Jeiefu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 781
- 1,580
Huyo mtu katokea wapi???sawa sawa
naona matunda ya Joyce kiria yakimea kwa kasi
Binafsi kipigo sitaki kabisa
Huyo mtu katokea wapi???sawa sawa
naona matunda ya Joyce kiria yakimea kwa kasi
Kwahiyo ww hujawahi kupigwa hata kofi?!Na nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Kama jiweMwanaume hakosei
Geni ni kweli wanatupiga lkn chuki inayotengenezwa hapo km sio ndoa kuvunjika basi mtaishi km maadui without love at allWewe wajua hvyo
Wanaume hizo adhabu wao hawana mda nazo hasira zikishakaba ngumi Tu tunapigwa
Huwa napigwa ila baadae ananiomba msamahaKwahiyo ww hujawahi kupigwa hata kofi?!
Wanaume hvyo hawaviangalii ye anataka heshima irudiGeni ni kweli wanatupiga lkn chuki inayotengenezwa hapo km sio ndoa kuvunjika basi mtaishi km maadui without love at all
Huyu mnyime unyumba hata wiki moja akili zimkae sawaBaba p.. Tena usinikumbushe
Jitahidi kuzuiaKwa wengine kupiga ni tendo lisilo la hiari linakuja tu.....
Unajikuta kofi limeshakuponyoka. Kinachofuata nakufanyia mazuri zaidi bila kukuambia nakuomba msamaha.
Naenda kukuita. Notification utaiona
Basi sawa wakazane tuoneWanaume hvyo hawaviangalii ye anataka heshima irudi
Kichwa chake cha chini kisumbufu. Atanitoboa toboa nacho hadi nivue mwenyewHuyu mnyime unyumba hata wiki moja akili zimkae sawa
Hivi mnafikiri tuna enjoy sex baada ya kipigo?