Unafoj kuwa uko kenya, sema siku kikinuka imekula kwako. Mimi mwezi uliopita wamekamata 2325$ mpaka sasa nazichungulia tu nasubiri ifke mwezi wa tisa nizitoe wafunge akaunti mazimaSiku hizi hapa Tanzania paypal inaruhusu kupokea na kutuma hela?
Duh!Unafoj kuwa uko kenya, sema siku kikinuka imekula kwako. Mimi mwezi uliopita wamekamata 2325$ mpaka sasa nazingulia tu nasubiri ifke mwezi wa tisa nizitoe wafunge akaunti mazima
Inategemea nabUkifanya kazi kwenye platforms au na agencies nyingi hazilipi kwa western union
Inategemea na platform mkuu..but yes nyingi zinakzinguaUkifanya kazi kwenye platforms au na agencies nyingi hazilipi kwa western union
Platform nyingi, ni paypal, moneybookers/skrill, bank transfer (hapa ndipo payoneer inajipatia credit), payoneerInategemea nab
Inategemea na platform mkuu..but yes nyingi zinakzingua
Xoom & Skrill n.k
Xoom & Skrill n.k
Unafoj kuwa uko kenya, sema siku kikinuka imekula kwako. Mimi mwezi uliopita wamekamata 2325$ mpaka sasa nazichungulia tu nasubiri ifke mwezi wa tisa nizitoe wafunge akaunti mazima
Platform nyingi, ni paypal, moneybookers/skrill, bank transfer (hapa ndipo payoneer inajipatia credit), payoneer
Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesaNilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna IDumetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Mkuu naomba uandike hapa kwa ufupi tujifunze.Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna IDumetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Inabidi iambatane na kitambulisho cha taifa cha kenya, au leseni ya udereva, au passport, utility bill au bank statement ya kenya π π π ili kuprove your physical addressKwani ukienda nchi jirani ukasajili safaricom yako moja safi tena kwa particular zako kabisa alafu ukarudi huku ukalamaisha na mastercard yao si unainjoi tu
Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesa
Mkuu naomba uandike hapa kwa ufupi tujifunze.
Inabidi iambatane na kitambulisho cha taifa cha kenya, au leseni ya udereva, au passport, utility bill au bank statement ya kenyaili kuprove your physical address
Vodacom mastercard si haipokei hela mkuu? Nilieauliza wakasema ile ni kwa ajili ya kufabyia manunuzi online tuTumia vodacoma mastercard au airtel mastercard.
unatengenezaje IDs.Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesa
Mkuu unafanya issue gani online?Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna IDumetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Mkuu unafanya issue gani online?Inabidi iambatane na kitambulisho cha taifa cha kenya, au leseni ya udereva, au passport, utility bill au bank statement ya kenya π π π ili kuprove your physical address
Kwan unauliza kuhamisha pesa from paypal to bank, hapo option ni paypal kenyan acc tuVodacom mastercard si haipokei hela mkuu? Nilieauliza wakasema ile ni kwa ajili ya kufabyia manunuzi online tu
Hata ela waliyohold watairudsha sema mwez wa 9, ukia na US bank account unaipata tu. Mimi nitawapa ya payoneerHapo umewin kabisaa!!! Huwezi kutana na transactions hold!!
Hata ela waliyohold watairudsha sema mwez wa 9, ukia na US bank account unaipata tu. Mimi nitawapa ya payoneer