Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Mbona wakristu wengi?
HA HA HA! mbumbumbu
Mbona wakristu wengi?
Huyu yeye ni Meya tayari...
Mkuu umejuaje kwamba wakristo ni wengi au wamekuletea vyeti vyao vya ubatizo. Usifikiri dini inaangaliwa kwa kutumia jina la Mtu.. Hata hivyo kumjudge mtu kwa dini yake haina maana kwenye siasa ya Tz.Mbona wakristu wengi?
failures wa ubunge kinyang'anyiro kilichopita ndio wengihongera zao.
Hivi sasa yanatangazwa majina ya wakuu wa Wilaya wapya na
wazamani katika kituo cha ITV, baadhi yao wakiwemo Ahmedi Kipozi
Muhingo Rweyemamu, Venance Mwamoto. Hivi ni kweli cheo hiki kina
tija kwenye nchi yetu?...