BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,075
- 8,416
Haya mama yoyoo.![]()
kumbe muoga wa dawa. Ni maneno mazuri na si dawa ya kumeza.
Haya mama yoyoo.![]()
kumbe muoga wa dawa. Ni maneno mazuri na si dawa ya kumeza.
Dushe halijawah kuwa kipigo labda mpigaji awe na abnormality.Mimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao
Dushe halijawah kuwa kipigo labda mpigaji awe na abnormality.Mimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao
Kama una jeuri ya kunijibu hovyo mbele ya watoto ata mie kukulamba makofi mbele ya watoto ni sawa tuu!Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni
Kwanini umuadhifu binadamu mwenzio kwa Kigezo cha kumfananisha na ng'ombe na Unajua hakuna mkamilifu,, na Wewe ukikosea ufanyanywaje?Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs
Hujawahi kupigwa?!Kwanini umuadhifu binadamu mwenzio kwa Kigezo cha kumfananisha na ng'ombe na Unajua hakuna mkamilifu,, na Wewe ukikosea ufanyanywaje?
Mnatukosea sana Daby! Usifanye hivo hata siku moja.Kwa wengine kupiga ni tendo lisilo la hiari linakuja tu.....
Unajikuta kofi limeshakuponyoka. Kinachofuata nakufanyia mazuri zaidi bila kukuambia nakuomba msamaha.
Nimewahi na nilisitisha Mahusiano right in a moment bila kuwaza mara mbili,,,
Wot did u do?!Nimewahi na nilisitisha Mahusiano right in a moment bila kuwaza mara mbili,,,
Unajua Wivu na gubu Yale Mahusiano ambayo yanakuwazisha kila saa auto ndo sababu kubwa,Wot did u do?!
Husikii raha mpnz wako akija kukuomba msamaha?!


Ilibidi nimrukie nilimpa kipigo takatifu, alichezea mikanda na mabaobya uso .Unajua Wivu na gubu Yale Mahusiano ambayo yanakuwazisha kila saa auto ndo sababu kubwa,
Sitataka hata kuona sura yako hata kama ni dangote, mzee wangu enyewe hajawahi rusha hata kibao cha utani,, sembuse unknown wooii

...halaf jamaa nae aliamua kutoendelea tu lkn mwanamke ukimtandika vzr halafu ukamuomba msamaha huwa anafurahi sanaUongo huoKuna jamaa mmoja na mke wake kila siku ugomvi.na ugomvi wao ni usiku kuanzia saa4 usiku yaani wanatwangana na matusi machafu juu.wana watoto kati ya miaka 4 na 6 basi wazazi wao wakianza kupasuana wao wanashangilia tu *lichupi la mama limevuka huku vinacheka*yaani hii familia ni shida
Wanawake mara nyingi maneno ndio huwa yanawaponza.
Mimi sina wivu wa kuanza kupigana ila kuna maudhi mengine mtu unamwambia haelewi halafu anakujibu hovyo hapo lazima uchezee kipigo
Tatizo ww ulifanya kosa ukapigwa ukajiangalia kwny kioo ukasema yani msambwanda wote huu na makofi nimekula...halaf jamaa nae aliamua kutoendelea tu lkn mwanamke ukimtandika vzr halafu ukamuomba msamaha huwa anafurahi sana


hata sio kipigo kiivo lakini kwanini unipige??? Nliwaza mbalii tuu Mahusiano tuu mtu kapagawa Ukiwa mke sindo atakupiga vizuri,, Then hukumpenda n m sure kuna maneno ulisema sio wivu tu.hata sio kipigo kiivo lakini kwanini unipige??? Nliwaza mbalii tuu Mahusiano tuu mtu kapagawa Ukiwa mke sindo atakupiga vizuri,,
Mahusiano hayaku work out from there,,
Chai eeehh na maandazi ya bibi hadijaUongo huo
Nyie mna huruma na Moyo Wa kusahauGeni ni kweli wanatupiga lkn chuki inayotengenezwa hapo km sio ndoa kuvunjika basi mtaishi km maadui without love at all
Kiukweli sio jambo zuri! Ila kuna baadhi ya makabila ukimpinga nd anazidisha upendoUnajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni