kwa nilivowaelewa pale mfano kama 1st choice yako ilikua UDSM BaeD na wakakuchagua hapo ,it means zile choices zingne hukupata kwa7bu yalikuwa ni machaguo yako ambayo yalikuwa lowest priority kwako means uliyaweka in lower consideration ndo maana hukuchaguliwa...ila wengne waliokosa vyuo ambavyo walichagua kama upper choices badala yake wakapata lower institution of their choices utakuta wanaandikiwa kuwa wamekosa due to compitition ,nadhani umenipata.
da mdogo wangu kapewa 3rd option
kasoma pcm ana point 5 cjui akikosa itakuwaje?
maana kila akiapply anakosa kwa sasa kachagua hivi
1. mechanical engineering-MUST
2.Electrical- MUST
3. municipal and industrial service -ARu
4. environmental engineering-ARU
5. Textile engineering-UDSM
Hebu nishaurini je yuko sahihi?
da mdogo wangu kapewa 3rd option
kasoma pcm ana point 5 cjui akikosa itakuwaje?
maana kila akiapply anakosa kwa sasa kachagua hivi
1. mechanical engineering-MUST
2.Electrical- MUST
3. municipal and industrial service -ARu
4. environmental engineering-ARU
5. Textile engineering-UDSM
Hebu nishaurini je yuko sahihi?