Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wanawake wa kibongo wengi choka mbaya halafu wana roho za kimaskini sana...hio ndio shida 🤣🤣🤣!!!

Mapenzi ni kutoa na kupokea ila kadri unavyojitahidi kuwa upande wa kutoa kuliko kupokea ndipo thamani yako inapokuwa maradufu. Always strive to be more giving than recieving, kuna baraka tele katika hilo hata kiimani. Ubinafsi uliopo kwa ke wengi wa kibongo eti mwanaume agharamikie kila kitu ni wa kizamani na ndio umesababisha tatizo la udangaji kutamalaki badala ya watu kufanya kazi kujipatia vipato vya halali.

Kwa jamii zilizostaarabika huo upuuzi haupo. Wadada mbona mnachagua vya kuiga, igeni na hilo kwa wanawake wa kizungu sio mnaiga vitu vya kijinga tu kama kuchora tatoo, kuweka kope, nyusi, kucha na matako bandia.

Mi naona cost sharing inasaidia sana kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa haraka zaidi, simlazimishi mtu kuadopt huo mfumo ila nimeongea kwa mtazamo wangu binafsi.
Mhhh watu mnabadilika km vinyonga

Uzi huu mnaona kushare cost/mke kufanya kazi ni sawa
Ukija uzi mwingine unataka mama wa nyumbani/mke asie na elimu

Hahahah daahh
 
Hivi na kazi za ndani huwa mnawasaidia wake zenu kwa mtazamo huo huo kuwa mnafanya kwa ajili yenu wote au kazi za ndani ni za mke peke yake?
Mkishakuwa kwenye ndoa(familia moja) mambo ya changu ni changu chako ni chetu hayana afya kwa mstakabali wa familia.
Kama wote mnaingiza kipato ni vema kusaidiana ili kupunguza ukali wa maisha.
 
Wanawake wa kibongo wengi choka mbaya halafu wana roho za kimaskini sana...hio ndio shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!

Mapenzi ni kutoa na kupokea ila kadri unavyojitahidi kuwa upande wa kutoa kuliko kupokea ndipo thamani yako inapokuwa maradufu. Always strive to be more giving than recieving, kuna baraka tele katika hilo hata kiimani. Ubinafsi uliopo kwa ke wengi wa kibongo eti mwanaume agharamikie kila kitu ni wa kizamani na ndio umesababisha tatizo la udangaji kutamalaki badala ya watu kufanya kazi kujipatia vipato vya halali.

Kwa jamii zilizostaarabika huo upuuzi haupo. Wadada mbona mnachagua vya kuiga, igeni na hilo kwa wanawake wa kizungu sio mnaiga vitu vya kijinga tu kama kuchora tatoo, kuweka kope, nyusi, kucha na matako bandia.

Mi naona cost sharing inasaidia sana kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa haraka zaidi, simlazimishi mtu kuadopt huo mfumo ila nimeongea kwa mtazamo wangu binafsi.
Sasa wewe ndugu yangu kati ya wanaume na wanawake ni kina nani wanachagua vitu vya kuiga kwa wazungu? Yaani mnataka sisi tuige wanawake wa kizungu wanavyotafuta hela na kuhudumia familia ila ninyi hamtaki kuiga wanaume wa kizungu wanavyofanya kazi za nyumbani na kulea familia

Halafu unasema eti huo mfume wa mwanamke kumtegemea mwanaume ampe pesa umepitwa na wakati? Vipi kuhusu mfumo wa mwanaume kumtegemea mwanamke ampikie au amfulie huo haujapitwa na wakati? Kwahiyo wewe Extrovert unataka mkeo atafute pesa, ahudumie familia, afanye kazi za nyumbani na alee familia ila wewe utafute pesa na uhudumie familia tu basi?
 
Aise kwani mnapowaachia wake zenu wafanye kazi za nyumbani ninyi huwa mnakuwa hamna uwezo wa kuwasaidia?

Wanaume wa kibongo ni wavivu sijawahi ona yaani ninyi majukumu yenu mnataka msaidiwe ila ya wenzenu hamtaki kusaidia hivi inaingia akilini kweli hiyo?
Hahahah sasa wanawake wa humu hawataki style hio. Banda hilo atajenga mume na hela atajua atapoipata [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ataiba au kokopa ilihali mkewe yupo na uwezo wa kumsaidia anao ila hela yake ni ya magauni,high heels, mapochi na saluni tu.

Aisee nashukuru mungu nilimnyoosha mtu wangu kuhusu hio tabia ya kishenzi na akabadilika kimtazamo.

Kama mambo tunafanya kwa benefits za kwetu wote hamna haja ya kusema hiki changu hiki chako...ubinafsi ni tabia ya kishenzi mno kwangu ni big no. Wanawake wenye ubinafsi ndio design wasiotaka kuchangia chochote hata mambo ya maendeleo ambayo yanawanufaisha wote at large hata kama mume ana kipato kidogo, wapo radhi mtu ateseke ilihali wanaweza kusaidia.
 
Ah, that situation you are talking about is full of nothing rather than an undisputed hypocrisy.
ahahaha..even mr.Magufuli shakes his hands with Mbowe occasionally! i believe it will
 
mbona hilo wanawake wengi wanalifanya, kinachokataliwa hapa ni mwanaume kutaka mwanamke abebe majukumu ndani ya nyumba wakati yeye anachangia kidogo au hachangii hata kidogo na wakati ana kipato cha kutosha, ndoa nyingi za sasahiv wanawake ndo walezi wa familia
Suala ka mwanamke kuwa mlezi wa familia lilikuwepo tangu zamani mkuu, kipindi cha zamani mwanamke alikuwa wa kuamka mapema sana, kufanya kazi za nyumbani, kwenda shambani, kuhakikisha familia inakula na kulea watoto. Wakati huo mwanaume akihakikisha ulinzi wa familia, kwenda shamba na kutafuta kitoweo kwa ajili ya familia. Na baadae tunakuja kuona wanaume wakitumia muda mwingi katika ujuzi na kusahau baadhi ya majukumu ya familia.
 
Wanaume wa kibongo ni wavivu sijawahi ona yaani ninyi majukumu yenu mnataka msaidiwe ila ya wenzenu hamtaki kusaidia hivi inaingia akilini kweli hiyo?

Kina nani majukumu yao wanataka wasaidiwe ?

Sijawahi na sitakuja kuwahi kumwambia mke wangu akatafute pesa alete home ,kutafuta pesa ni kazi yangu na ni sababu ya mimi kuwa mwanume,ukiona wanao wahimiza wake zao watafute pesa wanakosa sifa ya uanaume.

Mwanamke ana jukumu kubwa sana la watoto kuwalea kuliko kutafuta pesa,mwanamke analetewa pesa na kuhakikisha nyumba na vilivyomo vina kaa sawa,na kuhakikisja mali za mume zinatumika vyema na mfano wake.

Hivi inakuwaje kwanza mwanaume mwenzangu unajadiliana na mkeo kwamba nae achangie mpunga kwa ajili ya familia ? Hata kama ana mali sisi huwa hatushughuliki na mali zake mpaka apende kutushirikisha akikaa kimya basi.

Nipo ......
 
Aise kwani mnapowaachia wake zenu wafanye kazi za nyumbani ninyi huwa mnakuwa hamna uwezo wa kuwasaidia?

Wanaume wa kibongo ni wavivu sijawahi ona yaani ninyi majukumu yenu mnataka msaidiwe ila ya wenzenu hamtaki kusaidia hivi inaingia akilini kweli hiyo?
Sasa nini maana ya mke kama mie nimeoa ili hizo kazi afanye mke. Haingii akilini niweke msaidizi kisha nifanye hizo kazi tena.
 
Sasa wewe ndugu yangu kati ya wanaume na wanawake ni kina nani wanachagua vitu vya kuiga kwa wazungu? Yaani mnataka sisi tuige wanawake wa kizungu wanavyotafuta hela na kuhudumia familia ila ninyi hamtaki kuiga wanaume wa kizungu wanavyofanya kazi za nyumbani na kulea familia

Halafu unasema eti huo mfume wa mwanamke kumtegemea mwanaume ampe pesa umepitwa na wakati? Vipi kuhusu mfumo wa mwanaume kumtegemea mwanamke ampikie au amfulie huo haujapitwa na wakati? Kwahiyo wewe Extrovert unataka mkeo atafute pesa, ahudumie familia, afanye kazi za nyumbani na alee familia ila wewe utafute pesa na uhudumie familia tu basi?
Mimi sitaki mke akwepe kazi zake za nyumbani, regardless anatafuta pesa au hatafuti. Na kama inamuwia ngumu na hio kazi aache. Afanye majukumu yake ya nyumbanu hatutakufa njaa
 
Bora wewe, kiasi kikubwa cha matumizi yake anajitegemea mwenyewe. Kuna jamaa yangu, mke anachukua 20,000 daily kwa ajili ya kula na mafuta ya gari. Saloon anaomba hela na mshahara wake huwa haujulikani unafanya kitu gani. Akiulizwa ugomvi wa kufa mtu
Mmmh basi huyo ni janga, mi kwakweli na Mr wangu huwa tuna ile mipango ya muda mrefu na hapo ndio unakuta wote tunashiriki kutegemeana na jinsi mtu unavyopata hela. Kuna muda mm napata kingi hivyo natoa parefu na kuna muda nae pia anapata pesa ndefu hivyo anatoa parefu na hiyo haijawahi kuwa tatizo.
As long as napenda ndani kwangu pawe smart na pasafi basi khs kupapendezesha mara nyingi ni mm tu nafanya yangu panabadilika mf labda sofa nimezichoka n.k.
Ila sijui khs nguo zangu, watoto, kusuka ht sijawahi kumsumbua. Sema nini kuna muda labda akituma hela ya matumizi mwisho wa mwezi, hapo ndio naweza sema sasa hii nayo itanunua vinguo vya babies wetu au nasema hii hapa na mm this time nasuka kwa hela yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mhhh watu mnabadilika km vinyonga

Uzi huu mnaona kushare cost/mke kufanya kazi ni sawa
Ukija uzi mwingine unataka mama wa nyumbani/mke asie na elimu

Hahahah daahh
Tatizo lenu wake wa kibongo mnapenda kuishi beyond means, hilo ndio kubwa. Nywele laki 3, kila fashion mpya wanayovaa mastaa uwe nayo,kila iphone uwe nayo wewe. Kipato cha mumeo 1.3m kwa mwezi. Lazma tuwe wakali kwa matumizi ya kijinga.

Kwa kuwa waume zenu tunaangalia yale muhimu mkikataliwa request zenu za kijinga ndio mnaanza kuhemkwa kuwa mnanyanyaswa ngoja ntafute changu na mimi matokeo yake mkianza kushika vihela mnaanza jeuri.

Sasa kwa tusiopenda usumbufu tunaona bora mke asiwe na kazi coz akidepend kwangu by 100% atawajibika kunihudumia na kulea watoto effectively tofauti na akifanya kazi. Hapa heshima huwepo kwa asilimia kubwa maana unakuwa umetengeneza dependency na hii ndio njia wazee wetu waliitumia kumcontrol mke, ila wanawake wakaaminishwa kuwa ukidepend kwa mume unanyanyasika ndio shida ilianzia hapo.

Ila sasa tunasahau mke akiwa na kipato unampa independence ya kujifanyia atakalo maana si ana hela na anajimudu so tayari anaondokana na ile hali ya kuwa submissive yanaanza mashindano mjengoni, ni wachache sana wanabakiaga kwenye nafasi ya mke wakishashika vihela.

"You only have control to people you feed"
 
Mmmh basi huyo ni janga, mi kwakweli na Mr wangu huwa tuna ile mipango ya muda mrefu na hapo ndio unakuta wote tunashiriki kutegemeana na jinsi mtu unavyopata hela. Kuna muda mm napata kingi hivyo natoa parefu na kuna muda nae pia anapata pesa ndefu hivyo anatoa parefu na hiyo haijawahi kuwa tatizo.
As long as napenda ndani kwangu pawe smart na pasafi basi khs kupapendezesha mara nyingi ni mm tu nafanya yangu panabadilika mf labda sofa nimezichoka n.k.
Ila sijui khs nguo zangu, watoto, kusuka ht sijawahi kumsumbua. Sema nini kuna muda labda akituma hela ya matumizi mwisho wa mwezi, hapo ndio naweza sema sasa hii nayo itanunua vinguo vya babies wetu au nasema hii hapa na mm this time nasuka kwa hela yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiki ndicho wengi hutarajia kwa wapenzi ambao mmefanikiwa kuwa mke na mume. Sijui ugumu wa kulielewa hili uko wapi. Mke akiamua kushirikiana na mumewe kujiletea maendeleo ni dhambi wazee?😃 Mliooa ma slay queen msitupe tabu jamani.

Mwanamke mwenye hekima ndio hufanya hayo usemayo.
 
Hiki ndicho wengi hutarajia kwa wapenzi ambao mmefanikiwa kuwa mke na mume. Sijui ugumu wa kulielewa hili uko wapi. Mke akiamua kushirikiana na mumewe kujiletea maendeleo ni dhambi wazee?[emoji2] Mliooa ma slay queen msitupe tabu jamani.

Mwanamke mwenye hekima ndio hufanya hayo usemayo.
Ni ujinga kumuachia mme afanye kila kitu ili hali na ww una hela/salary. Hiyo ni kutesa watoto tu. Nyumba ambayo anajenga mwanaume peke yake kulingana na kipato chake inaweza ikamiss baadhi ya vitu. Lkn km mkijichanga wote kumbe mnaweza kujenga nyumba standard na ya kuvutia.
Kwenye suala la maendeleo ya familia mm sioni km ni tatizo kuchangia wote.
 
Hii inaonesha jinsi gani huna roho ya kimasikini na ni mfano wa kuigwa. Nachukia mno wanawake wabinafsi, ila wewe unaonesha si mbinafsi.
 
Si huyu Extrovert ndo anataka hivyo eti
Mimi sitaki mke akwepe kazi zake za nyumbani, regardless anatafuta pesa au hatafuti. Na kama inamuwia ngumu na hio kazi aache. Afanye majukumu yake ya nyumbanu hatutakufa njaa
Kina nani majukumu yao wanataka wasaidiwe ?

Sijawahi na sitakuja kuwahi kumwambia mke wangu akatafute pesa alete home ,kutafuta pesa ni kazi yangu na ni sababu ya mimi kuwa mwanume,ukiona wanao wahimiza wake zao watafute pesa wanakosa sifa ya uanaume.

Mwanamke ana jukumu kubwa sana la watoto kuwalea kuliko kutafuta pesa,mwanamke analetewa pesa na kuhakikisha nyumba na vilivyomo vina kaa sawa,na kuhakikisja mali za mume zinatumika vyema na mfano wake.

Hivi inakuwaje kwanza mwanaume mwenzangu unajadiliana na mkeo kwamba nae achangie mpunga kwa ajili ya familia ? Hata kama ana mali sisi huwa hatushughuliki na mali zake mpaka apende kutushirikisha akikaa kimya basi.

Nipo ......
 
Khaa sasa kwani pia ni maana ya mume ikiwa na mke ameolewa na huku anatafuta pesa na anahudumia familia? Yaani huyo msaidizi ndo umtwishe majukumu yote wewe ufanye machache? Hivi unajua maana ya msaidizi?

Back
Top Bottom