The Spit
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 473
- 243
mwanangu usipime,,,,pori lile ni hatari mwanawani....je unamkumbuka yule mpishi mwenye busha?
yeah mazee yule mpishi namkumbuka ila nimemsahau jina kidogo!
nikumbushe?
mwanangu usipime,,,,pori lile ni hatari mwanawani....je unamkumbuka yule mpishi mwenye busha?
duu mi nakumbuka kipindi hicho minaki usafiri ulikuwa aina fulani hivi ya mabasi yanapua ndefu hivi yani life lilikuwa maisha plus maji ya viroba kwa kwenda mbele mskaji akinunua unamwomba kupiga denda maisha yalikuwa burudani, nakumbuka siku hizo mama kinyogoli alikuwa anauza mboga kwa kijiko kisamvu au matembele sh 20/=
i was there enzi za mtesigwa, then mjala tulipokuwa form iv...
I remember kuungua kwa bweni la mnyampala, wakaazi wake wake wakapelekwa kwenye vi-structure fulani tukawa tunawaita wa-kurdi.
Mwalimu "kiburungutu," zanta, abnormal... So much to remember
wewe sasa ndio mwenzangu enzi hizo na mimia nilikuwa o level,nakumbuka kuna mgomo mkubwa sana ulitokea wakati huo second master alikuwa mbuji,wengine wakina kabahoza,shehoza,kuhanda,mkwangwanyule,zanta,mama wa namba nk.
duu mi nakumbuka kipindi hicho minaki usafiri ulikuwa aina fulani hivi ya mabasi yanapua ndefu hivi yani life lilikuwa maisha plus maji ya viroba kwa kwenda mbele mskaji akinunua unamwomba kupiga denda maisha yalikuwa burudani, nakumbuka siku hizo mama kinyogoli alikuwa anauza mboga kwa kijiko kisamvu au matembele sh 20/=
Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
ule mgomo nafikiri ulitia adabu sana pale nami nilikua olevel by then...umenikumbusha akina mkwanga aise jamaa kilimo kimemkaa utafikiri nini enzi zile somo la agriculture hasa bwana!!! kulikuaga na mwalimu wa kike alikua anakaa upande wa pili wa barabara karibu na mabanda ya kuku mama naye alikuaga mnoko sana alikua anafundisha biology!
sijui kama sasa ivi wana fuga kuku tena?
Kuna mwalimu alikuwa anafundisha sanaa jina la utani alikuwa anaitwa TOT jogoo la afrika alikuwa burudania sana na mwingine wa kiswahili kata k alikuwa noma kwa fasihi.enzi hizo kulikuwa na akina bob chura,mwiba,galopa mkristo na mzee wa bwalo.
I was there enzi za Mtesigwa, then Mjala tulipokuwa form IV...
I remember kuungua kwa bweni la Mnyampala, wakaazi wake wake wakapelekwa kwenye vi-structure fulani tukawa tunawaita Wa-kurdi.
Mwalimu "Kiburungutu," Zanta, Abnormal... so much to remember
menikumbusha mbali sana, c ndio tulikumbana na mambo, SOGOI alipewa kuwa mwalimu wa usafi,tulujuta kumfahamu mana kila dakika tunaye....
Kuna BANOBA ni full mikwaraaaaaa.
lakini pia ndio wakati MJALE (RIP) aliaga dunia wakati huo tunakaribia paper la form six...
wewe sasa ndio mwenzangu enzi hizo na mimia nilikuwa o level,nakumbuka kuna mgomo mkubwa sana ulitokea wakati huo second master alikuwa mbuji,wengine wakina kabahoza,shehoza,kuhanda,mkwangwanyule,zanta,mama wa namba nk.
Hongereni kwa kupanda angalau chai maharage. Kipindi chetu tulikuwa tunapanda KAMATA kutoka Kariakoo mpaka Kiwe. Ukilikosa tu pale Kariakoo saa nane basi andika maumivu kufika Kiwe.yah kajiungeni nimekumbuka sasa, ila na usafiri wa kwenda kingi nao ulikua umepitwa na wakati duh zile chai maharage noma na lile vumbi pale kinyanyiko!!!
yah kajiungeni nimekumbuka sasa, ila na usafiri wa kwenda kingi nao ulikua umepitwa na wakati duh zile chai maharage noma na lile vumbi pale kinyanyiko!!!