Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Kisasa akikosea unamfanyaje cheif?Mambo ya kizamani hayo.
Kisasa akikosea unamfanyaje cheif?Mambo ya kizamani hayo.
Mkubwa hakosei ha ha haaaNa nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Kupigana(kumpiga mwanamke)huwa ni kitendo kidogo sana cha kupishana kauli tu na kushindwa kudhibiti hasira,wanawake huwa tunawachukulia kama watoto hayupo mwanaume anayeweza kujibizana na mtoto na tunapowapiga siyo kwamba hatuwapendi bali nikuonyana tu kwa vitendo kwangu mm ni hivyo wengine wataongezea
Hapugwi mingumi mikali anaonyeshwa tu kwa vitendo alicho fanya asikifanye tenaUnampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
Hii ya kuchepuka hapigwi cheif zarau hizo azabu yake ni moja tuTukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake
30% Ulevi wa mume
60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake
5% Mwanamke kuchepuka
5% sababu nyinginezo
Ndo tulivyokremisha sisiNi heshima ya woga itarudi si ya upendo
Mnaongea tu,Kisasa akikosea unamfanyaje cheif?

Dawa yake ni kumnyima chakula tuu.Teh teh..Na unavyopenda sasa..Basi mtafutie adhabu nyingine
Duh upo kama mimi hongela nilikua hulu pia sikua na kazi nyumbani mimi kufanyiwa na wakubwa zanguMimi ni last born hivyo nikifanya kosa wakubwa walilaumiwa
Acha hizo Manga MLMkubwa hakosei ha ha haaa
Mkuu kuna wanawake bila kibao hakuna mihimili ndaniMkuu yatupasa kuzizuia hasira zetu kama wanaume, yani Kofi kabisa la maana unampiga mtoto wa kike?? Daaaah inauma
Hii nakupinga kuna rafiki yangu tulipisha kauli nikachukia nikamramba vibao hafu nikasepa akanifata kuniomba msaamaha nlipokubali akanipa kumbato zito na kushika chini yupo ndembendembe siku hiyo ndo alitoa mzigo kuliko siku zoteeeeHivi mnafikiri tuna enjoy sex baada ya kipigo?
Nakubali hiliTena wanawake wanaopigwa na waume zao wanapofanya makosa huwa wanafurahia sn ndoa zao
