Mlyafinono
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 177
- 48
ukitaka ukuu wa wilaya imba sana habari za ccm,nilimuona makunga alivyokuwa akipindisha matokeo ya ingunga hadi akawa anapishana na waandishi wenzake wa itv kumbe alikuwa anafanya hivyo ili apate fadhila ya mkuu wa kaya.kazi kwelikweli