mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,842
- 20,010
Mimi naona tumuache hasa ukiangalia ni njaa, njaa imemfanya hivyo ata yeye mwenyew hapendi ila njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mukubwa yangu,bon,mboni avatar yako iko na muchozi ya mingi sana?,Au na weye bamekutapeli franga yako?Nakufanyizia dedikansioo ya musique inaitwania ..."Namiki kolela jhuu ya mapendo"...!Napiga pole sana.Kiswahili yangu haiko muzhuuriii!
Pia ifikiage kipindi muelewe hili somo sababu toka muanze kuasana kuhusu wanawake wa humu nadhani hizi mambo zisingekuwepo tena.
Sababu ndio kama ivo wanaume nao wanatake advantage humo humo ilimradi tu wanawake wazidi kuonekana wachafu. Aiseeeee.
Hata Sina cha kuwaasa. Kama wanaweza hao wanawake sijui wanaume wanaojifanya wanawake wazidi kuwalia tu hizo pesa sababu mnazo.Ww unatuasa nn??
Picha za hilo senge umezipataje? Sio ulete tambo kuaibisha fake IDKuna midume misenge kweli humu unakubari mtongozo wa mwanaume mwenzako kabisa duh ila mm ksho narusha avator yake na picha zake zote na namba zake kama dada yake shauri yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kuwaasa. Kama wanaweza hao wanawake wazidi kuwalia tu hizo pesa sababu mnazo.
Vimekaza hasa Swahiba. Sababu sio kawaida hii.Kweli vyuma vimekaza,yan elfu 12 tu mtu anajibadilisha hadi jinsia yake ili aweze kutapeli pesa ndogo kiasi iko!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mukubwa yangu,bon,mboni avatar yako iko na muchozi ya mingi sana?,Au na weye bamekutapeli franga yako?Nakufanyizia dedikansioo ya musique inaitwania ..."Namiki kolela jhuu ya mapendo"...!Napiga pole sana.Kiswahili yangu haiko muzhuuriii!
Bhatalokota bhenyewe kunyavuMukubwa yangu,bon,mboni avatar yako iko na muchozi ya mingi sana?,Au na weye bamekutapeli franga yako?Nakufanyizia dedikansioo ya musique inaitwania ..."Namiki kolela jhuu ya mapendo"...!Napiga pole sana.Kiswahili yangu haiko muzhuuriii!
Wa mkoani kashalizwaWakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???
Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.
Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..
Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
CD hahaha umenikumbusha mbali jina la zamani sana hiliUkijiingiza kichwa kichwa kulizwa kama KAWA, ila wastaarabu ni wengi humu tabia hiyo hawana kabisa huyo atakuwa ni CD.