Wale wa enzi zetu

Wale wa enzi zetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,073
Reaction score
859,141
IMG-20170915-WA0005.jpg
 
Hivi siku hizi vipo hivyo ??
Vipo sana angalia simu yako kuna app inaitwa gallery. Vya sasa ni digital. Kifupi hizo ni picha za mnato zimetunzwa kwenye slides. Kutizama unazungusha hio slides kwa kukliki hicho kitufe cha kulia. Simple tu.
 
Slide show
 
Pana mambo hutuunganisha na kuhisi kama tulicheza eneo moja lakini kumbe ni lika moja (umri mmoja )ndio hufanya hivyo. Ni moja kati ya faida ya hii mitandao ya kijamii kutukumbusha mambo mazuri ya zamani wimbo wa Robert kelly (if I could turn back the hands of time )huwa nakumbuka mbali.
Kweli kabisa kaka
 
Back
Top Bottom