mapunda b
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 418
- 19
- Thread starter
- #41
Nashukuru, kuna dogo alikuwa na B flat masomo yote matatu (HKL) ni mtoto wa ndugu yangu akakosa first selection, ila nashukuru amepata second selection. Kilichomuumiza O level alireseat kama mara mbili hivi ndo akaja akapata credit za kwenda advance, na mbaya zaidi akakomalia kuomba Mlimani DUCE na Mkwawa ambapo kuna ushindani wa hali ya juu. Nina hamu kujua amepangiwa wapi sasa
ONGERA ZAKE........BUT tusubirie batch 2 na aangalie za zile ambazo aliomba.......