Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Wale wanaume mnaopiga wake zenu

Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.

Karibuni
Nasikia wanawake wa Musoma hawaoni raha bila kupigwa na waume zao. Yaani akipigwa ndiyo anaamini anapendwa! Yaani akipigwa siku hiyo ndio anatoa penzi hasa.
 
Dah...kupigwa kwa mwanamke siyo lazima iwe kimwili...hata kumgonga beki3 au best yake nayo ni vipigo vitakatifu tu...🙂
Mwanamke aliyekamilika kila idara hawezi kuruhusu wewe ule bekitatu,utapewa full dose mpk utasahau uwepo wa bekitatu
 
Hayajakukuta tu Sasa ngoja ukutane na meseji kwenye simu ya mkeo amemuandikia mchepuko wake"baby matako yananiuma umef****ra Sana leo "hapo nd
ndo utaelewa vizuri

"

Ukishampiga utakuwa ubadili kufir....r........w ......a kwake?? Sometimes busara bora kuliko kuhamaki na mahasira kuna option nyingi za kufanya tofauti na kumuumizamwenzako
 
Kupigana(kumpiga mwanamke)huwa ni kitendo kidogo sana cha kupishana kauli tu na kushindwa kudhibiti hasira,wanawake huwa tunawachukulia kama watoto hayupo mwanaume anayeweza kujibizana na mtoto na tunapowapiga siyo kwamba hatuwapendi bali nikuonyana tu kwa vitendo kwangu mm ni hivyo wengine wataongezea
Ni rahisi sana ku deal na frastruation za mtoto kuliko za mwanamke mtu mzima kwakuwa sio rahisi kwa mtoto mdogo kujibizana na wewe. ukichunguza 9/10 ya sababu zinazopelekea kipigo kwa mwanamke ni kidomo domo tu. Mwanamke ambae hujishusha ama kukaa kimya endapo amekuudhi na umepata hasira mara zote huwa hapigwi labda kimya kiwe cha kiburi.
 
Mi mwanaume akisema anipige anakosea maana ananifanya niwe mkorofi nanikishikwa hasira natumia silaha yoyote au tuachane tu mi cwezi huo ujinga
Hupendi huo ujinga wa kupigwa ila ujinga wa kumtolea mineno ya shombo ndio unataka yeye aupende?
 
Juzi tumepishana Kauli ndani...Sasa nikamwambia ntakupiga ujue, eti akanijibu "unipige au tupigane?"
Hahahaa nikabeba shati langu begani Chukua malapa nduki mtaani kuzurula.
Aisee una anger control ya kiwango cha lami, subiria kuitwa mngese next time. Hapo ndipo utapojua kuwa kisago kinawezekana
 
Kumpiga mwanamke ni ushamba, ulimbukeni na uswahili uliotukuka.
ila mwanamke kukutolea mineno ya kukera japo umemkalia kimya na chokochoko za kukufukunyua hasira zako tu ndio ujanja?
 
Mi mwanaume akisema anipige anakosea maana ananifanya niwe mkorofi nanikishikwa hasira natumia silaha yoyote au tuachane tu mi cwezi huo ujinga
Mi ukizingua af unaleta ujuaji nakupasua mikofi halafu freshi tu, utaipenda ila sintokupiga bila kosa.
 
mtu niliyempenda kindakindaki siwenzi mpiga japo wote tunakosea, lkn nitamuelimisha na kumkanya japo wapo wanawake wanakera lkn wao pia wanavumilia mapungufu yetu .mapenzi hayajengwi kwa makofi na ngumi bali kwa upendo,furaha,kujaliana na kuaminiana.
Oa kwanza halafu ndio utaelewa, kuna kipindi nilihisi mshua anamuonea maza kumshtua na kelebu!
 
Mwanamke ni sawa na mtoto maana kila kukicha lazima umwelekeze, lakini unachomwelekeza hatekelezi ndio maana tunawaadhibu kutotii. Pia kuomba k sio vibaya inaleta upatanisho hata Kama mmegombana.
 
Back
Top Bottom