Hahahaaaa! nakumbuka enzi za 1987/89 A-level tulikuwa na headmaster wetu Mtesigwa alikuwa poa sana. Nakumbuka tukienda kucheza soccer Kisarawe walikuwa waiogopa timu yetu sana. Katika timu hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kucheza kama beki wa katikati nikitoka kucheza wing ya kulia nikiwa Tambaza. Nilipata mafanikio mpaka kuchaguliwa timu ya mkoa hadi kanda namshukuru sana mwalimu wa Footbal wakati ule Mwl. Mrope