Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

hii ni ishara tosha kuwa waandishi na watangazaji wanawafikia kirahisi viongozi wetu kiasi cha kufahamika vyya kutosha na kuteuuliwa kuwa hata wakuu wa wilaya kazi ambayo kwa dhana hiyo inahitaji sana waongeaji/wanenguaji na si watendaji
 
Mmh! Yaani Amani Mwenegoha aliyekuwa Katibu mkuu wa ELCT amepewa ukuu wa wilaya? Kweli njaa mbaya sana. Ameondoka ELCT na skendo anaingia kwenye siasa. Anyways labda uko kuna mfaa maana ndio sehemu pekee yakuteketeza "morals" bila kuulizwa na mtu.
 
Kaazi kwelikweli,
Hivi ukuu wa wilaya ni cheo cha Kichama ama kiserikali, mbona wote ni wa CCM? kweli katiba inahitaji mabadiliko makubwa

Hizo ni post za makada wa CCM. Ndio maana wabunge wa CCM walipiga kelele sana kitendo cha kuwaondoa wakuu wa wilaya kwenye marekebisho ya sheria ya kuandika katiba.
 
Nimeamini Sioi Sumari hakuwa chaguo la JK kwenye kinyang'anyiro cha Arumeru Mashariki. Licha ya kuwa ametimiza vigezo vyote vya kupewa Ukuu wa Wilaya (Yaani kushindwa Ubunge), lakini katoswa. Pole sioi.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF
 
Mzigo mwingine kwa watanzania....
 
jamanh hv huyu dr michael kadeghe do yule wa udsm au kama ni kweli mbona jk anapunguza watalamu vyuoni!

Ndiyo huyo Kadege wa UDSM, anayependa totoz kama aliyemteua, na kuwaambukiza ule ugonjwa...
 
Wanabodi, mbona LE MUTUZ hayupo kwenye list pamoja na kujikomba kote? Au hawapatani na riz1!!!!
 
Na yule mkuu wa wilaya ya tarime hajaachishwa tu jaman! Maana ana tuhuma kibao mara anapiga dada yake, mara kapiga watendaji, mara anagomesha malipo mgodini nyamongo mara mwenyewe kategesha
 
Katiba mpya iondoe ukuu wa wilaya kwani ni mzigo pili wanaowekwa ni makada wa chama, muda mwingi watakuwa wanashughulika na mambo ya siasa, especially namna gani ya kuizibiti CDM... Inakera sana
 
Mmh! Yaani Amani Mwenegoha aliyekuwa Katibu mkuu wa ELCT amepewa ukuu wa wilaya? Kweli njaa mbaya sana. Ameondoka ELCT na skendo anaingia kwenye siasa. Anyways labda uko kuna mfaa maana ndio sehemu pekee yakuteketeza "morals" bila kuulizwa na mtu.

hii kali
 
Acha washiriki kumalizia utawala wa CCM.
2015 CDM inachukua nchi tunafuta kabisa hicho cheo.
 
- Mkuu kwani niligombea hizi nafasi? ha! ha! ha!

William.

Mkuu hukugombea lakini hata na wengine hawakugombea pia. Siamini kuwa hukuteuliwa kwa kuwa huna ujuzi wa kitu chochote (kumbuka kuna wawakilishi wa vituo vya televisheni ktk orodha).

Ninapata taabu kuamini kuwa hukufikiriwa pamoja na haya hapa:
a) ulihudhuria uapishwaji wa mawaziri. Sijui kama ulialikwa rasmi au la lakini kufika ikulu maana yake watu wanakufahamu.
b) uligombea ubunge wa EAC na kupita michujo kadhaa. Hivo inner circle ya CCM wanakufahamu. Sijui huyu wa ITV kakuzid vipi kete! Hata kwa kukupoza kama ilivo kwa Kazimoto, Manju Msambya, Kirigini inetumika kwako pia jamani!
c) wewe ni kijana uliye na elimu na ufahamu kubwa. Sasa kama Gambo nae yupo, wewe uliyepata shot kwa ubunge wa EAC vipi??

Mi naona unacheka lakini moyo unaumia. Hii kitu sio sawa, CCM wameshindwa kufuata hata utaratibu wako kwako!! No!!
 
- Mkuu kwani niligombea hizi nafasi? ha! ha! ha!

William.

Mkuu W. J. Malecela,
Hizi nafasi hazigombewi. Zipo mahususi kama kifuta machozi kwa washindwa Ubunge na walamba viatu! Sasa wewe na Sioi vigezo mnavyo nashangaa ni kwa nini wamewaacha. Anyway Jk akirudi toka Ethiopia mumfuate mkadai haki yenu.

Mtu kama Sioi hajafanyiwa haki kabisa. Kakitetea Chama kwenye mazingira ambayo hakikustahili kutetea lakini alisimama imara hadi akafa kibudu mbele ya Joshua Nassari. Leo nafasi za Ukuu wa Wilaya zinatoka anaachwa! Mbona Christopher Kangoye yeye alipewa huu ukuu wa wilaya baada ya kuragazwa na Charles Mwela wa CHADEMA mwaka 2008? Iweje kwako na Sioi iwe nongwa?

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
wakuu wa wilyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Du nchi isyo na wenyewe. vyeo vya wakoloni ndo tunaendeleza. mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom