Yani anaikimbia nyumba mwenyeweKwa hiyo akifanya kosa ni mpaka aseme po
Sisi hatukoseagi. We're perfectNa nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Mwanaume hakoseiNa nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Wanaume tungekua tunajua kuongea kama jinsia ke, basi kesi za kupigwa zingepungua sana, mbabe angepatikana kwenye majibizano ila ndo ivo.Kuna watu bwamejaliwa mdomo bwana
Baba p.. Tena usinikumbusheSisi hatukoseagi. We're perfect
Tena ukimpiga sky eclat inanoga sanaaaaa hahaaaaUnajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match.
Karibuni
Sahau na samehe. Si mnajua wanawake mmeumbwa kusaheme mama p.Baba p.. Tena usinikumbushe
Na nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Safi sana chief.Kabisa mkuu, mie mke wangu sintokuja kumpiga hata siku moja.
Kipigo kwa mke ni udhalilishaji mkubwa sana
Inapunguza upendo kwa mpigwaji kitu ambacho hupelekea mke kuanza kuchepuka na akishaanza hivyo kumrudisha sahau kabisa
Hujenga chuki kichwani kwa mkeo huwa sisi ni wakimya lkn tunatunza sana hasira utamuona anakuchekea na kukusamehe lkn ndani yake ana chuki kali sana hata yale maombi aliyokuwa akikesha kwa ajili yako ktk utafutaji huisha kabisa na hapo mume ategemee kukwama tu huko kazini
Acheni kupiga wake zenu ni vibaya vibaya kuliko
Mwanamke hata akosee vipi wasiwapige adhabu zipo lundo sio kipigoKuna wanaume wana asili ya kupiga hao kikosa kidogoo mama...ngumiiii
Wengine wanawake wenyewe wanasababisha wapigwe wana midomoooo na wanaume hawapendi midomo midomo
Hahahahaha. Wewe ni miongoni mwa watu wanaonipa Furaha huku duniani.Sahau na samehe. Si mnajua wanawake mmeumbwa kusaheme mama p.
Samehe na sahau.
huyo ndo anaitwa super woman.Kuna wanawake wengi wanaopigwa lakini wanaficha hata ndugu zao hawajui
Wewe wajua hvyoMwanamke hata akosee vipi wasiwapige adhabu zipo lundo sio kipigo
Vipigo vinaathiri saikolojia ya mke husika amini nakwambia