Hapo ukiwa na umri gani?Weweeee umetisha nililetewa na baba mwa 1976 kutoka Zambia hiyo duu!!!? wewe mkali
Kaka huku tunatukanana na watoto wetu. Basi tu Mungu anaweka heriMmh Jerry don't tell me you are that much young[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Babe umenikumbusha Mwenge kijijini...Mhenga mwenzetu mwaka 1976 nilikuwa ninakwenda nursery kwasababu ya uji wa bulgar ulioletwa kwa hisani ya watu wa Marekani
Aiya iya kipepeooo kipepeoBabe umenikumbusha Mwenge kijijini...
Kipindi hicho zikiitwa shule za vidudu...
Kweli ya kale hayanuki
Mabata madogodogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaaniiiAiya iya kipepeooo kipepeo
yanapenda kulia " kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaa"Mabata madogodogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaaniii
Burgar niliitumia primary girls school. Tulikuwa tunaila kama cha kula ubwa si ubwabwa ili mradi tunakula na mafuta toka USA. Enzi hizo bwana tulifaid.Hahaha nilikuwa form 4 nabundi Physics maana ilikuwa inanipa shiida.
Ndio kweliHivyo miaka ya nyuma walikuwa wanakuja navyo watu wanaotoka kuhiji Makka
Robert kelly (if I could turn back the hands of time )huwa nakumbuka mbali.
No mkuu nimekulia bush mi mhenga..Mmh don't tell me you are that much young[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]