Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Huyu ****** sijui huwa anawaza nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????

Novatus Makunga kamwona ni bora kuliko watu wanauza utu wao kwa kumtetea, kina Marin Hssan, Kihampa, wa tangazaji wengine wa TBC!

Haya ....najua kina marina watakuwa wameumia mno .....na lazima watachukua hatua!
 
Hata mimi kumbe naweza kuwa mkuu wa wilaya.

Hapa ndipo ninapompenda Rais wangu Kikwete, amegeuza hii nchi kuwa yetu sote, yeyeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi. Kwenye Regimes zilizopita walikuwa ni watoto wa vigogo tu. Leo sishangai kabisa mchizi wangu Ulega wa uswazi kuwa mkuu wa Wilaya. Sitoshangaa siku nikisikia Pasco ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Jakaya tutakukumbuka kwa mengi.
 
Masikini le mutuzi hajakumbukwa tu? Aaaah ikilu haijamtendea haki ingawa aliitembelea!

Kaazi kwelikweli,
Hivi ukuu wa wilaya ni cheo cha Kichama ama kiserikali, mbona wote ni wa CCM? kweli katiba inahitaji mabadiliko makubwa
 
hii single ni mpya?nimeifuatilia sijaokpta kiti.
nisaidieni ni ya diamond?
labda ikipigwa kwenye jahazi nitaelewa au nikiona video yake.
 
Hiki ni cheo cha fadhila, inapaswa kabisa tujiandae kwa kuweka msukumo katika katiba mpya ili kuondoa wakuu wa Wilaya na wa Mikoa, kama wakitaka wawepo basi ni lazima watokane na kupigiwa kura na ikiwa ndivyo hatutahitaji kuwa na wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. At least mbunge na mkurugenzi ingetosha. Fedha zinazotumika kuwatunza, wao na magari na vikao sio halali kamwe kwa nchi iliyo na hali mbaya kama hii. HII NA IWE ORODHA YA MWISHO YA KADA HII KWA TAIFA LETU. Inatosha!!!!
 
Ama kweli Jk haachagi makapi yasiyokubalika na ya waTz yaani wale wöoote walochemka kwenye nafasi za ubunge kawarudisha tena? huyu mtu Mongella alotoka Kigoma na kuja Arusha mtizameni sana huyu bwana maana amekuja kimkakati zaidi mpaka ameletwa huko.
 
post za ukuu wa wilaya inabidi zitazamwe upya, majukumu yao na vigezo vinavyotumika kuwateua
 
huyu Martha Umbula ni mbunge wa CCM viti maalumu Karatu, sijaona umuhimu kumteua kuwa mkuu wa wilaya tena mbaya zaidi kapangwa mbali na jimbo lake.
 
post za ukuu wa wilaya inabidi zitazamwe upya, majukumu yao na vigezo vinavyotumika kuwateua pia tuone kama kuna tija ya kuwepo kwao.
 
Nami nimejiuliza,lakin hata Dr nchimbi walimtoa idara ya historia hapo university of Don,,,,sasa ni mkuu wa mkoa
Orodha ya Kwanza no 15!

Dr. Michaek Y. Kadeghe.
From University Don to DC!
I need my head examined!!!
What is wrong with us Tanzanians?
 
Back
Top Bottom