Wale Minaki Mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale Minaki Mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kilinzibar, Jul 23, 2009.

 1. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
   
 2. mbuvu

  mbuvu Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du unanikumbusha Minaki miaka ya 1996.mambo ya form one ku dive,wakati huo alikuwepo mwalimu wa michezo zanta bila kumsahau mama anzeni muuza mihogo.nakumbuka sana siku ya alhamisi ilikuwa inasubiriwa kwa hamu sana kwani ni siku pekee ya wali nyama.vilevile nawakumbuka wasakata kandanda kama vile mosi bundala,hassani kajembo,abuu kipara.
   
 3. B

  Bata Senior Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  DUU,tupo wana minaki hapa.
  Wankumbusha mbali enzi za muuza mboga mama kinyogoli miaka yetu ya 2001,2,3.
  miogo mwanzo mwisho,ila nilikuwa nikila miogo tuu mbonji ya kufa mtu.
  enzi hizo bweni letu lilikuwa LUMUMBA.
  Big up walimu kama-MBEIKYA-Chemistry A level
  -Mama Kafumu-Physics
  -JOHO-A Maths
  -Ngatila
  Je mnakumbuka mwalimu mwenye vituko----SOGOI.?-Najuuta kumfahamu.

  MWISHO BABA MPENDA WANAFUNZI WENYE AKILI---MJALE<RIP>
  Namkumbuka alivokuwa anamfagilia mwanafunzi mmoja aliekuwa anajulikana kwa jina la KINABO-PCM baada ya kuwa wa kwanza kwa mock mkoa wakati wa mahafali.
   
 4. D

  Dawson Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh makumbuka mendi ninaki lakini sitasahau kona ya kinyanyiko na utamu wa maji ya fangasi
   
 5. B

  Bata Senior Member

  #5
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duu....nilishasahau fangasi.mpaka leo wamenitia doa.lol
   
 6. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tupoooooooooooooooooooooo.
  Mimi ni mmojawapo.
  BAADA ya SAME SEC nilikuja MINAKI.

  Nilikaa MNYAMPALA NA SHABAAN ROBERT.
  Nakumbuka makaburi karibu na bwalo/
   
 7. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  duh mwanangu Bata,kilizimbar na wengine wote wana kinyanyiko tupo tupo.Haki ya nani nimepitapita zangu hapa na kucheki hii mada ikakumbusha mbali kinoma....
  si mchezo Bata umenikumbusha mihogo ya mama kinyogoli,,,haki ya nani hiyo miogo ndo ilikuwa my favourite snack around,,hivyo ma kinyogoli bado anapika mihogo lakini duh?
  Big up sana kwa mwalimu Mbekya,ni moja kati ya waalimu wangu ambao sitasahau jinsi walivyokuwa self dedicated to the success of his students,,,bila kuwasahau Mr.Joho{maths},Mr.Banoba hahah,Ngatila,Mr.Msuya,,,,,ila kwa wale wa ku-drop siku za weekend ka mimi hatutamsahau and not to mention Ms.KIUNGAI,,,wa kudrop wananielewa.
  MR. SOGOI?....hahahahh this dude is manace!...haha
  "BABA MJALE"-RIP.....It was terrible loosing him,,,,kipindi kile tulikuwa tunaelekea kufanya paper ya mwisho form six ilikuwa masikitiko makubwa,to me he is one of the headmasters we need in our country,a true leader,a patriot who dearly love his young people,hence his country.
  wana Mnyampala wote tupo mazee,bila kuwasahau wana Lumumba,Shebby Robby na Milambo.
   
 8. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hahahah....duh ebwana umenikumbusha fangasi wa pale walikuwa ni noma manake duh,ukiingia mabweni mle utakuta washkaji wamevua viwalo vyote they are doing the "rubbing"
  just like a movie hahha
   
 9. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vipi safari za kwenda Kisarawe kwa miguu kupitia katikati ya lile pori la mihogo na vichaka.
   
 10. B

  Bata Senior Member

  #10
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwanangu usipime,,,,pori lile ni hatari mwanawani....je unamkumbuka yule mpishi mwenye busha?
   
 11. B

  Bata Senior Member

  #11
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tusiwasahau na wapishi wale,,,yule mzee mwenye busha alikuwa anaitwaje tena?

  hivi na joho yuko wapi?

  na kisirani SOGOI je?
   
 12. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #12
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jama yale maji yalikua balaa sasa soo pump igome alafu ndio muwezamu kwenda kuchota maji kule chini ilikua soo....na mafangus ndio usiseme kunamshikaji alikua yeye ni kutoka majipu tu mbaya zaidi ni kwenye makalio wiki hii **** moja next wk jingine nilikua nacheka sana ikifika wakati wa kukaa darasani mana mshikaji alikua anakaa kwenye edge ya kiti!!!!

  ila ule uji nao ulikua soo piga ua lazima ulale kudadadeki,mihogo na mboga mboga nazo zile za akina mama walikua wana tuokoa sana ila nao ulikua ukiongea nao vizuri ah unanunua tu!!!!

  zanta (RIP) jamaa alikua noma duh mkienda kwenye michezo madenti wa kike lazima walizwe aisee
   
 13. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #13
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulikuaga na yule mama mwalimu wa kike mweusi kinoma dah mama alikua mnoka hakuna kipimo!! Mjale alikuaga anajipendeleaga pale
   
 14. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #14
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kudrop nako kulikuaga noma,mzee unakula pori mpaka njia panda bwana!!!! mpango ule kuomba ruhusa eti mpaka upewe kikaratasi shule nyingine bwana na mipangalio yakizushi sasa mwalimu wa zamu atakuringia weekitu chenyewe kikaratasi, watu kibao wanasubiria kwenye dirisha!!!
   
 15. B

  Bata Senior Member

  #15
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na enzi zile tulikuwa tunashindana usafi wa mabweni......kila siku lumumba la mwisho.........loh tehtehteh
   
 16. mbuvu

  mbuvu Member

  #16
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimewakumbuka sana wana makongoro hasa wing ya chini,ukitoka likizo ukigusa tu maji fungus wanaanza kukushambulia na ili uwe safe ina bidi usivae nguo ya ndani.Mungu amuweke mahali pema baba Mjale nakumbuka speech zake si mchezo.
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Looooh. Sijasoma Minaki ila mwanangu alisoma Ruvu Secondary miaka ya 80s ambako Mr. Mjale alikuwa ni headmaster pale akiwa mchapakazi kwa kilimo including mifugo na masomo. Kama ulivyosema Mr. Mjale alikuwa anapenda sana wanafunzi wenye akili, nashukuru mwanangu alikuwa among them na katika wanafunzi 11 walipata div 1 mwaka wao mwanangu aliwaongoza kwa points za single digit!!!! Nilimpenda sana huyu mwal wakati wa visiting day alikuwa very strict nakumbuka hata mkewe alikuwa kama matron wa shule. Siku ya graduation alitufurahisha sana wazazi na hasa wale ambao watoto walikuwa vipanga alituweka karibu ( I hope mwanangu bado ana zile picha). He was short strong headmaster na watoto nidhamu ilikuwa juuu sana. Asante Mwalimu kwa maadili yako ila nimesikitika kumbe ulishafariki. Pengine mwanangu hajafahamu nitamtumia ujumbe. RIP Mjale.
   
 18. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  PUGU kajiungeni je?
  Kutembea kwa miguu toka mwanzo wa lami gongo la mboto.
   
 19. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #19
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah kajiungeni nimekumbuka sasa, ila na usafiri wa kwenda kingi nao ulikua umepitwa na wakati duh zile chai maharage noma na lile vumbi pale kinyanyiko!!!
   
 20. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kale kashamba kaliko kuwa na michungwa kidogo bado kili kuwepo enzi za wengine wenu?
   
Loading...