Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???

Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.

Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..

Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamtumiaje mtu hela kabla ya kuongea naye mara mbili tatu ili kujilizisha umepata right person,ni umbumbumbu wako umekufanya UPIGWE kizembe
 
Marry255 yule 22yrs 🤣🤣🤣🤣 mkuu umeingia kichwakichwa 🤣🤣🤣🤣
 
Nimegundua kuwa ktk haya matangazo ya mahusiano wanaokoment sijui njoo au nakuja PM huwa hawaendi kabisaa...kwasababu huyu jamaa ktk ule uzi hakukoment chochote mpaka alivyopigwa hahaa....mkuu pole sana na endelea kum expose kwasababu anawaharibia wengine wenye nia ya kupata wenza kupitia JF.

Moderator (s) mkiweza onganisheni ID za tapeli. Huyu tapeli si mtu mzuri kbsaa kabadilisha jinsia kwa 12000 tu anaweza fanya the worst than that

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umelizwa shilingi ngapi? Mjini mipango.
 
Utamtumiaje mtu hela kabla ya kuongea naye mara mbili tatu ili kujilizisha umepata right person,ni umbumbumbu wako umekufanya UPIGWE kizembe

Wanatabia ya kutopokea simu hao watu, atakwambia simu yangu mbovu. Halafu atakupiga mzinga wa kwenda kutengeneza simu, kusuka au lunch. Wajinga sana. Kuna mmoja alitaka kunipiga anasema yuko Arusha basi kuna kipindi nikawa na Safari ya kwenda Arusha nikamwambia nakuja Arusha kumbuka muda huo kila nikimpigia hapokei kisingizio simu mbovu nikakomaa nikamwambia azima simu tuongee tupange miakakati Hahahahahahah akatumia line nyingine lakini sauti akaitwist kuwa ya kike. Nimefika Arusha nimemuona sasa !!!!!!
 
Hizo ni hasira tu.

Baada ya muda zitapoa na utakubali tu umepigwa, na a joke is on you.

Maana, sasa utamtumiaje hela mtu usiyemjua halafu ulalamike kakudaganya, kakuibia.

Na kama ni tapeli KWELI, sidhani kama anajali information hizo kama namba ya simu. Labda ni ya wizi.

Ila kama info ni zake kweli, basi anajifunza.

Potezea, maana unagharamikia muda na bando jingine kwa ajili ya buku 12, ambayo haitarudi.

Sent using Low Frequency Electromagnetic Waves
 
Back
Top Bottom