Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Wale wanaume mnaopiga wake zenu

mtu niliyempenda kindakindaki siwenzi mpiga japo wote tunakosea, lkn nitamuelimisha na kumkanya japo wapo wanawake wanakera lkn wao pia wanavumilia mapungufu yetu .mapenzi hayajengwi kwa makofi na ngumi bali kwa upendo,furaha,kujaliana na kuaminiana.
 
Nikutojitambua tu,japo nanyinyi wanawake mnaudhi,unaweza kumdharau mmeo mbele ya watoto,so sisi wanaume ukifanya ivyo huwa tunataka kuonyesha masculine quality
 
kwa kweli mimi sibariki wanaume kupiga wake zao.

Ila shida ipo hapa, wanawake mkikosana kidogo silaha zao ni midomo(kuongea sana afu ovyo ovyo/shombo).

Sisi wanaume si waongeaji sana. Ukinijibisha maneno mawili matatu nami najikuta natumia silaha yangu(ubabe), hapo ndio inakuwa ngoma droo

kila mtu katumia silaha yakee
 
Kuna watu wamejaliwa mdomo bwana
hahaaa..sasa mbona unahoji wao kupigwa !? wajua binaadamu tunatofautiana sana aina ya makuzi"" ""najua tangu uende USA umeshasahau desturi za watu wa kwatumbo...kuna watu wanavisa aisee"" acha Wawe wanapigana tu""
 
Kuna wanaume wana asili ya kupiga hao kikosa kidogoo mama...ngumiiii

Wengine wanawake wenyewe wanasababisha wapigwe wana midomoooo na wanaume hawapendi midomo midomo
pole sana..ila mimi huwaga sipigi "" ukinikera kosa ambalo haliwezi kuvumilika..na potea om kwa muda wa week""
 
Jitahidi kuzuia

Tuna visasi mno usoni mnajua tumesamehe lkn moyoni ni chuki kali mno
hapa wazisemea nafsi za wenzio ..mbon kuna baadhi na wajua ..wasipopigwa lazima watafute chokochoko ..ili wapigwe mabanzi kidogo""" ndio wanajiona kuwa kweli wapo na mwanaume
 
hapa wazisemea nafsi za wenzio ..mbon kuna baadhi na wajua ..wasipopigwa lazima watafute chokochoko ..ili wapigwe mabanzi kidogo""" ndio wanajiona kuwa kweli wapo na mwanaume
Mh basi nasemea nafsi yangu
 
Nilifika kwa rafiki yangu sasa mme wake akauliza vp chakula tayari hayo majibu ya mkewe bila kujali mgeni nipo pale nilimwambia rafiki yangu tuondoke tutaenda kula mbele ya safari. Ndoa ngumu mtu asikuambie ina mikiki mingi.
 
Ukiona mtu anakupiga ujue anakupenda na anaumia sana na ujinga unaoufanya.

Hata watu wa dini husema mungu huwapa wapendwa wake majaribu kama ishara ya kuwarejesha wamjue na kumuabudu yeye.
Majaribu hayatoki kwa Mungu soma Yak 1:5-12
 
Nimewahi kupiga mwanamke mara moja tu maishani...........NILIJISIKIA VIBAYA FOR YEARS AFTERWARDS NA HAKUA MPENZI!
Now.......nawaza naanzaje kumpiga mpenzi afu baadae ''namchapa nao'',namwambia nampenda and all that??!
Kweli sometimes mnakera na kuchochea kipigo kabisa kwa midomo yenu mirefu na baadhi michafu.....ila binafsi MIKONO INAKATAA KABISA.
Kinachokubali ''kupiga'' mwanamke kwa haraka sana kwangu NI DUSHE TU!
 
Kipigo kwa mke ni udhalilishaji mkubwa sana

Inapunguza upendo kwa mpigwaji kitu ambacho hupelekea mke kuanza kuchepuka na akishaanza hivyo kumrudisha sahau kabisa

Hujenga chuki kichwani kwa mkeo huwa sisi ni wakimya lkn tunatunza sana hasira utamuona anakuchekea na kukusamehe lkn ndani yake ana chuki kali sana hata yale maombi aliyokuwa akikesha kwa ajili yako ktk utafutaji huisha kabisa na hapo mume ategemee kukwama tu huko kazini

Acheni kupiga wake zenu ni vibaya vibaya kuliko
Baba ndio kichwa cha familia, hata akiwa hoi kitandani provided ana utimamu wa akili lazma maamuzi yake yaheshimiwe kama kichwa cha familia.

Kinachowaponza midomo kama chuchunge na ujuaji kisha mkizibuliwa mnakimbilia kusema mnaonewa.
 
Kuhusu kuomba mechi.... Kitu pekee kitakachoonyesha umesamehewa hata km hujaomba msamaha huwa ni mechi , mwenzako akikunyima mechi ujue hapo bado hujasamehewa.

So usishangae kuombwa mechi baada ya kupigwa kipigo,sio kwamba anahamu naww ila ukweli nikwamba anataka kubip umepokeaje adhabu alokupa au umepokeaje msamaha alokuomba.


Kuhusu kupiga.... Kwa sababu Biblia haijaniruhusu kutoa adhabu namie sitotoa adhabu physically , isipokua Psychologically .

......Anyway ndoa ina mambo mengi sana ,kamwe haiwezi kua nyoofu siku zote ,so iyo nisehemu ya maisha.
 
Unampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
Kwa makabila mengine ni utamaduni wa kawaida tu, we mwanamke anapika chakula alafu kwa makusudi aweki chumvi hata kidogo. Hapo anatuma ujumbe kuwa anataka kipigo, au anaenda kisimani masaa manne, lazima aguswe kidogo.
 
Kwa makabila mengine ni utamaduni wa kawaida tu, we mwanamke anapika chakula alafu kwa makusudi aweki chumvi hata kidogo. Hapo anatuma ujumbe kuwa anataka kipigo, au anaenda kisimani masaa manne, lazima aguswe kidogo.
Una acha kula kesho hatarudia
 
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.

Karibuni
upigaji uwe kwa mke au mtoto ni ushezi na ukatili kwa kiwango cha juu,nikipewa Urais wa siku moja ,ikifika saa 4asubuhi nitakuwa nimesha piga marufuku corpral punishments kutumika nchini,adhabu hii inatuharibia Taifa ,inatuletea generations ya wenye hasira,visasi na wanaoamini mwafaka unapatikana kwa nguvu sio maongezi,taaluma yangu ni Mwalimu kila ninapokutana na mwanafunzi wangu aliyepitia mikononi mwangu ninamwomba radhi kama nilishawahi kumwadhibu kwa viboko,binafsi hii adhabu ilikuwa nadra sana kuitumia,UPENDO NDIO SILAHA KUU,Ukiamka asubuhi ni vema ukamtamkia uliye lala naye kuwa unampenda na hivyo hivyo kwa watoto,eye contact ni muhimu ili kuonyesha kuwa kweli u mean it.
 
Una acha kula kesho hatarudia
Wanafanya makusudi kwani wakiwa kisimani huwa wanulizana kama wanapigwa na waume zao, asiyepigwa uambiwa hapendwi. Ingawa pia kuna wanaume wana hulka ya kupiga piga pasipo sababu. Kuna jamaa yangu alimzuia mke wake asisuke rasta kwa ajili ya pasaka, mke akakaidi aliporudi jamaa alingo'a zile rasta kwa mikono mke akaishia hospital na mtuhumiwa akatoroka pasipojulikana. Mwingine aliambiwa mke wake anacheat akamfata kisimani akamfunga kamba akaingiza udongo sehemu za siri akisukuma kwa pampu ya mkono ya baiskeli, mke akakata roho. Ukweli kupiga wanawake ni zilipendwa na mara nyingi sababu ni za kitoto sana.
 
Kuna wanaume wana asili ya kupiga hao kikosa kidogoo mama...ngumiiii

Wengine wanawake wenyewe wanasababisha wapigwe wana midomoooo na wanaume hawapendi midomo midomo
Aisee hapo umeongea ukweli,labda nikuchanganulie zaidi ME ni wa Type kuu 2.

Type1.Wapole
Type2.Wakaksi/Kavu

Type 1:
Hili kundi la ME wako Loyal na emotional, huyumbishwa sana kwenye mapenzi na huvumilia sana visa vya mwanamke na wengi wakishapenda wanaendeshwaga kama gari bovu! Rahisi kutoa attention kwa wapenzi wao, huruma sana na wengi wapo romantic. Hili kundi ndio wengi husumbuliwa na mahusiano hasa ku deal na emotion za wanawake na KE wengi huishia kuwa dump baada ya kuwaona kama hawana jipya ama maboya tu ila kihalisia wengi ndio wanaume wazuri zaidi wa kuwa nao serious. Inshort jamaa wako very diplomatic.

Mara chache hutokea hawa ME wakabadilika na kuwa Type 2 na hii ni kutokana na kuchoka kuishi maisha ya kimbuzi na kupelekeshwa na ma stress. Wanapofikia katika stage ya ukombozi wa fikra baada ya mateso makali kihisia ndio wanapobadilika na mabadiliko huja na ama ignore attitude ama kipigo, you get served with what suits you best.

Type2:
Hili ni kundi la wanaume ambao ni kavu (emotion-less) in nature na wengi sio romantic hawapendagi mambo ya baisho-i-love-you-baby. Ukiona simu yake ujue ni za ishu za maana sio kusifiana ujinga ama kubebishana. Wao ni kazi tu mapenzi sio kipaumbele kwao.

Hawa jamaa wa kundi hili huwa wana asili ya misimamo sana na hawayumbishwagi na KE na wengi ndio wapigaji na ignorers. Akikuchana makavu ukamnunia eti akupe attention unajisumbua anakupotezea wala hajali. Ukijifanya mjuaji anakukata makofi halafu anapiga kimya, akikuonea huruma sana ujue ataishia kukukaza kama kifuta machozi. Ukimbania K haulizi mara mbili anakamata mama kitaa cha pili anaenda kujipooza, akikufuma umecheat hana mjadala anakupiga chini tu.

Ajabu ni kuwa hili kundi la pili ndio hupendwa zaidi na wanawake wengi regardless ya treatment ya kimafia ila ukiwauliza wanawake 7 katika 10 watakwambia tunataka mwanaume wa Type 1.
 
Unampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
mnakubali kupigwa nyie......

Anyway kumpiga mwanamke/msichana ni jambo la fedheha sana kwa mwanaume.....sio kumpiga tuu, hata kubishana nae hovyo hovyo bila hoja......mwanamke unamsikiliza weeeeeeee.....then ni kuangalia la kujibu na la kunyamaaa.........na hata yule mwenye hekima na wazimu wa kumpiga...atasubiri watoto wamelala, na atahakikisha amefunga mlango wa chumbani kwao, ndo kichapo kianzege............then anambembeleza anakula zigo......
 
Back
Top Bottom