Wale Minaki Mpo?

LOL,Unanikumbusha mbali Tunu SIZA alikuwa demu wangu ila nimepata tetesi kaolewa na ana watoto .INANIUUMA SANA natamani nije bongo.

Muhsini nae mzee wa mbwembwe lol.

Oya ina maana tulikuwa tunapokezana?? ndio matatizo ya shule zenye mademu wachache na mamen wengi lo!! halafu Tunu siza hajaolewa bado alijiunga na chuo nitafute nikupe details zaidi))
omary kimosa,humphrey mpalaza unawapata?
 
Hivi mwalimu Masumay yuko wapi ? daah huyu alikua mnoko kuliko mwalimu yoyote hapa shuleni, alikua akiamua kukufuatilia daah hutoki.
 
Oya ina maana tulikuwa tunapokezana?? ndio matatizo ya shule zenye mademu wachache na mamen wengi lo!! halafu Tunu siza hajaolewa bado alijiunga na chuo nitafute nikupe details zaidi))
omary kimosa,humphrey mpalaza unawapata?

lol,kama vipi nipe namba yake.mbona nilipata nyepesi kuwa kaolewa?

lol,kwahiyo tulikuwa tunashea......

INAUMA AKI YA MUNGU.NIKIJA NAMSAKA.
 
lol,kama vipi nipe namba yake.mbona nilipata nyepesi kuwa kaolewa?

lol,kwahiyo tulikuwa tunashea......

INAUMA AKI YA MUNGU.NIKIJA NAMSAKA.

namba yake niipoteza nikiwa bongo si unajuwa vibaka wa posta walibeba simu summer ya last year.ila nina hotmail yake lakini wewe ya nini ?si ungechukua mwenyewe?
ulikuwa unakaa bweni gani?
 
Mkuu Papa Sam umenkikuna kweli! Kumbe tulikuwa wote!

Hiyo party lini mkuu, unakumbuka kuna ten tunadaiwa au mwenzangu ulishailipa! HP wetu Masolwa , sorry Dr. Masolwa unamkumbuka pia?

Shikunzi John anaoa hivi karibuni, kikao kinafanyika pale mamaland External Ubungo
Hivi wale vijana wawili walikuwa matoz sana wa o level, wazee wa kununu mitihani waliishia wapi! Mmoja mtoto wa Kitine mwingine mtoto wa msukuma wa SHIREC anaitwa Sura kama si kosei, hii ilikuwa around 1997-2000, not much sure!

Wazee wa EGM mnakumbuka Michael Kaijage mzee wa Namba na Lenjore Lekamoi mzee wa kukariri, jamaa alikuwa anameza kitabu chote cha Principles of Economics! Bravo kaka nasikia tayari una CPA na bosi mkubwa tu na mjengo wa maana Kinyerezi!

Hadi Shikunzi Maximo anaoa? si mchezo....huyu Mjasiriamali ndo nani? naona unataja majina ya watu tu...
 
Hadi Shikunzi Maximo anaoa? si mchezo....huyu Mjasiriamali ndo nani? naona unataja majina ya watu tu...
KWANI UJUMBE HAUKUFIKII MPAKA UJUE JINA LA MTU...?
Kwa nini unashangaa Shikunzi John Msanganzila kuoa, mbona Nelly Kaminyoge ameoa, Juma Samson Josluo ameoa, Lenjore ameoa,kaijage ameoa, Mwasakafyuka samson "MWASA KING" nasikia anamchumba naye si muda mwingi atatangaza ndoa, Stiphene Tall alitaka kuoa demu akaingia mitini, Deo Babile bado msela tu.
 
habari zilizo rasmi ni kua Shikunzi John Msanganzile amepata Jiko, hii ni baada ya kutoka Brazil, binafsi nilikuwepo, kina Nelly na Washikaji wengine kadhaa wa kadha
 
Kulikuwa na mshikaji anaitwa George "BONGE" Alikuwa maarufu kwa kumeza mizigo kama ilivyo.Gupta kuna mtu anamkumbuka? nakumbuka aliingia mitini wakati wa NECTA.
 
Gupta , aah NAFIKIRI tulimaliza mwaka mmoja, huyu nasikia Yuko Texas, alifanya General Study tu kisha nduki kali.....maisha bwana.
 
kaka mmenikumbusha mbali sana,
mr mjale -the late headmaster,masumaye,mzee wa kufuatilia nnjendo,libaba -comrade,pia kuna mtu anaitwa sogoi wazee mnamkumbuka,has lokoo zake za usafi,bwana shamba yule alikua mtata,ila hamfikii mwl malawi,huyu anakupa azabu kwa kupima kwa kutumia manati yaani akirusha jiwe ndo mwisho wa azabu,pia alikua na madaftari matatu ya kuandika watu wa azabu,la kwanza anakusajili baada ya kupewa list na mwl au kiranja,la pili akikupa adhabu an akuandika la tatu akikagua azabu ukameet deadline na viwango vya azabu,alikua anatunza kuliko hata notes zake za somo,
kweli minaki ina mengi ya kukumbukwa
 
kaka kuna mwingine mtotyo wa prof ye alikua maarufu kwa mikate,hataki maharage,akila chakula ujue kwa mama kinyogoli,at the end akazungusha o
 
Hahahaaaa! nakumbuka enzi za 1987/89 A-level tulikuwa na headmaster wetu Mtesigwa alikuwa poa sana. Nakumbuka tukienda kucheza soccer Kisarawe walikuwa waiogopa timu yetu sana. Katika timu hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kucheza kama beki wa katikati nikitoka kucheza wing ya kulia nikiwa Tambaza. Nilipata mafanikio mpaka kuchaguliwa timu ya mkoa hadi kanda namshukuru sana mwalimu wa Footbal wakati ule Mwl. Mrope

Hahaha umenifurahisha mshkaji. tulikuwa wote kwenye hiyo timu kiboko ya kiwe. tulikuwa tunasumbua sana ligi daraja la 4 kisarawe. timu ya jeshi ilikuwa inatuogopa sana. kimsingi tulicheza wote nyuma na mimi ndo nilikuwa dala lako!!! najua ushanijua manake tulikuja cheza tena chuo. wakati wa Dabanga ulinikuta form 4. hahaha Mwl Mrope alijiendeleza mpaka siku hizi ni mwalimu wa Chuo - Mlimani! Those were great years Dabanga!
 
Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
sana tu. ila binafsi kaaya ndolikuwa mkuu. rip two our brothers pata ajari mlima kinyanyiko 2009.
 
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.
Mwl Mkumbo .....alishakufa 7 yrs ago.rip
 
154834_477433114064_507264064_5609469_8230830_n.jpg
 
Back
Top Bottom