Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

Nipo eneo karibu na shule ya perfect vision inayomilikiwa na Dr. Michael Kadege nakunywa kahawa na vijana pia wanafunzi wa perfect wapo wanasema mambo anayoyafanya huyo Kadege shuleni kwake akienda kuyaendeleza huko Mbozi basi watammaliza!
 
Nimeona pia jina la James Milya - Longido; sijui ndo huyu Milya wa kwetu au?
 
j.kasunga from mondul ana deserve kwa kwel he is a hard workng man
 
NI MAMBO YA (1) KUJUANA NA (2) KULIPA FADHILA. WANAHABARI wamejaa, kwa nini? NAAMINI ni kutoa somo hivi kwa wanahabari, wengi ni njaa na makanjanja, kwamba aah ukijipendekeza utaukwaa u DC, au ukitoa zaidi utapata hata u RC: si unajua bwana mkubwa; ukitaka kula, nawe uwe tayari kuliwa. NAONA waliwa wengi kweli kweli...
 
Nachelea kusema alikua rais wangu wa DARUSO,kwakifupi ni kwamba 2010 Festo alitaka kugombea ubunge jimbo la isman la Lukuvi ila akachujwa kwenye kura za maoni,naona Lukuvi kamchomekea ili jamaa aweze kutulia huko,,,,
vipi mkuu unacheka
 
Pasco,

Nimeangalia kwa haraka haraka nimeona wana tasnia ya habari wako kama watano hivi, nikiongeza na wale walioteuliwa awamu iliyopita, ninapata mashaka kwamba kuna political corruption ndani ya sekta ya habari na hasa kwenye awamu hii ya JK. Huu ni mfumo mpya wa bahasha za khaki.

Jina lako nasubiri kuliona after 2015, japo nayo ni subjet to certain factors. Hata kama utagoma na kuleta za masikini jeuri, tutakulazimisha!
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nna hasira na ccm na watoto wa vigogo..ntajinyonga juu yao.upuuzi huu
 
Kitendo cha Mrisho gambo kuwekwa DC ni mkakati maalumu kwa kuwa-motivate vijana waliopo ccm wasiondoke kama alivyofanya Milya.
 
Wana JF

Baada ya kupitia Majina ya Ma DC Nimeona Mkono Wa Ridhwani kuwapa Ulaji maswahiba wake ndani ya Genge la UVCCM

1)Paul Mzindakaya(Mkiti Uvccm Rukwa
2)Hassana E Masala(Mkiti Uvccm Lindi)
3)Ulega ( Mkiti Uvccm Mkoa Pwani)
4) Mrisho GAMBO
5)Anthony Mtaka (Huyu hata Mzumbe hajamaliza)

Vijana Hawa inasadikika ni Vijana Wa Rdhwani ndani ya Uvccm na Inasemekana walishatambu UDC wao miezi Sita ilopita
Baada ya Uteuzi huu nimejiridhisha Nguvu ya huyu KIJANA ndani utawala Wa Baba Yake

Kwa hiyo maneno ya Nasari yana ukweli?
 
Huyo james millya wa longido majina yamefanana afu ni mzee m2 mzima bt anatoka nae simanjiro..ana miaka mingi ktk iyo post
 
Nachelea kusema alikua rais wangu wa DARUSO,kwakifupi ni kwamba 2010 Festo alitaka kugombea ubunge jimbo la isman la Lukuvi ila akachujwa kwenye kura za maoni,naona Lukuvi kamchomekea ili jamaa aweze kutulia huko,,,,

 
Back
Top Bottom