewa Waafrika. Wamarekani wanafanya vitendo vya udhalilishaji mkubwa kwa kisingizio cha kumlinda rais wao na sio kwa kuwapandisha askari wao na mitutu ya bunduki juu ya paa za ikulu yetu, lakini kwa kutuwekea hata idadi ya viongozi wetu watakaosalimiana na Bush kuwa wasizidi 13. Bado tuliona haya yote ni mambo ya ulinzi kwa rais wao, ambapo walinzi wetu hawakuaminika hata kidogo. Inakuwaje leo hii Ghadafi anayesakamwa na kutafutwa kwa udi na uvumba, walinzi wake wawaachie jukumu la kumlinda Ghadafi walinzi wa Uganda? na kwanini kwa Ghadafi ni dharau kwa Bush ni ulinzi madhubuti? TUJISAHIHISHE.
 
Mara Nyingi suala la Ulinzi na masuala ya Kiprotokali ni makubaliano ambayo hufanywa katii ya Host Country na wenzao kutoka upande wa Ugenini na kikao hiki hujumuisha watu wa Usalama,
Protokali pia na Mwenyekiti wake ni Chief of Protocal, hapo ndio hukubaliwa mambo yote ya msingi ikiwemo ratiba, sehemu atakazo tembelea kama ni maduka nk. Sasa basi atakapofika huyu mgeni yanafuatwa makubaliano, lakini mara nyingi hawa wa Libya huwa hawafati ratiba hata siku moja, hakuna siku Rais wa Libya anakwenda mahali akafika muda aliosema, hata huko Uganda walifika 2.30 hours before time na kufanya masuala ya Kiprotokali kuwa magumu kiasi.

Hata kupanga hoteli inakuwa ngumu sana kwa upande wa wa Libya especially upande wa walinzi wake inakuwaga balaa.

So unapofananisha waMarekani na Libya wanachotofautiana ni kitu kimoja, Mara nyingi kwenye kikao kile Wamarekani huleta mapendekezo yao na ni makubaliano ya msingi ya mezani ambayo hufuatwa, si mmekubaliana bwana!!.
 
mbona naona hao wakuu wametinga na viatu
msikitini? au kwenye shughuli kama hizo
suala la kuvaa viatu huwa linakuwa "waived"?

Kuvua viatu ndicho kilichomponza Rais Karume, alipoinama akasukumwa wakidhani anataka kufanya anchotaka kufanya!!

Angalia wakati wana swali Gadaffi mbele kabisa walinzi wote wamevaa buti zao na wako humo msikitini ndani.

sawa kawapa Msikiti ila anadharau huyu... hana dini yeyote anayoiheshimu si ukristu wala usislamu, ndio maana akdiriki kuikashifi Biblia mbele ya halaiki na kusema ni Batili.

Aaaaah

Wabillah Tawfiq.
 
C'mon, this is more than the news. The safety of our leader was at risk here

Hii ni kweli na maila yao bado ni viongozi wetu, na la muhimu tuatakosa uzoefu wa Shein - anajua ni mkasi gani akatie utepe/ama ikiwa ni Karume ataondoka akiwa bado hajagraduate.
 
Hapo ndipo nashindwa kuwaelewa Waafrika. Wamarekani wanafanya vitendo vya udhalilishaji mkubwa kwa kisingizio cha kumlinda rais wao na sio kwa kuwapandisha askari wao na mitutu ya bunduki juu ya paa za ikulu yetu, lakini kwa kutuwekea hata idadi ya viongozi wetu watakaosalimiana na Bush kuwa wasizidi 13. Bado tuliona haya yote ni mambo ya ulinzi kwa rais wao, ambapo walinzi wetu hawakuaminika hata kidogo. Inakuwaje leo hii Ghadafi anayesakamwa na kutafutwa kwa udi na uvumba, walinzi wake wawaachie jukumu la kumlinda Ghadafi walinzi wa Uganda? na kwanini kwa Ghadafi ni dharau kwa Bush ni ulinzi madhubuti? TUJISAHIHISHE.

Mafuchila,

Nikusahihishe kidogo.

wakati wa ziara ya Bush hakuna waliopigana kama ilivyo kwa Ghadafi Uganda (au Rais Ghadafi wa Uganda?) Pengine kuwaona walinzi a USA kwenye picha kunawafanya wengi waone kama walinzi wa TZ walizidiwa na wageni... hapana. Zaidi ya kuwaona waliokuwepo kwenye mapaa (Siyo Ikulu tu, hata mapaa ya majengo jirani), hakuna haja ya kulalamika kuwa eti tunadhalilishwa. Kwa nini tusione kama jamaa walikuwa wanafanya kazi kwa mujibu wa makubaliano? Kuna watu wetu walisukumwa wasifanye hivyo?

Rather, mi naona hilo ni kucompliment ulinzi wa wenyeji, kwa sababu katika usalama, wote adui yao ni mmoja, na katika kulinda lazima tuelewe kuwa uwezo unatofautiana kulingana na nguvu za kiuchumi ambazo zinaruhusu hata kuwa na vifaa na mafunzo ya kisasa zaidi.

Sasa mwenye utaalam zaidi akitaka akusaidie kazi nyingine utasema anadharau? Mbona tunakubali tunakwenda kwao kujifunza hayo na hatuoni kama dharau?

Kwa kupigana mbele ya viongozi na wananchi tena msikitini, na kwa kuingia msikitini Ghadafi na walinzi wakiwa na viatu, kwa kuikosoa Biblia mbele ya wakristo msikitini, Ghadafi amedisplay arrogance ya hali ya juu, na kiimani sidhani kama ameonyesha mfano bora. Anaonyesha kuwa amejenga msikiti kwa kusukumwa na ujeuri badala ya mvuto wa kidini.

Msikiti utakumbukwa daima kuwa ulianzishwa na Amin,lakini ukajengwa na Ghadafi ambaye watu wake walilidhalilisha bara hili kwa kupigana hadharani simply for displaying his military prowess.

Huyu ndiye alitaka awe Rais wa bara letu? No wonder they turned him down.
 
Wait a minute..ina maana hii issue imetokea twice? msikitini na uwanjani?
 
Chuo gani ulipojifunzia orthopedic mheshimiwa? Compound fracture wewe ulifundishwa ni sawa na open fracture?
KAMA WEWE NI DOKTA I WILL BE DEEPLY DISSAPOINTED

HAhahahaha hii kali huenda ni mambo ya kukalilishwa hayo....
 
Kama maelezo tunayopata ni sahihi, hiyo ndo maana yake.

Soma hii habari hapa chini, hawa jamaa inaonekana walikuwa wanatafutiana mahali wazitwange si bure...

The incident occurred at the opening of a massive Gadhafi National Mosque in Kampala, a structure begun by the late Ugandan dictator Idi Amin in 1972 and completed with financing from Libya, according to African media reports.

Minutes after Libyan leader Moammar Gadhafi and his host, Ugandan President Yoweri Museveni, jointly unveiled a plaque to mark the event, the Libyan guards pushed away the guards of other delegations at the mosque's entrance.

The Ugandan guards -- who had traded hostilities with the predominantly-Arab Libyan guards at every joint event since Gadhafi's arrival in the country Sunday -- reacted with fury and fought back.

Museveni briefly lost his balance when a hefty Libyan guard pushed him to a wall. Another Libyan guard pushed Rwandan President Paul Kagame, who also lost his balance but was caught by his own guards.

The vice president of Tanzania was knocked over by fighting guards as he was taking his shoes off to enter the mosque.

Guards to the rest of the visiting presidents and prime ministers kept their respective leaders out of the fray, with some drawing their guns as the dignitaries looked on in disbelief. Some leaders -- notably those from Somalia, Burundi and Djibouti -- were visibly uneasy as guns were drawn on all sides.

By the time the fight was over more than six minutes later, about a dozen presidential guards were left bleeding from compound fractures and the Libyan and Ugandan protocol officials traded bitter accusations of disrespect and racism.

"What are your people up to? Do you want to kill our leader?" a Libyan protocol official said to his Ugandan counterpart.

The Ugandan official, who declined to be named, shouted back, "Why do think you're superior? What makes you think Uganda has any ill intention against Gadhafi?"

The Ugandan official said Museveni's guards were simply doing their job as security for the host country and had a right to respond when the Libyan guards pushed them back.

It has taken 36 years to complete the giant mosque on a hill in the heart of Kampala. It used to be a colonial fort named after British Capt. Frederick Lugard.

The mosque can accommodate as many as 17,000 people at one time, according to the engineers, who call it the largest mosque in sub-Saharan Africa.

Many Muslims interviewed said the mosque's opening evoked sweet memories of Amin, the deceased dictator.

"It is a great day and thanks be to Allah for the completion," said Salim Abdul Noor, 39. "This should remind us that while Amin is demonized as Africa's worst dictator, there are many things he did for this country that successive governments largely depend on, and much of the completed installations and structures like this beautiful mosque was Amin's dream, may Allah rest him in peace."

The Swedish vice president of the European Islamic Conference, Adly Abu Hajar, 57, said the mosque heals rifts in a religion introduced to Uganda in 1844 by Arab slave traders.

"I find this complex has brought unity among Muslims in Uganda. There have been so many factions, but this attraction has brought them together, identifying themselves with a common home."

The fight prompted a crisis meeting by Ugandan security authorities, after which invited diplomats from mainly the European missions in Uganda expressed dismay.

"It's disgrace. It shows there is something wrong yet unknown between the two parties," said the head of one European mission in Kampala, who declined to be named.

The police chief, Maj. Gen. Kale Kayihura, and the head of the army, Gen. Aronda Nyakairima, declined to comment on the fight.

But Capt. Edison Kwesiga, the spokesman of the Ugandan Presidential Guard Brigade, confirmed their hostile relationship with the Libyans.

"It is our responsibility to ensure the safety of any visiting head of state. We have to do our job using any means. But our Libyan brothers always want us to fail. True, it's not the first time they come and act as you see," Kwesiga said.
 
1206104498m7gadf.jpg


Top: PGB men realise that too many Arabs are following the presidents and try to stop them.

Bottom: Presidential Guard Brigade (PGB) soldiers clashed with Col. Muammar Gadaffi’s guards at Nakivubo Stadium on Wednesday. The soldiers had attempted to keep some of Gadaffi’s guards away from the VIP section. A scuffle ensued as both security details tried to assert themselves.

One of Gadaffi’s guards is wrestled to the ground as everyone is pushed out of the VIP area.

Gadaffi, who had been on a four-day official visit, led the prayers at Nakivubo Stadium after opening the national mosque at Old Kampala. Presidents at the prayers included, Paul Kagame of Rwanda, Mwai Kibaki of Kenya, Abdullahi of Somalia and Abeid Karume of Zanzibar

Security ... security ya kuwalinda wezi .......
 
Kwa kupigana mbele ya viongozi na wananchi tena msikitini, na kwa kuingia msikitini Ghadafi na walinzi wakiwa na viatu, kwa kuikosoa Biblia mbele ya wakristo msikitini, Ghadafi amedisplay arrogance ya hali ya juu, na kiimani sidhani kama ameonyesha mfano bora. Anaonyesha kuwa amejenga msikiti kwa kusukumwa na ujeuri badala ya mvuto wa kidini.

Msikiti utakumbukwa daima kuwa ulianzishwa na Amin,lakini ukajengwa na Ghadafi ambaye watu wake walilidhalilisha bara hili kwa kupigana hadharani simply for displaying his military prowess.

Huyu ndiye alitaka awe Rais wa bara letu? No wonder they turned him down.

Hii nimeipenda..

Ubarikiwe..
 
huyu mzee ugomvi ndio zake mwaka fulani alikua kwenye mkutano na waarabu wenzake akatoa mche wake akawa anavuta wanamuambia haparuhusiwi sigara akawambia nyamazeni siachi kuvuta hapa..na yule mfalme wa saudia ndio picha haziendi kabisa..alishawahi muambia kwenye mkutano wee Abdalla kaa chini nyamaza..
 
Uyo Gadafi ana usongo na akina Kichaka ,ndio anaonyesha kuwa hata Africa wanahitaji ulinzi tena kuliko wa Goji Kichaka ,yaani hakuna kubeba silaha kama mapambo bali kutumika pia inawezekana,hii ndio aina ya viongozi wa Afrika inayohitaji ni style ile ile ya Mugabe ,mambo ya kuburuzwa na wazungu yaishe.
Wazungu wanaibadili bibilia ili iendane na wakati na kutuletea ronyo huku Afrika tuifuate ,Gadafi ameliona hilo na kutaka ianzishwe tume huru kuisaka the real bible , ni changamoto kwa wakiristo wa Afrika kukataa kuburuzwa wakati dini ni ya wote.

Biblia gani unayongelea kubadilishwa? Hapan'shaka unazungumzia tafseers ambayo hata wewe unaweza tengeneza yako hata sasa hivi..
 
Pope,
Shukran kwa maelekezo.. hivi unataka kunambia Libya ilipeleka walinzi 200 kinyume cha makubaliano ama hapakuwa na makubaliano yoyote?...Waliweza vipi kuingia nchini na hata kupewa Hotel ikiwa hapakuwepo makubaliano. Na kwa nini wasizuiwe Airport kuwa wamezidi hesabu inayotakiwa.
Kuwasili kwa walinzi masaa 2.03 ni kawaida kabisa hata walinzi wa Bush hufika sehemu atakayotembelea masaa 24 kabla ya kuwasili kwake. Na Ulinzi mkubwa huwepo hata kufunga mabarabara ikibidi masaa kadhaa kabla ya mlolongo wa magari yake kupita. Hakuna makubaliano na Marekani ni lazima mfanye hivyo laa sivyo watageuza - mwenye shida nani?

Nashindwa kuelewa ikiwa walinzi 200 wameruhusiwa kuingia nchini (visa) tuseme msafara mzima una watu 300 kwa gharama zao inakuwaje hoja ipandishwe ktk msikiti ama uwanjani ambapo tayari wamekwisha wasili na kupokelewa?.
Nikisoma ile habari kwa makini inaonyesha wazi kuwa Waganda ndio walioanzisha fujo hiyo kwa kuwazuia body guard wa Gadaffi.
Imagine, wewe umechaguliwa kuwa mlinzi wa rais wako umefika mahala unakataliwa kuingia hali mtu huyo akitambua kuwa wewe ni mlinzi wa rais huoni kama hapa kuna Utata?..kweli utakubali ubaki nje kama mshangiliaji hali ulitegemewa kuwepo ktk ulinzi?.. mbali na hayo huo msikiti unaweza chukua watu 17,000 achana na huo uwanja hao 200 watabadilisha kitu gani?..
Haya maswala ya walinzi kuingia na viatu nadhani ni swala la wale walioruhusiwa maanake waliokataliwa wamekataliwa nje ya jengo ktk mlango mkuu wa kuingia ndani ambako watu wote ikiwa ni pamoja na walinzi wa Uganda walikuwa wamevaa viatu pia sio sehemu ya kufanyia ibada ya sala.
Swala la Dagaffi kuzungumzia Biblia ningependa sana kuiona hotuba hiyo kwa sababu namjua Gaddaffi ni mjanja sana inapofikia maswala hayo. Kifupi kati ya viongozi waarabu hakuna kiongozi asiyependa kuzungumzia tabaka za kidini kama Gadaffi..kwani yeye mwenyewe anaishi maisha ya kihuni zaidi ya Uislaam na kwa tabia hiyo kajenga uadui mkubwa ndani na nje ya nchi yake.
Je, hili swala linapandikizwa cheche za Udini, zaidi ya kile kilichotokea ama ndio nashindwa kuelewa picha halisi!
 
Kuna sababu yoyote maalumu iliyomfanya Rais Kikwete asiende kwenye ufunguzi wa huu msikiti? viongozi wenzake wote wa Afrika Mashariki walikuwepo.

rais wetu hawezi kwenda kwenye upuuzi wa ghadafi..tanzania hatujipendekezi..na hata angekwenda angerudi tungemuuliza alifanya nini wakati biblia inatukanwa...ingebidi a walk out...kwa sababu nchi yetu haiwezi kukubali comment za aina hiyo hata kama dini yake islam..

Ina maan Mhe. Karume anawakilisha nchi ya kiislam?
 
Back
Top Bottom