Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???

Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.

Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..

Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh muhanga kumbe

Marry255
 
Ndugu mteja, sheria zetu za jamiiforums pamoja na sheria ya kimataifa ya mwaka 2001 haziruhusu kuweka public/hadharani mambo yaliyofanyika faragha.

Kwa msaada zaidi wasiliana na uongozi wa jamiiforums
Asante na karibu kwa wakati mwingine.
 
Hiyo kesho Ni lin weka sasa hivi we kijana.. Halaf pia mambo yakujifanya we Ni rijali Sana kila mademu unataka wewe mwisho wake lazima uingie cha watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee......
yaani umetuma mkwanja kwa @moderator?

Back
Top Bottom