Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

huyu Amani K Mwenegoa wa bukombe ndio yule aliyewahi kuwa katibu mkuu wa kkkt?

Huyu Amani Mwenegoha alifukuzwa na Kanisa (KKKT) kwa sababu ya ufisadi aliokuwa anaufanya kwa nafasi yake ya ukatibu mkuu wa KKKT. Sasa leo anapelekwa kuongoza wilaya ili akaendeleze ufisadi serikalini. Ivi kabla ya kufanya uteuzi kuna uchunguzi wowote unafanyika kujua background ya hawa watu? Au ndio ishu ya kujuana?


Wakuu hapo hata mimi mwenyewe nimeconnect dots nikashindwa kuelewa kabisa
 
Husna Mwilima Wilaya mpya ya MBOGWE iliyogawanywa toka BUKOMBE, Selemeani Selemani Kwimba, Paulo Mzindakaya BUSEGA imegawanywa toka MAGU, Dani Makanga KASULU, Queen Mlozi Ilamba,
 
Huyu ndie alikuwa anaripoti mikutano ya CCM Arumeru??

Tehetehe.. Ngoja akapambane na Mbowe huko hai!!

Novatus Makunga lazima mjue ni homeboy wake JK kwani ni wa Kabila lake na wanatokea eneo moja. Pia siyo tu kada wa CCM bali mtu mwenye chuki na vyama vingine vya upinzani na aliwahi jaribu kugombea ubunge Arusha CCM wakamchuja ndani kwa ndani. Alikuwa katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha.

Ameteseka sana kutafuta cheo CCM na hapa amefanikiwa na msitegemee maendeleo yoyote kwani watu walioteuliwa wengi wamechoka na wengi walishindwa ubunge.

Eti hata aliyekuwa katibu wa KKKT amechaguliwa mkuu wa Wilaya.
 
Huyu jamaa aliwahi kuwa Rais wa DARUSO na alikuwa bogus kuliko marais wote wa DARUSO!!

kuna huyo, na mwingine anaitwa amani mwenegoha..huyu alifukuzwa KKT kwa wizi na sasa amepewa ukuu wa wilaya...mke wa dk mtasiwa nae kaula...
 
Jamani huyu Millya ndiye aliyehamia CDM,

NA.
JINA
KITUO CHA KAZI
1.
James K. O. Millya
Longido
 
Back
Top Bottom