Walichofanya HELSB sio haki!

Wewe si ndiyo ukikaa mtaani unasifia uchumi wa kati?
 
Tatizo wanawakopesha ma dogo then pesa hiyo hiyo wanaona ka wanapoteza vile ndio maana milolongo ni mingi
 
Kwa umri wao acha wawaze tu hivo
Shida unaishi chuoni hafu unapanga ka mfanyakazi kwa kutegemea boom, badala mubaki hostel Tena sikuhizi Kuna Magufuli hostel hazijajaa, hyo hela ya kuishi kitaa Bora uhifadhi ufanyie ujasiriamali
 
maisha wakati mwingine sio ya kuyachukulia serious,jamaa kaja hapa kulia akati nina rafiki angu alikua anapewa elfu 20 kwa mwezi and she tried to be happy
Of course Kuna watu hawajui Leo watakula Nini na wame relax wakipata washukuru wakikosa pia washukuru
 
Mkuu umenikimbusha mbali sana[emoji23][emoji23]
Unajua jana nilitoka kucheki mechi ya Chelsea vs Liver nikapita maeneo nikaona Mark X nyeusi inashusha wawili nikajua sahivi HESLB wameleta matatizo. Na tuna madeni vibaya mno nakwambia.
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi
Chunguza situation usiongee ungese hapa

Hali ya wanafunzi ni ngumu
 
Nchi ya hivyo sana hii.Hapa utakuta hiyo pesa ya boom iliyokatwa inaenda kutumika kwenye kampeni za ccm
100% inaenda kutumika kisiasa kugawa hovyo hovyo kwa wananchi(Kutafuta huruma) ili wawe impressed kwamba anapenda wanyonge!!
 
Chunguza situation usiongee ungese hapa

Hali ya wanafunzi ni ngumu
Acha matusi wewe kila mtu ana Hali ngumu mno Tena ngoja umalize uje kitaa ndo utalia Hilo bumu hifadhi liwe mtaji bila hivo utachizika bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…