Walinzi wa Museveni & Gaddafi watwangana vikali- Karume Asukumwa!!!

MK, just heads up Shein yuko India, so nadhani hiyo story ina utata kidogo au labda kama ilikuwa ni rais wa Zanzibar ambaye naamini alikuwa Uganda.

Ebu fuatilia pale kwa wale ndugu zetu ujue ilikuwa vipi mimi niko busy kidogo.


Ni kweli Moelex 23....hawa jamaa walikosea (hivyo hata heading kwenye thread inabidi irekebishwe) aliyekwenda Uganda kumwakilisha JK kwenye ufunguzi wa huo msikiti alikuwa ni Mh. Amani Karume na sio Mh. Shein...kama ulivyoeleza yeye yuko India kwenye ziara.
 
asante sana... kwa usahihisho na uzee huu nao.. ndio Shein yuko India na niliona picha yake akiwa mbele ya Taj Mahal.. na nilisoma Karume ndo kaenda Uganda, lakini nimeibeba hivyo hivyo toka CNN. Au hawa jamaa bado wanakumbuka mambo ya "Makamu wa Kwanza wa Rais na Rais wa ZAnzibar"?
 
Ni kweli Moelex 23....hawa jamaa walikosea (hivyo hata heading kwenye thread inabidi irekebishwe) aliyekwenda Uganda kumwakilisha JK kwenye ufunguzi wa huo msikiti alikuwa ni Mh. Amani Karume na sio Mh. Shein...kama ulivyoeleza yeye yuko India kwenye ziara.

Security details ya raisi wa nchi ilikuwa wapi? hii ni bonge la skandali in making!
 
Msikiti huo una nini hadi utake kuchukua nyongo ya Sjein bad najiuliza mahela na viongozi wote hao kisa msikiti .

Nasikia Rostam Azizi wa Afrika (Gadaffi) alitoa per DM ya kukata kwa Mundu kwa viongozi wote watakao hudhuria.
Ndiyo maana viongozi wa nchi 11 za afrika walijazana hapo na kugeuza tukio hilo ni jambo muhimu la kitaifa wasilo weza likosa.
Si unajua tena Viongozi wetu wako tayari hata kuitwa mbwa ili wapate mshiko.
 
Nasikia Rostam Azizi wa Afrika (Gadaffi) alitoa per DM ya kukata kwa Mundu kwa viongozi wote watakao hudhuria.
Ndiyo maana viongozi wa nchi 11 za afrika walijazana hapo na kugeuza tukio hilo ni jambo muhimu la kitaifa wasilo weza likosa.
Si unajua tena Viongozi wetu wako tayari hata kuitwa mbwa ili wapate mshiko.



Una habari nyeti sana . Maana wamakonde kwa per diem ni wabaya hata wakiwa kwenye OP room wanaweza kuomba udhuru ili wasikose
 
Nasikia Rostam Azizi wa Afrika (Gadaffi) alitoa per DM ya kukata kwa Mundu kwa viongozi wote watakao hudhuria.
Ndiyo maana viongozi wa nchi 11 za afrika walijazana hapo na kugeuza tukio hilo ni jambo muhimu la kitaifa wasilo weza likosa.
Si unajua tena Viongozi wetu wako tayari hata kuitwa mbwa ili wapate mshiko.

hii ni kali, nimesikia hotuba ya BBC kwenye hii saga nikachoka kabisa na the whole saga ya hili.... hasa hasa hotuba ya Gadafi ya masaa matatu akipondea ukristo na dini zingine ...

anyway ... hii ni the whole new thread... but for now inabidi ijulikane security detail iliyokuwa hapa ilikuwa inafanya nini hadi hili likatokea?
 
Mkuu moderator hii sijui utaiweka wapi lakini nimeiona ni kali ya mwaka. Walinzi (presidential guards) wa Rais Museveni na wale wa Rais Gaddafi wa Libya wametwangana vikali jana huko Kampala wakati Gaddafi alipotembelea nchi hiyo kufungua msikiti mkubwa sana alioujenga! Na inadaiwa kuwa katika mtafaruku huo, makamu wa rais wa Tanzania alipigwa "kipepsi" na kupepesuka "kiaina"! Bastola zilikuwa "nje nje" na baadhi ya walinzi wamejeruhiwa vikali kwa "compound fractures" (madaktari tusaidieni, "compound fracture" ndio kitu gani? Mie naelewa kidogo kuwa "fracture" ni kuvunjika mfupa kama wa mkono au mguu, sasa walipoandika hiyo "compound" sijaelewa, sijui ni kuvunjika labda pamoja na jeraha jingine au ni kitu gani?)
Hebu ioneni hii habari hapa chini wakuu, nanyi mtoe maoni yenu!


African Heads of state knocked over in Libyan, Ugandan presidential guards fracas
By Sun News Publishing
Friday, March 21, 2008


More Stories on This Section

A ceremony attended by the heads of state from 11 African nations on Wednesday in Uganda turned to a source of embarrassment to the continent as several of the leaders were knocked over after a fight between Ugandan and Libyan presidential guards sparked chaos.

The fight prompted a crisis meeting by Ugandan security authorities, after which invited diplomats from mainly the European missions in Uganda expressed dismay. Ugandan President Yoweri Museveni briefly lost his balance when a hefty Libyan guard pushed him to a wall. Another Libyan guard pushed Rwandan President Paul Kagame, who also lost his balance but was caught by his own guards. The vice president of Tanzania was knocked over by fighting guards as he was taking his shoes off to enter the mosque. No leaders were hurt in the melee.

Several of the guards to the visiting heads of state from Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, Mali, Somalia, Sudan and Djibouti sustained serious injuries in the fight, which included punches, kicks and the drawing of guns. Several journalists also were caught up in the fracas and suffered injuries or lost their grips on cameras and recorders.

The incident occurred at the opening of a massive Gadhafi National Mosque in Kampala, a structure begun by the late Ugandan dictator Idi Amin in 1972 and completed with financing from Libya, according to African media reports. Minutes after Libyan leader Moammar Gadhafi and his host, Museveni, jointly unveiled a plaque to mark the event, the Libyan guards pushed away the guards of other delegations at the mosque's entrance.

The Ugandan guards who had traded hostilities with the predominantly-Arab Libyan guards at every joint event since Gadhafi's arrival in the country Sunday reacted with fury and fought back.

Some leaders notably those from Somalia, Burundi and Djibouti were visibly uneasy as guns were drawn on all sides. By the time the fight was over more than six minutes later, about a dozen presidential guards were left bleeding from compound fractures and the Libyan and Ugandan protocol officials traded bitter accusations of disrespect and racism. "What are your people up to? Do you want to kill our leader?" a Libyan protocol official said to his Ugandan counterpart.

The Ugandan official, who declined to be named, shouted back, "Why do think you're superior? What makes you think Uganda has any ill intention against Gadhafi?" The Ugandan official said Museveni's guards were simply doing their job as security for the host country and had a right to respond when the Libyan guards pushed them back.

Capt. Edison Kwesiga, the spokesman of the Ugandan Presidential Guard Brigade, confirmed their hostile relationship with the Libyans. "It is our responsibility to ensure the safety of any visiting head of state. We have to do our job using any means. But our Libyan brothers always want us to fail. True, it's not the first time they come and act as you see," Kwesiga said.

"It's disgrace. It shows there is something wrong yet unknown between the two parties," said the head of one European mission in Kampala, who declined to be named. The police chief, Maj. Gen. Kale Kayihura, and the head of the army, Gen. Aronda Nyakairima, declined to comment on the fight.
 
Kweli wakuu Dr Shein yuko India, na hata wakati mambo hayo yanatokea huko Kampala alikuwa na kikao na makamu wa rais wa India. Pia amemtembelea hospitalini Mhe mbunge Richard Nyaulawa anayetibiwa huko India. Hao CNN nadhani hawajatafiti vema kabla ya kuandika, yaleyale mambo ya kutaka kuwa wa kwanza hewani!
 
The Ugandan Police should arrest all the Libyan bodyguards and charge them with criminal assault. They should probably not arrest Colonel Ghadafi. A strong warning to be careful about what rouges to move around with should suffice, at least for now. As for Shein, I do not blame him for going to Uganda. He hardy has any work in Dar.
 
mie nimeuliza sana kwenye ile thread ya walinzi wa viongozi...lol

Anyways I thought Shein yuko India?

New Delhi, Mar.19: Tanzanian Vice President Ali Mohamed Shein met Prime Minister Manmohan Singh here on Wednesday.Shein who is on an eight-day visit to India, is here to take part in an India-Africa Project Partnership Conclave, where he will deliver a special address on "India-Africa Strengthening Partnership"


Looking at the pictures naona Amazonian Guards hawakwenda msikitini.
309528799.jpg
 
Ninasubiria bado picha za tukio ili kuona vile walinzi wa mu7 walivyopewa kibano na wale wa Gadafi..... Lakini, walinzi wa Shein walikuwa wapi? naona kuna mtu ataachishwa kazi muda si mrefu hapa!

Nitakuwa naziweka picha kadri ninavyozipata, ila kuna mwandishi mmoja aliyekuwa anapiga picha ya tukio, wamechukua camera yake.

309533339.jpg
 
Kwa kawaida walinzi wa Viongozi huwa wanaruhusiwa kuingia na Silaha chache sana, Mwisho ni 8 Pistols, ila Ghadafi huwa ana mlolongo wa walinzi 200 na wote anataka waingie na Silaha nakumbuka kuna kipindi ilikuwa mbinde walipokataliwa kuingia na silaha wote kwa pamoja ilikuwa Nigeria, Nigeria ilikataa kwa sababu si tu walikuwa na Pistols bali walikuwa na silaha nyingine za kivita ni mpaka Rais Obasanjo alipoingilia ndipo walibya walikubali na wakaruhusiwa kubeba Pistol nane tuu,
Katika sakata hilo Rais Ghadafi alikasirika na akaamua kuondoka kwa miguu umbali wa Maili 25 ili aende kwenye Mkutano huo uliokuwa ukifanyikia mji Mkuu wa Nigeria kabla ya kufuatwa nje ya uwanja na maafisa wa Diplomasia na kumsihi kurejea uwanjani ili kumaliza tatizo hilo, na mara nyingine msafara huo uliishia kurudi Libya kama Mabody Guard hao 200 wa Kike wasingeruhusiuwa kuingia na silaha hizo.

Utaona kuwa Walibya wamekuwa na matatizo sana ya Kidiplomasia kila mara Rais wao anapokuwa nje ya nchi.
 
Habari ninazo zipata hapa Comoro zinasema walinzi watu kwanza waliambiwa wabaki nje maana kulijaa na wakaendelea kushangaa jengo hilo .

Kwa sababu walinzi wenu hawajazoea makashikashi... ndio maana hamtaki hata jeshi letu liende, Darfur, Lebanon, Comoro etc... ili ukomavu wa jeshi letu uwe au upimwe kwa gwaride....
 
Ikumbukwe kuwa Gadaffi mwaka jana kama sio juzi alipata matatizo na Nigeria pale Ma body guard wake 200 walipotaka kuingia na silaha za ndogo (Pistol)na nyingine za kivita wakati Gadaffi alipokwenda kuhudhuria mkutano wa AU, ilikuwa saga kubwa ilibidi Rais Obasanjo aingilie kati, kwani sheria inaruhusu Walinzi na silaha 8 tuu kutoka kwa walinzi wa Kiongozi mgeni.

Sasa fikiaria kule alikwenda kwenye mkutano, je hapo ambapo ni hela zake zimetumiaka na ye ndio Staring wa mchezo!! ni wazi mbwembwe zilikuwa kubwa kuliko za Nigeria.

Moja ya sifa ya Gadaffi ni kupenda Coverage, yuko tayari alipie vyombo vya habari na waandishi hata 1000 wafanya Coverage yake katika ziara ya juzi vurugu ilianza pale alipowasili masaa mawili na nusu kabla ya muda ambao ulitarajiwa na kufanya Shughuli za Kidiplomasia kuwa Ngumu kidogo, Gadaffi aliwasili akiongozana na ndege nne ya kwake ikiwa ya mwisho kabisa.
 
Uyo Gadafi ana usongo na akina Kichaka ,ndio anaonyesha kuwa hata Africa wanahitaji ulinzi tena kuliko wa Goji Kichaka ,yaani hakuna kubeba silaha kama mapambo bali kutumika pia inawezekana,hii ndio aina ya viongozi wa Afrika inayohitaji ni style ile ile ya Mugabe ,mambo ya kuburuzwa na wazungu yaishe.
Wazungu wanaibadili bibilia ili iendane na wakati na kutuletea ronyo huku Afrika tuifuate ,Gadafi ameliona hilo na kutaka ianzishwe tume huru kuisaka the real bible , ni changamoto kwa wakiristo wa Afrika kukataa kuburuzwa wakati dini ni ya wote.
 
Kuna sababu yoyote maalumu iliyomfanya Rais Kikwete asiende kwenye ufunguzi wa huu msikiti? viongozi wenzake wote wa Afrika Mashariki walikuwepo.

610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg

Kampala_Mosque-793150.jpg
 
Kwa mujibu wa waliokuwepo..

SO NOT A JOKE!!! I hadn't yet seen that story, but this was indeed the worst security detail I have ever, ever been subject to (including when I covered the Queen of England!).

So, basically, outside the Mosque, when all the leaders were going in, there were indeed some body guard clashes. Paul Kagame couldn't get through the door because the body guards were busy fighting with each other. Someone finally let him in.

During all of this, I didn't get too many photos because, MAINLY, that's the kind of fray you want to stay AWAY from. It wasn't as bad as the article makes it sound, but it was indeed bad.

I also didn't get that close up of a view because one of my Ugandan photojournalist friends was one of the ones who the Libyans took the camera away from. He somehow managed to get his memory card out of the camera before they took it, and he slipped the memory card to me. I put it in my pocket and walked to the other side of the fray. But sure enough, the Libyans somehow figured out that I had the card and started bothering me for it. But they didn't know for sure that I had it, and every now and then it does help to play the stupid girl role. So I walked off and they were busier chasing my friend and worrying about Kagame getting in the mosque.

So, not as bad as CNN says
, but pretty damn bad.
 
Back
Top Bottom