Faru John hah hah haaaaUnajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni
Na nyie mkikosea mnapigwa na nani?Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs
Kabisa mkuu, mie mke wangu sintokuja kumpiga hata siku moja.Mambo ya kizamani hayo.
Eti ni kweli Jolie JolieMimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao