BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Mpeleke akasome..bongo hakuna elimu ni mipasho tu.
#MaendeleoHayanaChama
Mpeleke wewe wanamuonea wivu tu
Ni kipindi kigumu kwa binti hasa teenager kuweza kuyamudu maisha ya ughaibuni unless awe gifted. Fanya evaluation kwanza. Ila kama umechanjwa ni bora ukambakisha hapa asome first degree ili akomae kiakili na baadaye akasome Masters na PhD nje
Kama hujachanjwa wewe ni king’ang’anizi na hukubali ushauri wa mtu. Mtu kama huyo hupaswi kupoteza muda ati una mshauri. Imagine watoto wanatoka Vijijini wakija kusoma UDSM wanaharibikia hostel za mabibo! Je akiwa Canada ambapo anajua hutakaa umkanyage bila visaThanks for your comments ila kuchanjwa vina uhusiano gani hapa?
Kama hujachanjwa wewe ni king’ang’anizi na hukubali ushauri wa mtu. Mtu kama huyo hupaswi kupoteza muda ati una mshauri. Imagine watoto wanatoka Vijijini wakija kusoma UDSM wanaharibikia hostel za mabibo! Je akiwa Canada ambapo anajua hutakaa umkanyage bila visa
Samahani mkuu ni azma(lengo,kusudin.k) sio hadhimahadhima
Kama unaona tabia za mwanao zinafanana na tabia za watu wa huko basi usimpeleke.Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani anaweza kuharibikiwa na asisome kabisa.
Naomba ushauri kwa wadau wa elimu na wale mliosoma nje.
Kama unaona tabia za mwanao zinafanana na tabia za watu wa huko basi usimpeleke.
Tabia kama vile
Kuvaa vimini..
Kwenda club...
Ana boyfriend...
Mnaangalia mziki pamoja hasa hii miziki ya kisasa...
Munaangalia bongo movie pamoja.
Anapenda kuvaa mawigi..
Mfano wa tabia kama hizi akiwa nazo mtoto alafu unampeleka kwenye Nchi ambazo tabia kama zake ziko mre advanced basi jua utaumia tu mkuu
Watu washika dini wakienda huko wanayumba sikuambii mtu mwenye tabia kama hizo.
Kama unamtaka binti yako angalia tabia hizo hapo juu kama anazo bora umuache hapa hapa kwanza mpaka atakapotungamana.
Mpeleke sema umfuatilie sana.
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata comments tofauti ambazo wengine wananiambia degree ya kwanza usimpeleke mtoto nje ya nchi kwani anaweza kuharibikiwa na asisome kabisa.
Naomba ushauri kwa wadau wa elimu na wale mliosoma nje.
Afuatilie vipi?Mpeleke sema umfuatilie sana.
Hakikisha anakutumia matokeo yake hata ya test tu. Maana wengi wakifika huko shule wanaacha. Unashangaa miaka inafika hata degree hana na pesa ulikuwa anamtumia. Ila wewe ndo unamjua zaidi binti yako. Kwanza anapenda shule haswa haswa ?Ana malengo ?Namfuatiliaje yeye yuko Canada mimi niko Bongo? Kwenye email? Kwenye simu?
Maendeleo yake ya chuo.Afuatilie vipi?