Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

Wakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???

Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.

Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..

Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo mkuu ulikua unataka ukale utamu ki wepesi hvyo, mbna matapeli weng sna kweny hii mitandao ya kijamii na wajanja wanajua kwa hyo we piga kmya tu ndo ushalizwa hvyo hata kma unasema n hela ndogo
 
Huu ungese unaumiza sana. Ingawaje sijawahi kulizwa lakini hapendezi kwa kweli.
 
Wakuru wanaume wenzangu kuna nyuzi humu zinaandikwa sijui natafuta mume wakuu wengi wao ni wanaume yani wangese sana yani mwanaume unaandika nyuzi ya namna hyo unatogozwa na mwanaume mwenzako ase hii ikoje???

Mimi nimelizwa mpunga japo si mkubwa lakini mimi ni mnyamwezi ntakukogesha aibu kila sehem tafadhari naomba uombe msamaha maana picha zako zitaenea jf na insta na twitter fb nk kifupi utakoga aibu sana.

Picha ninazo namba zako za simu ninazo utakoga aibu unajiita Marry255..

Aibu inakuja si mda sita jari ww ni kidume au kimwanamke japo umekula elfu kumi na mbili tu lkn nitakukogesha aibu nakupa mda uombe samahani huu ni utoto na ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uvinza wewe hufikagi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom