Mkuu naomba nikujuze ki2 kimoja abt transfer,ili ukikutana nacho kickuongezee stress
Ukifanya transfer mambo ya mkopo lazma yakuznguwe, alaf kunaconcept moja hv huwa ipo complicated kinouma nouma,
Inasema hv, kama utakuwa allocated chuo fulan bac na mkopo wako utapelekwa huko, ikitokea umeahirisha mwaka lazma uwalipe robo ya ile first quarter (boom la kwanza) kwa mwaka jana walipewa 673,125 so ipige mara 25% ndicho utakachorudisha, hapo haijalishi ulipokea au hukuipokea lazma ulipe ndo habar ya kupata tena mkopo ije, vinginevyo labda ucombe HESLB
concept ya pili ni hii, ukihama yan transfer toka chuo hichi kwenda kingine pia utalipia hyo robo ya first quarter ndipo upate mkopo huko ulipo/ulipoenda, means inakuwa kama unaomba tena thus y wa2 wengi huwa wanasema utapata ukiwa mwaka wa pili
Hii niliona nikiwa pale HESLB mwenyewe, kuna bint mmoja ndio alikuwa anachukua namba za accaunt ya benk ya HESLB ili akalipe ndio apate nafasi/kigezo cha kuendelea kupata mkopo
Samahani kwa maelezo marefu,
Na mwenye uwelewa wa ziada/chaziada kuongezea hapo na aongeze watu wafahamu wanachokfanya
Nawasilishaa ......