Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Cku hz wanaopga wake zao wapo wachache sana wacojtambua. Ila hata wanaume wapo wanaopgwa na wake zao
 
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.

Karibuni
Umeolewa kwanza?ingia ndoani ndio ujue kero za viumbe hawa wa kike,
Girlfriend tu anapigwa,sembuse mke,usipige kikulya,piga kutoa funzo
 
Ukiona mtu anakupiga ujue anakupenda na anaumia sana na ujinga unaoufanya.

Hata watu wa dini husema mungu huwapa wapendwa wake majaribu kama ishara ya kuwarejesha wamjue na kumuabudu yeye.
Ujinga huo
 
Wewe wajua hvyo
Wanaume hizo adhabu wao hawana mda nazo hasira zikishakaba ngumi Tu tunapigwa
Mi mwanaume akisema anipige anakosea maana ananifanya niwe mkorofi nanikishikwa hasira natumia silaha yoyote au tuachane tu mi cwezi huo ujinga
 
Juzi tumepishana Kauli ndani...Sasa nikamwambia ntakupiga ujue, eti akanijibu "unipige au tupigane?"
Hahahaa nikabeba shati langu begani Chukua malapa nduki mtaani kuzurula.
 
Wanaume tujitahidi "hasira zisitoke nje ya geti", ni kweli wanawake wameumbwa na wana asili ya kuongea sana, hii inakera mno lakini tutawale hasira zetu.
 
Hatuwapigi tena siku hizi.....
Tunaenda kujipunzisha tu kujipunzisha kwa nyumba ndogo
 
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.

Karibuni
Nikuulize: Hivi kama Mme ndo anapigwa na kutukanwa kwa zarau tena matusi mabaya sana mbele ya hao hao watoto. Je? Wewe ungekuwa mwanaume unafikiri ungefanya nini kwa mfano?

NB: Si kila anaepiga/kuchapa anapenda wengine hulazimika tu na mazingira ya namna hiyo/yasiyo epukika.
 
Mpaka inafikia hali hiyo ni kheri kuwa kwenu pamoja kunaathiri watoto
 
Back
Top Bottom