Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

Una apply TCU kwanza hapo kwe profile yako ya TCU angalia items za upande wa kushoto na uandaae elfu 30 ndo gharama
 
Vile vile mda wa registration ukishaisha,kunaweza kuwa na empty slots katika programme husika za vyuo flani hivyo unatakiwa ukaulizie kama kuna nafasi katika vyuo ivyo na mda wa trasfer ukifika TCU wenyewe watatoa tangazo na utadownload special form na kuijaza bureee then utaskani na kuwatumia tena kwa email yao,ikiwa transfer yako imefanikiwa utatakiwa ulipe about 30000/= kama sikosei....then utaratibu mwingine utafuata..
NB; lazima ukareport kwanza chuo ulichopangiwa

HOPE UTAKUA UMENIELEWA KIDOGO MKUU AU VP!!??

Hii ni sample ila ni ya last year(2014).........

Asante Kaka.Sasa Utakareport Chuo Ulichopangiwa Si Lazima Ulipie Malipo Yanayohitajika?
 
vp kubadili facult ambayo haina mkopo kwenda ynye mkopo bro

mimi naisi inawezekna mkuu as long as umekubaliwa kuhama au kubadili facult ndani au nje ya ya chuo husika lakini tatizo ni hapo kwenye kupata mkopo labda unaweza ukaappeal na baadae ukapata ila ndo inaweza kua long process na kupoteza mda mwingi.........
Nb;sina uhakika sana na hili but mwenye uelewa zaidi naomba atujuze wakuu........
 
Na vip taratibu za kubadilisha course mi priority yangu ilikua account na nimepangiwa business administration nafanyaje wadau ?
 
asante kaka.sasa utakareport chuo ulichopangiwa si lazima ulipie malipo yanayohitajika?

ofcourse lazima ulipie kwasababu kuna two things involved kwamba unaweza kubaliwa au trasfer ikakataliwa hivyo kama ujareport katika chuo husika unaweza kuta nafasi yako ishakuareplaced ikawa shida tena..........so ni muhimu ukakamilisha process zote za registration including all necessary payments.......

Nadhani umenipata...
 
Dah Kaka Hyo Ela Ya Kuanzia Tu Ya Hpo St Joseph Kuipata Ni Shida...Au Transfer Ikikubaliwa Na Ada Pia Inahamia Chuo Utakachohamia?
 
dah kaka hyo ela ya kuanzia tu ya hpo st joseph kuipata ni shida...au transfer ikikubaliwa na ada pia inahamia chuo utakachohamia?

yah ikikubaliwa ada nayo inaamishiwa huko ulikohamia ila inaitaji ufuatiliaji sana na inachukua mda mrefu adi kukamilika...
 
Ni miujuza isiyowezekana

WAkubwa km unareply post ya mtu post vitu vinavyoeleweka ukiwa na uzoefu flan hv...unapokurupuka unapost vtu vya ajabu wkt watu wanauliza vitu vya maana co issue wala nn..hatutafut umaarufu humu....---- we
 
Kuna rafiki yangu amekuta blanks kwenye profile hii INA maanisha nn msaada wakuu
 
Fanya ivyo na mjurishe na mwenzako kama uko selected itakuonesha kama bado jaza upya unfilled slots........
have a nice go guys...

mdogo wang nimemchekia profile yake nikaingia katika programme rejection reason,katika vyuo vinne vyote ameandikiwa sababu moja na sababu yenyewe sijaielewa tuuu naomba unieleweshe,yy alipata Udsm lakin first round,sababu yenyew: selected in lowest available priority programme,kwamba hii moja aliyochaguliwa amechaguliwa sbb ya ushindan mdogo,hivy vyuo vyengin prog alizochagua,ushindan ulikuwa mkubwa..sijaelewa
 
kwa nilivowaelewa pale mfano kama 1st choice yako ilikua UDSM BaeD na wakakuchagua hapo ,it means zile choices zingne hukupata kwa7bu yalikuwa ni machaguo yako ambayo yalikuwa lowest priority kwako means uliyaweka in lower consideration ndo maana hukuchaguliwa...ila wengne waliokosa vyuo ambavyo walichagua kama upper choices badala yake wakapata lower institution of their choices utakuta wanaandikiwa kuwa wamekosa due to compitition ,nadhani umenipata.
 
Asante sana unaenda kwenye chuo husika unachotaka kuhamia unaomba nafasi km ipo mambo fresh unaenda TCU unawaambia wao hawana shida wata Ku allocate.....

My young bro kachaguliwa na TCU scholarship mozambique sasa sie tunataka abaki hapa hapa so tunafanyaje
 
Back
Top Bottom